UTABIRI: Hawa ndio watakuwa wagombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,779
12,127
Habari zenu wakuu, ama baada ya salam ningependa sasa kuelekea kwenye mada yetu husika. Ndugu zangu katika maono yang na uzoefu wang wa mambo ya kisiasa, natabiri kuwa hawa ndio watakuwa baadhi ya wagombea urais wa JMT wa mwaka 2025. Hapo chini ni majina yao na vyama vyao watakavyotumia kugombea urais huo. 1) CCM- Mgombea wa ccm inawezekana akawa "bimkubwa wa taifa" (kama ilivyo desturi yao) pia kutokana na safu aliyoipanga ndan ya chama, kuna uwezekano mkubwa wa safu hiyo kumpitisha kwa kishindo ili akaendeleze kazi, na ilani atakayokuwa hajaimaliza. (2) CDM- mgombea wa cdm inawezekana akawa ndugu PolePole, hii ni kutokana na historia ya chama hicho kupenda kuwasajili wagombea walioshindwa au kutoswa ccm waje wagombee ndani ya chama chao ili kukipa nguvu na kukiongezea wabunge na madiwani. Yaliotokea mwaka 2015 na mwaka 2020 msishangae yakatokea tena 2025. Wote tuliona jinsi chama hicho kilivyomtelekeza aliekuwa rais wa mioyo yao mh dr Slaa na kumpitisha mh Lowasa kuwa mgombea wao, lkn pia wote tuliona jinsi chadema kilimpitisha mwana ccm mungine mh Nyalandu katika kura za maoni ili aje kuwa mgombea wao wa urais mwaka 2020, isingekuwa kelele za wanachama wao na wanaharakati wao mbali mbali kutaka kamati kuu ifanye jambo basi Lisu yangemkuta yale yale yaliomkuta Slaa mwaka 2015. (3) ACT Wazalendo- mgombea wa act wazalendo inawezekana akawa ndugu Bashiru, hii ni kutokana na ukweli kuwa chama hicho huwa hakina wagombea wanaoeleweka ili waweze kukivusha na kukipa wabunge angalau wawili watatu. So kwa kantiki hiyo itabidi 2025 waende na Bashiru kama walivyoenda na Membe mwaka 2020. Lipumba na mzee wa ubwabwa hao hawahitaji utabiri maana inafahamika kama watagombea tu kupitia vyama vyao wenyewe. Asanteni sana.
 
Huu uchawi sasa'

USSR
 
Wiki moja ni siku nyingi sana katika siasa, anything can happen before 2025. Tuchape kazi bandugu !!
 
Rubbish

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Acha kuchosha akili yako ndugu!!2025 ni mbali sana kuna mengi Mungu amepanga kabla ya huo Mwaka kufika!!Mtaani kwangu kuna vifo mfululizo jana,leo tena tunazika!!!Ya Mungu mengi !!!
Ni kweli usemayo, lkn kwa uwezo wa Mungu haya yatatimia.
 
Upande wa chadema hawawezi tena kuchukua makapi toka ccm aje awe mgombea wao wa uraisi . Hatua hiyo kwa chadema washaivuka kitambo sana
Washasema wapo tayari kushirikiana na yeyote hata akiwa shetani ilimradi wao wafanikiwe kushinda uraisi.
 
Habari zenu wakuu, ama baada ya salam ningependa sasa kuelekea kwenye mada yetu husika. Ndugu zangu katika maono yang na uzoefu wang wa mambo ya kisiasa, natabiri kuwa hawa ndio watakuwa baadhi ya wagombea urais wa JMT wa mwaka 2025. Hapo chini ni majina yao na vyama vyao watakavyotumia kugombea urais huo. 1) CCM- Mgombea wa ccm inawezekana akawa "bimkubwa wa taifa" (kama ilivyo desturi yao) pia kutokana na safu aliyoipanga ndan ya chama, kuna uwezekano mkubwa wa safu hiyo kumpitisha kwa kishindo ili akaendeleze kazi, na ilani atakayokuwa hajaimaliza. (2) CDM- mgombea wa cdm inawezekana akawa ndugu PolePole, hii ni kutokana na historia ya chama hicho kupenda kuwasajili wagombea walioshindwa au kutoswa ccm waje wagombee ndani ya chama chao ili kukipa nguvu na kukiongezea wabunge na madiwani. Yaliotokea mwaka 2015 na mwaka 2020 msishangae yakatokea tena 2025. Wote tuliona jinsi chama hicho kilivyomtelekeza aliekuwa rais wa mioyo yao mh dr Slaa na kumpitisha mh Lowasa kuwa mgombea wao, lkn pia wote tuliona jinsi chadema kilimpitisha mwana ccm mungine mh Nyalandu katika kura za maoni ili aje kuwa mgombea wao wa urais mwaka 2020, isingekuwa kelele za wanachama wao na wanaharakati wao mbali mbali kutaka kamati kuu ifanye jambo basi Lisu yangemkuta yale yale yaliomkuta Slaa mwaka 2015. (3) ACT Wazalendo- mgombea wa act wazalendo inawezekana akawa ndugu Bashiru, hii ni kutokana na ukweli kuwa chama hicho huwa hakina wagombea wanaoeleweka ili waweze kukivusha na kukipa wabunge angalau wawili watatu. So kwa kantiki hiyo itabidi 2025 waende na Bashiru kama walivyoenda na Membe mwaka 2020. Lipumba na mzee wa ubwabwa hao hawahitaji utabiri maana inafahamika kama watagombea tu kupitia vyama vyao wenyewe. Asanteni sana.
Hii makala imekosa sifa za kuwa utabiri... nahisi umezungumza hisia zako!
 
Kantiki ndo nini we mgole?
 
-1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom