wagombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mfilisti

    GE2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua CPA Charles Mhando Njama Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa wagombea wa nafasi ya Ubunge Korogwe

    Jina: Charles Mhando Njama Cheo: Kaimu Meneja Mkuu – Barrick Tanzania Utaaluma: CPA (NBAA), MBA – Mzumbe University Chama: Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo: Korogwe Mjini Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua rasmi CPA Charles Mhando Njama, Kaimu Meneja Mkuu wa Barrick Tanzania, kuwa mmoja wa...
  2. Mkweliii

    GE2025 MWL. Mbelwa Petro ateuliwa kuwa miongoni mwa wagombea Udiwani Kura za Maoni Kata ya Ruziba

    Aliyekuwa kada wa CHADEMA na mgombea wa kiti cha ubunge jimbo la Biharamulo katika uchaguzi mkuu uliofanyika Octoba, 2020 na baadae kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mnamo tarehe Machi 25, mwaka huu wa 2025 ameteuliwa na kamati kuu kushiriki kinyang'anyiro cha kura ya maoni katika kiti cha...
  3. mr mkiki

    Mfuasi wa CHADEMA ni Aibu kubwa kujadili MAJINA ya Wagombea wakati huu wa OPARESHENI ya kudai REFORM

    1.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatusambazi kazi za chama mitandaoni kwa kiwango cha kutosha. Tumejazana Facebook, Twitter, Instagram, TikTok na kwingine huko, lakini hatubebi kazi za chama. 2.Wafuasi na wanachama wa CHADEMA hatutembelei ipasavyo akaunti rasmi za chama katika mitandao ya...
  4. KusiniKuchele

    Naomba mnijuze majina ya Wagombea wa Hanang' Mkoa wa Manyara waliopishwa

    Namsikiliza hapa Makalla lakini naona mtandao umeshake. Kasema wagombea sita lakini nimewasikia wanne tu. Nijuzeni usahihi wa taarifa hii wadau
  5. L

    GE2025 Sasa mkutano wa kutangaza wagombea kufanyika saa Nne asubuhi ya Julai 29, 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Poleni sana kwa kukesha mkiwa macho. Hongereni kwa kuendelea kuwa na imani na CCM, asanteni kwa kuendelea kutambua ya kuwa CCM ndiyo chama kilichobeba matumaini yenu, mstakabali wa maisha yenu, kesho ya watoto wenu, maisha ya wajukuu zenu, na uhai wa Taifa letu. Kwa...
  6. SSH2025_2030

    GE2025 Uteuzi wa Wagombea CCM ndio Uchaguzi Mkuu wenyewe!

    Kama ulikua hujui kwenye uchaguzi wa Wagombea CCM ndio Uchaguzi wenyewe sasa. Mengine NI kukamilisha ratiba. Asanteni. Lucas Mwashambwa
  7. N

    GE2025 Rais tunakuomba ufute sheria ya kututeulia wabunge na madiwani. Tayari una nguvu ya kuteua wakuu wa mikoa na wilaya

    Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri. Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
  8. DuaZaMama

    GE2025 Mwenyekiti wa CCM Aongoza kikao Cha kamati ya Maadili saa 8 Usiku Jijini Dodoma

    Kikao cha Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kimefanyika majira ya saa nane usiku chini ya Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia na kuchuja majina ya wagombea Jijini Dodoma tarehe 28 Julai, 2025.
  9. Yoda

    Kuna muda maalum wa kuteua wagombea katika uchaguzi mkuu wa Tanzania?

    Kulingana na katiba, kanuni za bunge au tume ya uchaguzi Tanzania kuna muda maalumu wa vyama vya siasa kuteua wagombea wa urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu??
  10. JanguKamaJangu

    Wagombea 20 wajitosa Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Riadha Tanzania

    WAKATI zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu kwa wagombea wa katika uchaguzi wa Shirikisho la Riadha Tanzania (SRT), likifungwa rasmi Julai 18 saa 10:00 jioni, jumla ya wagombea 20 wamejitosa kuwania nafasi mbalimbali. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Julai 21, Mwenyekiti...
  11. Jackal

    Uchaguzi Wa Majina Ya Wagombea Wa Udiwani CCM Mambo Si Shwari

    https://www.facebook.com/share/v/15eTpk7HpN/
  12. H

    Tume Ya Uchaguzi Inatakiwa Kumfuta Kwenye Orodha ya Wagombea.

