Katibu wa CCM wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro ameharibu uchaguzi wa ndani kwa kuchukua fomu za wagombea wa Kata zote kabla hazijajadiliwa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
13,043
21,801
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022, tena ukizingatia kuwa tangu uteuliwe kuwa Katibu mkuu wa CCM huu ndio uchaguzi wako wa kwanza, nenda Jimbo la Hai ukajifunze somo la uchaguzi wa CCM kutoka kwa Katibu wa CCM wa wilaya ambaye hasikilizi wala haelewi mtu.

HISTORIA YA KITUKO CHENYEWE:-
Siku ya Mwisho ya wajumbe walioomba kugombea nafasi za ccm kata ilikuwa Tare 20.6.2022 saa 10.

Cha kushangaza baada ya tarehe 20.6.2022 fomu kurejeshwa kwenye ofisi za chama ngazi ya Kata,kesho yake tarehe 21.6.2022 katibu wa ccm wilaya ya Hai Mr Balloh,amechukua / amekusanya fomu zote Za wagombea walizojaza nakala tatu Tatu Kila mgombea kwa kata 17 na nafasi za wenyeviti, makatibu, wenezi na wajumbe wa kata na wilaya na kuzipeleka Ofisi ya CCM wilaya kabla fomu Za wagombea hazijapita kujadiliwa na vikao vya chama ngazi ya Kata ambavyo ni sekretariet ya chama ngazi ya kata na kamati Za siasa Za Kata Ili wagombea watakao jadiliwa na kupitishwa kwa mujibu wa katiba ya ccm majina yaweze kupelekwa Ofisi ya ccm wilaya Kuendelea kujadiliwa na vikao vya wilaya.

Sasa Kwa Hali ilivyo kama Katibu Mkuu wa CCM Taifa hataingilia kati kuna kila dalili uchaguzi wa ndani wa ccm jimbo la Hai kuvurugwa na upinzani kwani Makatibu wa ccm kata zote wameweka mgomo kutokupokea fomu Za wagombea kutoka wilayani kabla hazijajadiliwa na secretariat ya kata na kamati Za siasa Za Kata.

Makatibu wa ccm kata 17 zinaxounda Jimbo la Hai, wana maswali wanajiuliza hawana majibu hadi sasa na si rahisi wapate majibu bali majibu ni kususia uchaguzi au kuziria uchaguzi wa ndani ya ccm:-

1. Je fomu Za walioteuliwa na Majina yao Ndio yanayotumwa wilayani au ni kubeba mzingo wote waliochukua fomu na kumpelekea mwenyekiti wa ccm wa wilaya na Katibu wake?

2. Je Kanuni Za uchaguzi wa ccm kwenye ngazi ya matawi na kata unaelekeza mfumo alioutumia Katibu wa ccm wa wilaya kuchukua fomu zote Za wagombea ngazi ya kata 17 , na kukaa nazo hadi siku atapenda kuzirudisha kwenye kata baada ya wiki mbili ili vikao husika ngazi ya kata vikae na kujafili na kupitisha majina huo ndio utaratibu wa chama?

3. Je mikoa/ wilaya zingine ngazi ya wilaya Makatibu wa ccm wa wilaya wamefanya uhuni alioufanya Katibu wa ccm Hai?

4. Je kwanini amechukua fomu walizojaza wagombea zaidi ya 500 kutoka kata 17 zinazounda wilaya ya Hai bila kuishirikisha sekretariet ya chama wilaya wala kamati ya siasa ya ccm wilaya na Akamshirikisha mwenyekiti wa ccm wilaya tu?

5. Je Kwanini Katibu wa ccm na mwenyekiti wa ccm wilaya wameanza kuchukua fomu ,Majina na namba Za simu Za wagombea mapema kabla ya uteuzi wa wagombea na uchanguzi?
Kuna agenda gani kama Sio kuharibu na kuvuruga uchaguzi wa ccm katika Jimbo la Hai?

