Mnyonyaji 'Panjuani Kibyongo' anatudanganya kaweka 20B halafu tunasajili akina Kapama na Okwa na tunataka kushindana na watu makini kama Yanga SC?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,516
108,793
Ismail Aden Rage (boss wa zamani) Simba SC aliona mbali sana, na alipatia mno kutuita wana Simba SC (GENTAMYCINE) nikiwemo mimbumbumbu (mipan'gang'a), kwani tunastahili kuitwa hivyo.

Hivi kweli mtu aweke Msimbazi 20B ndiyo tusajili takataka na mizigo akina Kapama na Okwa? Yaani 20B iwekwe klabuni ( Simba SC ) na Panjuani halafu tushindwe kumpa Adebayor 850M, tushindwe kumpa Aziz K 500M na Manzoki 450M kweli?

Yaani kuwekwe kweli hiyo 20B Msimbazi tushindwe kuwa na benchi zuri la ufundi na tumpe deiwaka Kocha mhamasishaji na mjanjamjanja (muongo muongo) Juma Mgunda aiongoze klabu /timu?

Mzee Bakhressa (tajiri Tanzania nzima na ukinibishia hili kapimwe Ubongo) aliitaka Simba SC kwa 45 ila Panjuani Kibyongo akahonga waandishi wa habari za michezo ili wampambe, wamchafue Mzee Bakhressa huku akiwahonga pesa ndefu tu waliokuwa wajumbe wa mchakato akina Mulamu na chawa akina Said Tully.

Waanze kumsifia na kufanya propaganda za kila aina ili wana Simba SC wamkubali na wamuamini kwa 100% kama mwekezaji wetu.

Hakuna mtu ambaye kwa sasa yeye, familia yake na hawara yake mkubwa ambaye pia anashea na mabosi wa CAF na FIFA anafaidika pakubwa na Simba SC kama Panjuani Kibyongo, ila amefanikiwa kutunyamazisha mimbumbumbu (wana Simba SC wote) kwa nguvu ya pesa za ukoo wake.

GENTAMYCINE nasisitiza tena kwa kusema kuwa Yanga SC iliyojipanga vyema ndani na nje ya uwanja ndiyo mabingwa tena wa NBC Premier League.

Ukiona huu uzi unakukwaza na huupendi tafadhali tafuta upesi sumu ya panya, iweke katika kikombe chako cha chai kisha imeze yote ili utupunguzie idadi ya mambumbumbu (fools) walioko Simba SC.

'Panjuani Kibyongo' hajaweka 20B.
 
Atakayekupinga ,aende achukue kikombe cha chai apige nyeto Kisha amwagie ndani halafu anywe BAO lake lote.
 
Zile b.26 za m.bet zilizochorwa kwenye jezi uhalisia wake ndo huo, Udhamini halisi na udhamini feki umeanza kuonekana mdogo mdogo
 
Ukweli usemwe,
Kwasasa Simba Haina wachezaji wa maana, imebaki kuwatwisha mzigo na kuwalewesha sifa

E. g

Moses Phiri
Ni mchezaji anayekuzwa na kuaminishwa na mashabiki, kwenye usimba na uyanga ilhali ni wakawaida sana . Na alivyojijua kuwa anaaminiwa akaamua kupiga mazoezi zaidi ili azidi kiwashawishi maboss na mashabiki ila kiukweli bado sana.

Habib Kyombo
Huyu hata hakustahili hata kuwepo kwenye kikosi kinacholenga zaidi michuano ya CAFCL

Augustine Occra
Huyu ni overated tu, zaidi ya mbio na kucheza na jukwaa kuwavutia mademu matapeli wa kibongo Hana jipya.

Okwa
Huyu Mimi hata sijui huwa anacheza nini, labda huko mazoezini Kuna kitu huwa anamuonesha na kumshawishi mwalimu .

Sakho
Mshindi wa tuzo ya goli Bora huko CAF, lakini ni Moja ya mchezaji mwenye mapepe sana, mikimbio ambayo faida huwa ndogo, na chenga ambazo pengine huwa hazina maana kwangu labda angekuwa anatokea bench zaidi

Akpan
Huyu hata sijui walimleta aje afanye Nini klabu kubwa kama Simba

Wachezaji wangu pale Simba ni Hawa

Mohamed Hussein
Huyu sihitaji kuelezea sana
Itoshe kusema ni Moja ya mchezaji Bora kwangu

Ochieng
au nani sijui, huyu ni beki Bora kabisa licha ya umri kumtupa mkono lakini bado ana advantage kubwa kwa maboss wa Simba

Inonga
Bishoo na mtu wa kujichubua, huyu jamaa anapenda sana uchezaji wa kukamia na kafanikiwa haswa baada ya kutengeneza battle na mayele ambayo wametoka nayo kwao DRC
Hakika stahili yake imewavutia wengi sana na matumizi ya akili kitu ambacho mabeki wengi hawana.

Shomari Kapombe
Right back hii ya muda wote licha ya kusumbuliwa na majeraha wakati fulani lakini Kila alirudi huonesha kile ambacho anatakiwa kuonesha ni mpiganaji haswa.

Clotus Chota Chama
Sina haja ya kumuelezea sana, kama Simba ingekuwa ni engine ya gari, basi huyu ni kleen shaft.
Kila akigusa mpira sijui kwanini moyo wangu huenda mbio.

Mchezaji ambaye sijamtaja iwe bahati mbaya au makusudi ukiona na kusahau basi hujafit kwenye mfumo

Jack Daniel shabiki na mwanachama wa Dar es salaam Young African.
 
Wamatumbi katika ubora wetu!hamna mnachokijua kuhusu biashara wala uwekezaji! Nyie mnawaza kutafuniwa tu kama makinda,mkipata vipesa vya ugoko mnaenda riverside ubungo kununua malaya,halafu mnataka muhindi aweke pesa kijinga jinga tu kuwafurahisha wavivu!

MO kachukua steak ya asilimia 49%na nyie jichangeni vipesa vyenu vya ngama muweke pesa hio ya asilimia 51% ili mambo yawe sawa.

Kwa akili hizi za kumlalamikia muhindi awape furaha,ndio maana wahuni wa ccm wanawatawala zaidi ya miaka 60 uku mkinuka umaskini mpaka mmechacha,mnachojua ni kupiga makelele ya Simba na yanga tu.
 
Yaani hapa umempa dozi itakayomtibu atake asitake

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wewe kwenye ile 51% iliyobaki umeweka sh ngapi? Au umeweka maneno na kutegemea hayo maneno yamsajili Kylian Mbape?

Kama Mgunda ni mbovu ,mbona kaifikisha timu Makundi CL tena kwa cleansheet safi kabisa home na away akiruhusu kufungwa goli 1 tu?

Hata mimi siwezi kuwekeza pesa zangu afu mzitumie kujifurahisha huku siingizi chochote , unataka wasajiliwe wa bei kubwa mishahara yao utaiokota barabarani?

Wana Simba halisi hatumlaumu Mo , maana hatutoi hata mishahara ya wachezaji tu hatuijui.

Back
Top Bottom