    Sheria zetu za uchaguzi zinatamka wazi kuwa tokea mtu ametangaza nia ya kugombea, akianza kugawa zawadi kwa wapiga kura, hiyo itahesabika ni rushwa. Sa100 tangu alipojitangaza kuwa yeye ni mgombea pekee wa nafasi ya Urais kupitia chama haramu, amegawa mitungi ya gas nchi nzima, amegawa pikipiki...
  13. K

    Uchambuzi wa wagombea wa ubunge kupitia CCM ufanyike kwa umakini mkubwa

    Tunashuhudia Sekretariet ya CCM ikiendelea na uchambuzi wa wagombea Ubunge na Madiwani. Naishauri Sekretariet ifanye kazi hii kwa umaakini mkubwa kwa kuangalia CV ya kila mgombea. Katika Bunge lililopita baadhi ya Wabunge walidanganya wasifu wao yaani CV na wengine kudiriki kusema kuwa...
  14. E

    Makalla asema mchakato uteuzi wa wagombea CCM hadi Julai 28, 2025

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Amos Makalla amesema chama hicho kimesogeza vikao vyavuchujaji wa wagombea wa nafasi za ubunge na wabunge kutoka leo Julai 19, 2025 hadi Julai 26 ambako kutakuwa na kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu (NEC) kitakachotanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
  15. Nipe Maji

    SI KWELI PreGE2025 Polepole amewataka wagombea wa CCM kudumisha uvumilivu

  16. Nyoka kibisa

    GE2025 CCM wasogeza mbele Vikao vya Chama vilivyopangwa kufanyika kuanzia leo mpaka itakapotangazwa tena

  17. Bishweko

    GE2025 CHADEMA walisoma nyakati kuwa kuna siku watakosa wagombea ngazi za juu zote

    Kwakutumia akili nzuri kabisa isiyoambatana na mihemko na mahaba ya uchama. CHADEMA waliona mbali sana, ukweli ni kua CHADEMA walijua fika kua uchaguzi wa 2025 hawataweza kua na wagombea wenye mvuto na kukubali kwenye ngazi za juu CHADEMA mpaka leo kimekosa kutengeneza na kuandaa presidential...
  18. A

    GE2025 CHADEMA mjifunze demokrasia hii ya CCM upatikanaji wa wagombea

    Nimepitia baadhi ya majina yaliyopitishwa na CCM hakika chama kimeonesha ukomavu wa kidemokrasia wa hali ya juu na ya kupigiwa chapuo na kila mpenda demokrasia awaye yoyote. Chama kimekomaa na ndio dhana kubwa kuwa CCM ni chama kikubwa ndani ya TZ Pamoja na nje ya bara la Africa na duniani...
  19. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mdau: Wimbi la Wagombea wapya limechochewa na viongozi wanaomaliza muda wao kushindwa kutimiza wajibu

    Mdau wa siasa na mkazi wa Dar es Salaam, Ramadhan Mashauri, amesema idadi kubwa ya watu wanaojitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi za uongozi, ikiwemo ubunge, inatokana na viongozi wengi wanaomaliza muda wao kushindwa kuzitendea haki nafasi zao wakati wa utumishi wao. Ameeleza kuwa hali...
  20. M

    DOKEZO GE2025 Rushwa na ubabe watawala uchujaji wa wagombea CCM Moshi Vijijini

    Mchakato wa uchujaji wa wagombea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Vijijini umetawaliwa na tuhuma nzito za rushwa, upendeleo na ubabe wa viongozi, hali iliyopelekea sintofahamu kubwa na kuibua mjadala mkali miongoni mwa wanachama wa chama hicho. Kwa mujibu wa duru kutoka ndani...
Back
Top Bottom