6. Je mkoa wa Kilimanjaro una wilaya zaidi ya saba je wilaya zingine Makatibu wa ccm wa wilaya Wanafanya ujinga kama huu wa kuchukua fomu Za wagombea kabla ya vikao vya chama kwenye ngazi Za chini kujadili Majina na mapendekezo?na kuzifanyia marekebisho baada ya mgombea kuzirudisha siku ya mwisho?
7. Je Katibu wa ccm wilaya anasimamia uchaguzi wa chama kwa kutumia kanuni zipi na miongozo ipi na ya mwaka gani ya uchaguzi wa ccm kwa wilaya ya Hai?.

8. Je Katibu wa ccm wilaya ya Hai anafahamu na kutambua madhara ya kuharibu uchaguzi wa Ndani wa ccm especially kwa jimbo la Hai lililokuwa ngome ya chadema kwa miaka mingi?

9. Katibu wa ccm anatambua kuwa fomu za wagombea wote wa chama ni mali ya chama na zinasitahili kujadiliwa na kupitiwa na vikao halali ili kupata baraka za vikao na wagombea halali badala ya mtindo alioutumia yeye kuzinyakua kutoka kwenye kata?.

10. Katibu wa ccm Hai , anatumia kanuni, sheria na katiba yake na mwenyekiti wa ccm wilaya kuendesha na kusimamia uchaguzi jimbo la Hai?.

11. Katibu wa ccm Hai, anatambua kazi ya sekretariet ya ccm wilaya na Kamati ya siasa ya wilaya kwenye shughuli zinazohusu uchaguzi wa ndani ya chama?

12. Kwa maswali yote yaliyotajwa hapo juu ni wazi kuwa uchaguzi Wilaya ya Hai ndani ya ccm ukifanyika utakuwa sio wa haki kwa wagombea wengine na ili haki ifanyike kuna kila sababu Katibu wa ccm Hai kupisha au kusimamishwa kusimamia uchaguzi hadi hapo uchaguzi wa ccm Mkoa wa Kilimanjaro utakapomalizika. Kwa sababu ataharibu hata zoezi zima la kuchagua mwenyekiti wa ccm Mkoa pamoja na wajumbe wote kwani fomu alizozichukua za wajumbe wote wa Kata ni wajumbe wa mkutano mkuu wa Mkoa isiupokuwa wajumbe wa wilaya na kata.

13. Kwanini Katibu wa ccm wilaya alichukua fomu za wagombea wa chama wote ngazi ya kata akaacha kuchukua fomu za wagombea ngazi ya kata kwa jumuia zote?kwanini?

14. Je?kanuni ipi ya uchaguzi wa chama ilimruhusu kuchukua fomu za wagombea kwa upande wa chama ngazi ya kata na kuziacha kwenye kata fomu za wagombea ngazi ya kata upande wa jumuia?

15. Mwisho tunasisitiza kwa nia njema kwa kukinusuru chama kuwa, Mr Ballo Musa, Katibu wa ccm Wilaya ya Hai ni kiongozi hatari na asiyestahili kuruhusiwa kusimamami, kuratibu na kutangaza matokeo ya uchaguzi ngazi ya wilaya ya Hai, hivyo kipindi hiki cha uchaguzi apangiwe majukumu mengine na apigwe marufuku kujihusisha na shughuli za uchaguzi wa ccm.( Wananchi wa Hai wanaipenda ccm na wapo tayari kuichagua ccm na kuwapata viongozi imara na shupavu bila kumtumia Katibu wa ccm Mr Balloh).

KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Maswali hayo hapo juu, tulitarajia kupata majibu yake kutoka kwa Katibu wa ccm wa mkoa Kilimanjaro, ila alipoulizwa hakutaka kujibu wala kuelezea kanuni Za uchaguzi ndani ya chama.

Ila mjumbe mmoja wa Kamati ya siasa ya Mkoa wa Kilimanjaro ambaye hakutaka jina lake kutajwa, alipoulizwa alilitolea majibu ya jumla jumla kwa kusema ,

Katibu wa ccm wa wilaya ya Hai anaendesha uchaguzi wa ccm kibabe na kihuni bila kufuata kanuni na miongozo ya ccm kama chama tawala.

