Huu ni utabiri wa kweli kama nilivyo oneshwa na mizimu ya kwetu.
Iko hivi kwa kipindi cha kuanzia week ya pili ya Sept 2026 hadi week ya pili ya Dec 2026 hali utekaji wa wananchi itapungua kwa kiwango kikubwa sana.
Inatarajiaa hali ya utulivu itaripotiwa maeneo mengi ya nchi.
Hata hivyo...
Makamu wa Rais mteule ambaye anatarajiwa kuapishwa Leo aliyechukua nafasi ya Emmanuel Nchimbi aliyejiuzulu
Mungu ameonionyesha kuwa kabla ya 2030 atakuwa Rais kamili
Watu wa mtandao hawalali wako mbele ya muda, Rais awamu ya 7 anaandaliwa
Sababu unaweza kuwa jambo letu la The Hague au...
Hapa tupo shingoni, bado kichwa tu. Kama ni ng'ombe imebaki mkia tu kiwiliwili kwisha. Kwa kuwa serikali haziamini utabiri. Basi waamini hata political winds it blows.
Tayari sio mpasuko tena ni pamde mbili tofauti, asilimia mia hakuna anayesapoti pande.
Hata raia wamechoka. Ikifanyika...
Wakuu, kutoka kwa mdau.
Na Emily Mwakilembe
Baraza la Mawaziri linaenda kufumuliwa lote, kuondoa mabaki na kufuta nyayo zake. Si unajua huyu Bwana ni jasusi? Lazima akiacha mayai kwenye mfumo! 😄
Wakuu wa Mikoa na Wilaya wanaenda kufanyiwa “magazijuto”; yaani kutoa mabano, kugawanya...
Bingwa - YANGA / SIMBA SC.
Timu zitakazo shuka Daraja
1. MBEYA CITY FC
2. FOUNTAIN GATE FC
MSIMAMO KAMILI
1. Simba sc point 80
2. Yanga sc point 80
3. Azam FC point 68
4. Singida black stars point 63
5. TRA united point 48
6. JKT Tanzania point 47
7. coastal union point 43
8. Mashujaa point...
Nabii Tito ambaye aliumbwa kwa sura na mfano Mungu amekuwa akipaka 💋 lipstik ili kulainisha mdomo. Alitabiri Mengi kama ifuatavyo
1.Mafuta kupanda bei
2.Kesho kuwa Jumamosi
3.Kuvaa life jacket kujikinga na baridi
4.Wema kujifungua
5.Walevi kunywa pombe
Japan ndiyo timu ambayo itaenda kuishangaza dunia Kwa mara ya Kwanza usiku wa July 19 Kwa kubeba world cup.
Nimeangalia mechi Yao moja Tu waliocheza na uholanzi nikapata jibu kuwa hawa jamaa wanaenda kubeba ndoo
World cup ya mwaka huu haina mwenyewe zaidi ya Japan Tu....najua mada hii itapata...
Bingwa atakuwa Croatia.
Mimi sio mchawi.
Sio mtabiri.
Sio Ostaz.
Sio Mtume na Nabii.
Ni Mwanahisabati/ Mwanasayansi ( my mindset is scientific and mathematically oriented)/ Mwanamichezo.
Nimefanya uchambuzi wa kisayansi, nimepiga hesabu zangu zote na nimejiridhisha pasi na Shaka yoyote...
Natumia jukwaa kuelezea kauli tata ya Mwenyekiti wa UWT Taifa Mhe. Chatanda na kumtaka aliyoitoa kuomba radhi kwa kauli hiyo na akemewe.
Sina mashaka na uwezo na uzalendo wa Mhe.Chatanda katika kazi zake za kukiimarisha Chama lakini kauli zenye mashaka daima lina chimbuko la kusudi la kauli...
Kuna watu watafungwa kuna watu watanyongwa kuna watu wataenda jela (polepole September 14 Jumatatu saa 3 usiku na dakika 20)
Dalili zunaonesha muda sio mrefu hili litatimia kuanzia kwenye kelele za tume kua wahusika waadhiwe kwa haki na sio kutolewa kafara ukizingatia kesi ya ICC muda sio mrefu...
Wakuu,
Mzigo unaangushwa kesho mezani, tujue nini hasa tume ya Chande imekikusanya kutokana na hadidu rejea walipewa. Toka wiki iliyopita tunaona video baada ya video za mahojiano na watu mbalimbali ikiwemo Sheikh Mkuu, Jaji Mkuu Mstaafu, watanzania baadhi, na leo watu wa media wakisema "wana...
Balozi Humphrey Polepole kabla ya kutekwa na kupotezwa alitabiri mambo mengi kwa nchi yetu Tanzania ikiwa itaendelea kuwa chini Rais Samia (2025-2030). Leo nawaletea tabiri mbili tu ambazo nimeona zimeanza kuonekana dhahiri.
Rais Samia kutowaheshimu watanzania baada ya uchaguzi mkuu
Humphrey...
Hii naomba muichukue kama ilivyo kwani ni swala la muda tu.
Itakuwa ni kama vile Lissu alipoenda kusalimiwa pale Nairobi baada ya kumiminiwa risasi na jeshi la Farao wa wakati ule.
Muda utaongea.
Utabiri CCM itandoka kabla ya TEC kwasababu mmoja ni ya wezi nyingine ni ya jamii na ukweli. Wovu haujawahi kushinda HAKI. Iko siku tutakuwa na TEC lakini Chama Cha Mapinduzi kitakuwa na jina lingine kama TANU ya Kenya
Ni watu sio Chadema ona hapa
https://youtu.be/w2poGaeVvCw?si=wYS6sskWQ-dKLFDZ
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.