Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu.
Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
Eti wanataka wampe Nchimbi hapana tunataka mtu wa serikali ya mpito asiye na chama chochote ili tuweze kuandika katiba. Hatuwezi kumtoa Mama na kuacha mwana mtandao mbaye wenyewe ndiye wamtakae kuliko hata Samia
Naomba niweke hili ombi ili tuingie uwanjani mapema basi watuletee supu chapati mida ya saa 5 asubuhi. Hii itatuhamasisha sana na kutupa roho ya kuishangilia team. Pia tutaweza kuja kwa wingi uwanjani.
Hersi pambania jambo hili. Maana naona kama mnajisahaulisha kuwa mashabiki tutakuja hapo...
Badobado! Yule shujaa wenu ataendelea kuwepo mpaka mtu wa mwisho kwa watu wake atakapomwona akimsaliti. Hayo maumivu yake ndio yatafanya ajutie venye ametumiwa kama chambo na wajanja. Alianza yule mzee Buti la kuku, yupo wali wa oda, kuna yule mjeshi aliyejiita Kapteni aliyewaingiza watanzania...
Habari Tanzania !
Nawaomba sana maana kumekuwa na changamoto kubwa sana ya Usafiri wa Umma Mkoa wa Mwanza.
Mwanza ya sasa sio ile ya zamani; maana kuna idadi kubwa sana ya watu na watu wanateseka kwa usafiri maana mwendo kasi vyombo vya usafiri ni mdogo na vyombo vingi ni chakavu sana.
Wenye...
Hatuwezi kuendelea kuweka mazingira mazuri kwa mafisadi. Mmeharibu sana hii nchi huku waTanzania mkiwaona wakiteketea kila siku juu ya umaskini unaowazunguka.
Pesa ambazo zilitakiwa kujenga hospitali bora zinatumika na kakikundi fulani
Pesa ambazo zilitakiwa kuhakikisha kuna barabara bora ili...
"Maendeleo tunayoyataka ni maendeleo ya watu, yaletwe na watu wenyewe, yaendelezwe na watu wenyewe, yawafuate watu kule walipo. Hii ndiyo maana halisi ya uchumi jumuishi." - Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Samia Suluhu kwenye mkutano wa kampeni Tabora Mjini
Nipo likizo Tanzania, Leo ilibidi namie nijiunge na wapenda haki wenzangu kwenye kesi ya mweshimiwa Lissu. Leo nilichokiona ni aibu ,aibu aibu ya mwaka
Mahakama ilimpelekea Lissu case bundle gerezani, kumbe Kwa uvivu, ujinga na kujisahau wakajikuta case bundle aliyopewa Lissu ni tofauti na...
Katika hotuba yake kwa wanahabari anasema Chini ya uongozi wa Rais Samia utoaji wa huduma za elimu mkoani umeimarika kwa kiasi kikubwa kupitia ujenzi na ukarabati wa miundombinu pamoja na ongezeko la walimu.
Serikali imetoa jumla ya TZS 146.69 bilioni kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2025 kwa...
Nimepitia haraka haraka dira ya maendeleo ya taifa 2025-2050 iliozinduliwa leo na kugundua misingi yake ina hadaa umma wa Watanzania.
"Kila mtu anafurahia uhuru, ulinzi wa maisha yake na haki zote za msingi zilizowekwa kikatiba, zinazosimamiwa na mahakama zilizo huru, zinazozingatia makundi...
Mangungu sio kwamba tunamchukia ama tunamtakia mabaya, hapana, mm namuombea kwa mungu jina lake lirudi vzr huko Dodoma apeperushe benders ya chama kule jimboni Kilwa Kaskazini awe mbunge.
Kumekuwa na mvuragano mkubwa miongoni mwa wanachama kuhusu uongozi wa Simba, kuna wanaotetea uongozi...
CEO wa Yanga na mtaalam wa masuala ya fedha wamehudhuria TFF kuhudhuria wito,
Andre Mtine ameshangaa kuona TFF wanadai pesa ya ubingwa ilikatwa juu Kwa juu kufidia madeni ya vibali vya wachezaji
Yaani Leo Madrid anyimwe pesa za ubingwa wake kisa anadaiwa
TFF walipaswa kuwapa Yanga pesa Yao ya...
Sina mengi kama heading inavyosomeka umoja wa makanisa Tanzania CCT utoke hadharani na tamko lake ili tujuwe msimamo wa kanisa ni nini juu ya haya yanayoendelea.
Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,
Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba...
Tanzania ilishapata uhuru miaka zaidi ya 60 iliyopita.
Tumesha-exercise hizi agenda za ki-ngwini zinazoshabikiwa na wanasheria na wanaojiita wanaharakati.
Kwa sasa tunataka kusikia agenda za maendeleo ,maswala ya teknolojia mfano AI ,nuclear physics and nuclear medicine.
Tunataka kusikia...
Kwani huyu Mkurugenzi wa tume ya mchongo nani kamwambia sisi tunataka kuongezewa muda wa kujiandikisha kupiga kura?
Sisi hatushiriki uchaguzi bila mabadiliko ya kiuchaguzi kama yeye amechaguliwa na samia ambaye ni mgombea hakuwezi kuwa na uchaguzi wa haki kuna kupotezeana muda na hatupo tayari...
Hivi aliemwambia huyu mkurugenzi wa tume ya mchongo sisi tunataka kupiga kura nani ? nimemsikia anasisitiza wananchi wasichane karatasi kwenye vituo.
Hatupigi kura wala hakuna uchaguzi unaofanyika bila mabadiliko unaongelea masuala ya kuchana karatasi lakini kuiba kura uongelei ?
Kama mnataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.