Katibu Ajajifunza na kuelimishwa kuwa wilaya ya Hai ni wilaya ya kimkakati hivyo akicheza na uchaguzi huu, mwisho kutakosekana wagombea wanaotokana na ccm na uchaguzi kutokafanyika au ukifanyika wateule watakuwa zao la CDM na mwisho atakushababishia chama kuwa chama cha upinzani kwenye Jimbo kama kilipotokea.

Mwisho kabisa ,TuliWasiliana na Katibu wa ccm mkoa wa Kilimanjaro Mh Mabya simu yake ilikuwa inaita tu ila Tumetuma ujumbe kwa sms na ulipokelewa na haujajibiwa.
Tunashauri na kupendekeza Katibu wa ccm Hai ambayo upande wa pili unagawa mlungula ili ccm ipate wagombea weak asimamishwe kusimamia uchaguzi wa ccm mapema na haraka kukinusuri chama kipindi hiki cha uchsguzi utakao pelekea ccm Hai kushinda uchaguzi mkuu 2025 na serikali za mitaa 2024.

Ushauri:
1. Katibu wa ccm Mkoa wa kilimanjaro ukimya wako ofisini kwako bila kupiga hodi Hai kufuatilia mwendo mzima wa uchaguzi wa ccm Hai, maana yake unaliweka jimbo rehani.

2. Fuatilia mwendo mzima wa Katibu wa ccm Hai, ukizingatia ni mgeni Hai, ni mgeni kwa kuteuliwa kuwa katibu wa ccm wilaya na jimbo la Hai lilikuwa chadema miaka mingi na hiki ni kipindi cha uchaguzi ndani ya chama.

3. Uchaguzi wa ndani wa ccm usimamiwe na Katibu wa ccm mkoa Ili kuepuka anguko la ccm jimbo la Hai mwaka 2025 , Kwa kuepuka kuchagua viongozi ambao wamejaza fomu walio wengi ambao ni wanachama wa upande wa pili.

4. Kuna Kila dalili akaharibu uchaguzi wa chama. Ili kuzuia hili lisitokee ninashauri sekretariet ya chama mkoa wa Kilimanjaro ihamie Hai ishirikiane na sekretariet ya chama Hai kuongoza na kuratibu uchaguzi huo.

5. Ili kuepuka matatizo yaliyowahi kutokea kwa Hai , ninashauri michango kutoka kwa wafanyabiashara inayokusanywa na Katibu wa ccm ipate kibali maalum kutoka kwa Katibu wa ccm mkoa na Michango hiyo ifunguliwe account maalum na fedha zitolewe na kamati maalum itakayoundwa vinginevyo Michango yote Unaishi mifukoni mwa mtu mmoja Mwisho kukiua chama.

6. Fedha Za uchaguzi ndani ya wilaya ya Hai ziwekwe wazi kwa watumishi wa ccm Hai. Kwa sasa fedha zote Za uchaguzi ni mali na Siri ya Katibu wa ccm wa wilaya.

7. Fomu zote za wagombea nafasi za jumuia ngazi ya kata hazijulikani ziliko baada ya kuondoka na fomu za wagombea ngazi ya kata upande wa chama. Utaratibu wa kuchukua fomu za chama urudiwe upya na katibu wa ccm asihusishwe kwenye mchakato wa kutoa wala kupokea fomu wala kuwajadili wagombea hadi uchaguzi umalizike.

8.Katibu wa ccm Mkoa wa Kilimanjaro kuitisha kikao cha dharura cha Halmashauri Kuu ya ccm wilaya ya Hai kujadili jambo hili na kulipatia hatma yake kwa haraka.
 
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022.
Siku ya Mwisho ya wajumbe walioomba kugombea nafasi za ccm kata ilikuwa Tare 20.6.2022 saa 10.

