Uchaguzi wa kumpata Naibu Spika kufanyika Februari 11, 2022. Vyama vyakaribishwa kuwasilisha majina ya Wagombea

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
Kila Chama chenye Uwakilishi Bungeni kinachokusudia kushiriki, kinashauriwa kuanza mchakato wa kumpata Mgombea miongoni mwa Wabunge wake

Jina la Mgombea linapaswa kuwasilishwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi kabla ya Saa 10:00 Jioni, Februari 10

photo_2022-02-03_13-56-03.jpg
 
Haya nyama rafiki mmelisikia parapanda hilo?? jipangeni sasa mpeleke justifications.
 
Naibu spika ni lazima awe mbunge.Ni sawasawa na waziri mkuu ambaye naye lazima awe mbunge aliyeingia bungeni baada ya kuchaguliwa na wananchi.
 
Kila chama chenye uwakilishi bungeni!!! Hivi wale wa TLP juzi walikuwa na wawakilishi bungeni??
Tuna hitaji KATIBA MPYA!!!
Spika sio lazima awe mbunge, angeweza kuwa hata Mwijaku.

Naibu spika ni lazima awe mbunge, ndio maana masharti yanasomeka hivyo.
 
Back
Top Bottom