Cha kushangaza baada ya Jana, Leo tarehe 21.6.2022 katibu wa ccm wilaya ya Hai Mr Ballo , amechukua / amekusanya fomu zote Za wagombea walizojaza nakala tatu Tatu Kila mgombea kwa kata 17 na nafasi za wenyeviti, makatibu, wenezi na wajumbe wa kata na wilaya na kuzipeleka Ofisi ya CCM wilaya kabla fomu Za wagombea hazijapita kujadiliwa na vikao vya kamati Za siasa Za Kata Ili wagombea watakao pitishwa kwa mujibu wa katiba ya ccm majina yaweze kwenda Ofisi ya ccm wilaya Kuendelea kujadiliwa na vikao vya wilaya.

Sasa Kwa Hali ilivyo kama Katibu Mkuu wa CCM Taifa hataingilia kati kuna kila dalili uchaguzi wa ndani wa ccm jimbo la Hai kuvurugwa na upinzani kwani Makatibu was ccm kata zote wameweka mgomo kutokupokea fomu Za wagombea kutoka wilayani kabla hazijajadiliwa na kamati Za siasa Za Kata.

Ambapo mwisho kutakosekana wagombea na uchaguzi kutokafanyika.

Tume Wasiliana na Katibu wa ccm mkoa wa Kilimanjaro Mh Mabya simu yake ilikuwa inaita tu
Mkuu peno hasegawa , haya ni mambo yetu ya ndani, hukutakiwa kuyaleta humu, huo ni utaratibu wa kawaida baada ya wagombea wote kuomba, fomu zote zinakwenda kwanza kuhakikiwa 'kule' halafu majina yatakayorudi ndio yatajadiliwa na Kamati za Siasa.
Hatupendi mambo yetu ya ndani kuyaleta humu hadharani!

P.
 
Mkuu ingia inbox
 
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022.
Siku ya Mwisho ya wajumbe walioomba kugombea nafasi za ccm kata ilikuwa Tare 20.6.2022 saa 10.

Cha kushangaza baada ya Jana, Leo tarehe 21.6.2022 katibu wa ccm wilaya ya Hai Mr Ballo , amechukua / amekusanya fomu zote Za wagombea walizojaza nakala tatu Tatu Kila mgombea kwa kata 17 na nafasi za wenyeviti, makatibu, wenezi na wajumbe wa kata na wilaya na kuzipeleka Ofisi ya CCM wilaya kabla fomu Za wagombea hazijapita kujadiliwa na vikao vya kamati Za siasa Za Kata Ili wagombea watakao pitishwa kwa mujibu wa katiba ya ccm majina yaweze kwenda Ofisi ya ccm wilaya Kuendelea kujadiliwa na vikao vya wilaya.

Sasa Kwa Hali ilivyo kama Katibu Mkuu wa CCM Taifa hataingilia kati kuna kila dalili uchaguzi wa ndani wa ccm jimbo la Hai kuvurugwa na upinzani kwani Makatibu was ccm kata zote wameweka mgomo kutokupokea fomu Za wagombea kutoka wilayani kabla hazijajadiliwa na kamati Za siasa Za Kata.

Ambapo mwisho kutakosekana wagombea na uchaguzi kutokafanyika.

Tume Wasiliana na Katibu wa ccm mkoa wa Kilimanjaro Mh Mabya simu yake ilikuwa inaita tu
Hamuushii kuharibu chaguzi za taifa?Mnajitafuna hadi wenyewe kwa wenyewe?Mmeshazoea kula nyama za binadamu.Pambaneni?😂😂😂
 
Katibu wa ccm Hai Ana sifa tofauti na waccm ninaowafahamu:-
1. Ni muongo kwa 100%
2. Si msema kwa Kweli 75%
3. Anapenda chuchu kupitia kiasi
4. Hana uzoefu na ukatibu wa wilaya ndani ya ccm kaanzia kazi hiyo Hai.
5. Ni mla rushwa kupitia kiasi.
6. Ana maneno mengi kuliko vitendo yake Katika utekelezaji wa kaxi za chama.
7. Ni katibu mchumia tumbo ambapo ni rahisi kununuliwa na upande wa pili na kusababisha kuliuza Jimbo.
8. Kila ikifika wiki end huwa anafiwa na anakwenda Tanga kwao na kuachia jimbo chadema.
9. Ni katibu mwenye uwezo wa kufanya vikao 9 -12 kwa siku maeneo tofauti na watu tofauti bila kuandika agenda za vikao mwisho hakumbuki akichokiongea jana na matokeo yake hakuna utekelezaji wa alichokifanya au alichokisema kwrnye vikao vyote alivyovifanya au kuhudhuria.
10. Ni katibu ambaye hana siri kila neno analiongea kila mahali pasipo kujali usiri ya kazi za chama na adhari za kutoa siri za chama.
11. Ana tabia ya kuwakosoa viongozi wa ccm hadharani bila kuja uwepo wa viongozi wa serikali au watumishi wa umma.
12. Ni Katibu wa ccm wa kwanza Tanzania asiyefanya kazi za uchaguzi wa ndani wa ccm kwa kutoishirikisha au kuidharau secretariet ya chama ngazi ya wilaya na Kamati ta siasa wilaya.
13. Ni Katibu wa ccm wa kwanza ninayemfahamu ambaye hatembelei au kuhudhuria vikao vya chama na wananchama kazi kuishi ofisini hadi usiku wa manane akipiga umbea.
14. Hana uwezo wa kuzijenga,kuzilea na kuziimarisha Jumuia zilizoko ndani ya chama ngazi ya Tawi, Kata na ngazi ya wilaya
15. Ni Katibu wa ccm asiyeshaurika na anaona Kila kitu anajua wakati sio.
16. Ni Katibu wa kwanza alisiyejua idadi ya wanachama hai na Idadi ya wanachama alionao na hajui wako wapi na wala hatembelei kukagua au kuiona miradi ya maendeleo inayotekelezwa iliyopo kwenye ilani ya ccm.
17. Ni Katibu wa kwanza ambaye account ya chama haina Hata sent tano na chama kina miradi ya mabilioni ndani ya wilaya ya Hai.( Ameishia kuomba omba amesahau kujituma kukusanya mapato ya chama).
18. Katibu huyo hana aibu, ni mnafiki na hamuogoi mungu na kuna uwezekano nafasi aliyopewa kwa wilaya ya Hai alipendelewa / hakustaili Ndio sababu Anafanya ya kwake wakati chama kinaendeshwa kwa kanuni na katiba.
19. Anaifanya Ofisi ya chama wilaya , kuwa Ofisi ya kupigia majungu na fitina masaa 8 ya kazi wakati akijua wazi kuwa jimbo limetokea wapi na liko wapi Kwa sasa.
20. Ni katibu wa kwanza wa ccm wa wilaya ambaye hatembei wala kuibeba ilani ya ccm popote alipo wala katiba ya ccm .
21.Mwisho ni Katibu wa ccm ambaye hana dira ya wilaya anayoiongoza ,hivyo hajajiandaa ,hatambui na hana mikakati ya kukabiliana na Chadema mwaka 2024 na 2025, kwa kauli hii mbunge wetu wa ccm akimtegemea kwa uchaguzi ujao ajiandae kwenda kuchunga mbuzi kwao.

Ushauri:
1. Katibu wa ccm Mkoa wa kilimanjaro ukimya wako ofisini kwako bila kupiga hodi Hai kufuatilia mwendo mzima wa uchaguzi wa ccm Hai, maana yake unaliweka jimbo rehani.
2. Fuatilia mwendo mzima wa Katibu wa ccm Hai, ukizingatia ni mgeni Hai, ni mgeni kwa kuteuliwa kuwa katibu wa ccm wilaya na jimbo la Hai lilikuwa chadema miaka mingi na hiki ni kipindi cha uchaguzi ndani ya chama.
3. Uchaguzi wa ndani wa ccm usimamiwe na Katibu wa ccm mkoa Ili kuepuka anguko la ccm jimbo la Hai mwaka 2025 , Kwa kuepuka kuchagua viongozi ambao wamejaza fomu walio wengi ambao ni wanachama wa upande wa pili.
4. Kuna Kila dalili akaharibu uchaguzi wa chama. Ili kuzuia hili lisitokee ninashauri sekretariet ya chama mkoa wa Kilimanjaro ihamie Hai ishirikiane na sekretariet ya chama Hai kuongoza na kuratibu uchaguzi huo.
5. Ili kuepuka matatizo yaliyowahi kutokea kwa Hai , ninashauri michango kutoka kwa wafanyabiashara inayokusanywa na Katibu wa ccm ipate kibali maalum kutoka kwa Katibu wa ccm mkoa na Michango hiyo ifunguliwe account maalum na fedha zitolewe na kamati maalum itakayoundwa vinginevyo Michango yote Unaishi mifukoni mwa mtu mmoja Mwisho kukiua chama.
6. Fedha Za uchaguzi ndani ya wilaya ya Hai ziwekwe wazi kwa watumishi wa ccm Hai. Kwa sasa fedha zote Za uchaguzi ni mali na Siri ya Katibu wa ccm wa wilaya.
7. Katibu wa ccm Mkoa wa Kilimanjaro kuitisha kikao cha dharura cha Halmashauri Kuu ya ccm wilaya ya Hai kujadili jambo hili na kulipatia hatma yake kwa haraka.
 
Hakunaga kisanduku cha maoni huko kwenu?
Hakuna ofisi ya CCM wilaya Tanzania yenye sanduku la maoni.

Sasa sanduku la maoni kwenda ccm tunapitia Jf na isipowafikia na wakaisoma na kuto kuzifanyia kazi 2025 CCM itakuwa KANU.
 
Na jana Ndugu Ballo kachaguliwa kuendelea na kazi hiyo hapohapo Hai
Kama amechaguliwa Kuendelea na kazi hiyo hiyo hapo hapo Hai ataifanya na wana ccm mamluki na Mwisho atazalisha viongozi wa ndani ya ccm ambao ni wanachama wa chadema.
 
Na jana Ndugu Ballo kachaguliwa kuendelea na kazi hiyo hapohapo Hai
Usichokifahamu Ballo Huyo Huyo amechangisha wafanyabiashara wa Hai zaidi ya 20 milion kwa kupitia fomu Za Rais Za ‘ Matembezi ya mshikamano 2022’ na pesa hizo hazijulikani zimekwenda kwa Samia au kwa Chogolo.

Wanaccm Hai wanasubiri maelezo.
ya matumizi ya fedha hizo.
 
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022.
Siku ya Mwisho ya wajumbe walioomba kugombea nafasi za ccm kata ilikuwa Tare 20.6.2022 saa 10.

Cha kushangaza baada ya Jana, Leo tarehe 21.6.2022 katibu wa ccm wilaya ya Hai Mr Ballo , amechukua / amekusanya fomu zote Za wagombea walizojaza nakala tatu Tatu Kila mgombea kwa kata 17 na nafasi za wenyeviti, makatibu, wenezi na wajumbe wa kata na wilaya na kuzipeleka Ofisi ya CCM wilaya kabla fomu Za wagombea hazijapita kujadiliwa na vikao vya kamati Za siasa Za Kata Ili wagombea watakao pitishwa kwa mujibu wa katiba ya ccm majina yaweze kwenda Ofisi ya ccm wilaya Kuendelea kujadiliwa na vikao vya wilaya.

Sasa Kwa Hali ilivyo kama Katibu Mkuu wa CCM Taifa hataingilia kati kuna kila dalili uchaguzi wa ndani wa ccm jimbo la Hai kuvurugwa na upinzani kwani Makatibu was ccm kata zote wameweka mgomo kutokupokea fomu Za wagombea kutoka wilayani kabla hazijajadiliwa na kamati Za siasa Za Kata.

Ambapo mwisho kutakosekana wagombea na uchaguzi kutokafanyika.

Tume Wasiliana na Katibu wa ccm mkoa wa Kilimanjaro Mh Mabya simu yake ilikuwa inaita tu
Kijana ccm ina wenyewe
 
Toka lini wew kibwetele ccm ikaheshimu kura labda umejiunga hivi karibuni na hicho Chama Cha majangili pole Sana. Tena tunakushauri kama unafikiri huko kuna demokrasia ni heri ukaondoka mapema kabla halijakupata la mwenzio aliye fukuzwa huko Zanzibar.

Nape alisema ccm wanatumia bao la mkono kushinda uchaguzi.
Bashiru alisema ccm wanatumia dola kubakia madarakani.

Yule baba wa uovu ndio aliwambia wakurugenzi nakuteua mimi, nakulipa mshahara, halafu unatangaza mpinzani ameshinda uchaguzi, utafikiri hizo pesa za mishahara alikuwa anazitoa kwa mama yake kuwalipa watumishi. Mbona Sasa hayupo na mishahara wanaendelea kulipwa na yeye hajulikani alipo?
 
Hakuna ofisi ya CCM wilaya Tanzania yenye sanduku la maoni.
Sasa sanduku la maoni kwenda ccm tunapitia Jf na isipowafikia na wakaisoma na kuto kuzifanyia kazi 2025 CCM itakuwa KANU.

Bora umeleta huku huku mitandaoni maana ndio itafanyiwa kazi. Kinyume na hapo umeliwa.
 
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022.
Siku ya Mwisho ya wajumbe walioomba kugombea nafasi za ccm kata ilikuwa Tare 20.6.2022 saa 10.

Cha kushangaza baada ya Jana, Leo tarehe 21.6.2022 katibu wa ccm wilaya ya Hai Mr Ballo , amechukua / amekusanya fomu zote Za wagombea walizojaza nakala tatu Tatu Kila mgombea kwa kata 17 na nafasi za wenyeviti, makatibu, wenezi na wajumbe wa kata na wilaya na kuzipeleka Ofisi ya CCM wilaya kabla fomu Za wagombea hazijapita kujadiliwa na vikao vya chama ngazi ya Kata ambavyo ni sekretariet ya chama ngazu ya kata na kamati Za siasa Za Kata Ili wagombea watakao jadiliwa na kupitishwa kwa mujibu wa katiba ya ccm majina yaweze kwenda Ofisi ya ccm wilaya Kuendelea kujadiliwa na vikao vya wilaya.

Sasa Kwa Hali ilivyo kama Katibu Mkuu wa CCM Taifa hataingilia kati kuna kila dalili uchaguzi wa ndani wa ccm jimbo la Hai kuvurugwa na upinzani kwani Makatibu wa ccm kata zote wameweka mgomo kutokupokea fomu Za wagombea kutoka wilayani kabla hazijajadiliwa na secretariat ya kata na kamati Za siasa Za Kata.
Makatibu wa ccm kaya 17 wana maswali wanajiuliza hawana majibu hadi sasa na si rahisi wapate majibu bali majibu ni kususia uchaguzi au kuziria uchaguzi.

1. Je fomu Za walioteuliwa na Majina yao Ndio yanayoletwa wilayani au ni kubeba mzingo wote waliochukua fomu na kumpelekea mwenyekiti wa ccm wa wilaya na Katibu wake?

2. Je Kanuni Za uchaguzi wa ccm kwenye ngazi ya matawi na kata unaelekeza mfumo alioutumia Katibu wa ccm wa wilaya kuchukua fomu zote Za wagombea ngazi ya kata na kukaa nazo hadi siku atapenda kuzirudisha?

3. Je mikoa mingine ngazi ya wilaya Makatibu wa ccm wa wilaya wamefanya uhuni alioufanya Katibu wa ccm Hai?

4. Je kwanini amechukua fomu walizojaza wagombea zaidi ya 500 kutoka kata 17 zinazounda wilaya ya Hai bila kuishirikisha sekretariet ya chama wilaya wala kamati ya siasa ya ccm wilaya na
Akamshirikisha mwenyekiti wa ccm wilaya tu?

5. Je Kwanini Katibu wa ccm na mwenyekiti wa ccm wilaya wameanza kuchukua fomu ,Majina na namba Za simu Za wagombea mapema kabla ya uteuzi wa wahombes na uchanguzi?

Kuna agenda gani kama Sio kuharibu na kuvuruga uchaguzi wa ccm?
6. Je mkoa wa Kilimanjaro una wilaya zaidi ya saba je wilaya zingine Makatibu wa ccm wa wilaya Wanafanya ujinga kama huu wa kuchukua fomu Za wagombea kabla ya vikao vya chama kwenye ngazi Za chini kujadili Majina na mapendekezo?
7. Je Katibu wa ccm wilaya anasimamia uchaguzi wa chama kwa kutumia kanuni zipi na miongozo ipi na ya mwaka gani ya uchaguzi wa ccm kwa wilaya ya Hai?.

8. Je Katibu wa ccm wilaya ya Hai anafahamu na kutambua madhara ya kuharibu uchaguzi wa Ndani wa ccm especially kwa jimbo la Hai lililokuwa ngome ya chadema kwa miaka mingi?
9. Katibu wa ccm anatambua kuwa fomu za wagombea wote wa chama ni mali ya chama na zinasitahili kujadiliwa na kupitiwa na vikao halali ili kupata bara za vikao na wagombea halali badala ya mtindo alioutumia yeye kuzinyakua kutoka kwenye kata?

10. Katibu wa ccm Hai, anatambua kazi ya sekretariet ya ccm wilaya na Kamati ya siasa ya wilaya kwenye shughuli zinazohusu uchaguzu wa ndani ya chama?
12. Kwa maswali yote yaliyotajwa hapo juu ni wazi kuwa uchaguzi Wilaya ya Hai ndani ya ccm ukifanyika utakuwa sio wa haki kwa wagombea wengine na ili haki ifanyike kuna kila sababu Katibu wa ccm Hai kupishwa au kusimamishwa kusimamia uchaguzi hadu hapo uchaguzi wa ccm Mkoa wa Kilimanjaro utakapomalizika. Kwa sababu ataharibu hata zoezi zima la kuchagua mwenyekiti wa ccm Mkoa pamoja na wajumbe wote kwani fomu alizozichukua za wajumbe wote wa Kata ni wajumbe wa mkutano mkuu wa Mkoa isiupokuwa wajumbe wa wilaya na kata.
13. Mwisho tunasusitiza kwa nia ta kukinusuru chama kuwa Mr Bsllo Musa Katibu wa ccm Wilaya ya Hai ni kiongozi hatari na asiyestahili kuruhusiwa kusimamami, kuratibu na kutangaza matokeo ya uchaguzi ngazi ya wilaya ya Hai, hivyo kipindi hiki cha uchaguzi apangiwe majukumu mengine na apigwe marufuku kujihusisha na shughuli za uchaguzi wa ccm.( Wananchi wa Hai wanaipenda ccm na wapo tayari kuichagua ccm na kuwapata viongozi imara na shupavu bila kumtumia Jatibu wa ccm MrBallo).
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Swali haya Katibu wa ccm wa mkoa aliulizwa hakutaka kujibu wala kuelezea kanuni Za uchaguzi ndani ya chama.
Katibu wa ccm wa wilaya ya Hai anaendesha uchaguzi wa ccm kibabe na kihuni bila kufuata kanuni na miongozo ya ccm kama chama tawala.

Katibu Ajajifunza na kuelimishwa kuwa wilaya ya Hai ni wilaya ya kimkakati hivyo akicheza na uchaguzi huu, mwisho kutakosekana wagombea wanaotokana na ccm na uchaguzi kutokafanyika au ukifanyika wateule watakuwa zao la CDM na mwisho atakushababishia chama kuwa chama cha upinzani kwenye Jimbo kama kilipotokea.

Tume Wasiliana na Katibu wa ccm mkoa wa Kilimanjaro Mh Mabya simu yake ilikuwa inaita tu ila Tumetuma ujumbe kwa sms na ulipokelewa na haujajibiwa.

Back
Top Bottom