wanachama wa chadema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Kwanini Wanachama Wa CHADEMA Wanatukana Sana Matusi na Kukosa Adabu? Je Kuna Chuo Cha Matusi Wanachomiliki?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni Swali ambalo wengi wamekuwa wanajiuliza Sana na kukosa Majibu. Hivi ni Kwanini Asilimia Kubwa ya wanachama wa CHADEMA Wanatukana sana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimu au watu wenye matatizo ya akili. Kwanini chama hiki wanachama wake wamekosa kabisa adabu na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wanachama Wa CHADEMA Waomba Kusaidiwa Taarifa za Kibenki Za Akaunti Za Viongozi Wao Ziwekwe Hadharani

    Ndugu zangu Watanzania, Mambo yanaendelea kuwa moto huko CHADEMA. CHADEMA wanaendelea kuukataa Unyumbu. CHADEMA wanaendelea kukata minyororo ya Umbumbumbu na utumwa . Sasa wameona kumbe walikuwa wanatumika kuwaneemesha viongozi wao . Wameona kuwa kuna ufisadi mkubwa sana unafanywa na viongozi...
  3. MSUKUMA02

    JamiiForums Tanzania Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego

    Twende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi maana muda mchache mambo ni mengi Ndugu wanachama wa CDM msije kabisa kujaribu kuingia kwenye huu mtego ambao mmewekea siku ya uzinduzi wa bwawa la Umeme kwa camera zote kummulika aliyekuwa mwenyekiti wenu MBOWE Hili jambo halijatokea kwa bahati mbaya...
  4. PAYE

    JamiiForums Tanzania Sheikh Mwaipopo: Serikali haiwezi kumsingizia msomi wa chuo kikuu kwa ugaidi

    Katika taarifa yake kwa wanahabari, Sheikh Saidi Mwaipopo amelaani vikali mbinu zinazotumiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha CHADEMA, akidai kuwa wanatengeneza taswira ya kuwa wema kwa nje ilhali wana ajenda za siri zisizo za uaminifu. Sheikh Mwaipopo alieleza kuwa matukio na...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa Serikali kutumia pesa kusema ni wanachama wa CHADEMA

    Propaganda majitaka jinsi zinavyozidi kuonesha CCM ni mfu
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini ghafla tu wanachama wa chadema wamepoteza imani na viongozi wao wakuu hasa wa kitaifa?

    Kwasababu sote ni mashahidi, kwakua ni jambo linaloonekana wazi wazi kabisa kwa kila mdau wa jf, kwamba, kuna hali ya ghafla ya kutoaminika na kutokubalika kwa viongozi wa chadema taifa hivi sasa. Na kuna viongozi wa kitaifa ambao kutokana na matendo na mienendo yao isiyoeleweka ndani ya chama...
  7. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Nyie wanachama wa CHADEMA kama kweli mpo timamu watimueni top layer wote wa chama ni wezi na matapeli

    Mnyika ameshindwa kuzuia WIZI wa donation uliofanywa na Heche akiwa kwenye majukwaa ya Siasa. Mnyika ameshindwa kutoa ufafanuzi wa donation za chama ambazo zimepokelewa kwenye namba binafsi za heche ...acheni wizi Mnyika alishindwa kuwasilisha donation za Hanang Lissu alichangisha watu Hela...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya: Si wote Wanaokomenti mitandaoni wakionesha kuumia ni Wana-CHADEMA, wanapigania maslahi ya nchi

    Mchora Katuni mkongwe Masoud Kipanya kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision akielezea mtazamo wake kuhusu tabia ya watu wanaotoa maoni kupitia mitandao mbalimbali.
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mkakati kamambe uanzishwe kuandikisha wanachama wa CHADEMA. Ziundwe timu maalumu kupita nyumba hadi nyumba. Gen Z wawe kipaumbele

    Nyumba kwa nyumba wanachama washawishiwe kujiandikisha. Iundwe timu maalumu kushughulikia hili. Ndani ya miezi sita Chadema itakuwa na wanachama wengi. Gen Z iwe kipaumbele. .Baada ya hapo maandamano ya kuipinga serikali ambayo haikuchaguliwa na wanannchi yaandaliwe.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kihongosi: Viongozi wa Siasa wa vyama tofauti tukikutana tunagonga 5, ukinuna unapoteza muda

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi ametoa onyo kali kwa watu wanaochochea vurugu nchini, akisisitiza kuwa Serikali haitavumilia vitendo vinavyohatarisha amani ya taifa, huku akiwataka wananchi kuwa macho dhidi ya ushawishi wa watu wenye ajenda...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Wanachama 38 wa CHADEMA waliokamatwa kwa kusheherekea maadhimisho ya siku ya wanawake waachiwa uhuru

    Watu 38 wakiwemo viongozi, makada na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliokuwa wameshikiliwa na Polisi mkoani Mara kwa tuhuma za kusababisha vurugu na taharuki katika mji wa Musoma wamepewa dhamana. Kati ya waliokamatwa yupo Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha)...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu CHADEMA: Polisi wanazuia Wanachama wa CHADEMA wasipande miti, mbona ya Kizimkazi hawazuii?

    Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala, amesema: “Tokea lini katika nchi hii kupanda miti ikawa kosa? Polisi anitajie kifungu chochote cha sheria kinachomruhusu kuwazuia wanachama wa CHADEMA kupanda miti. Tuna sheria ya mazingira...
  13. Septemba 6AM

    JamiiForums Tanzania Waambieni wanachama wa CHADEMA, Sukuma Gang na wakristo wa- download VPN tunajambo letu

    Aluta... Siku 13 zimebakia. Jambo letu linaenda kukamilika kikamilifu. Tunaenda kuonyesha ulimwengu Legacy ya Nyerere. Ukombozi. Ambia wanachadema, Sukuma gang, na Wakristo wote wenye smartphone wapakue VPN app zenye security nzuri. Tutafanya tofauti, maandamano yetu hayatafanana na mengine...
  14. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Jaji Makaramba “polisi wasipochukuliwa hatua kwa kuwapiga Mawakili pamoja na wanachama wa CHADEMA ipo siku Jaji atapigwa akiwa Mahakamani”

    https://youtu.be/tkcyjSzgmK8?si=N65ZIQymjU_4md7z
  15. K

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Ahadi hewa zilzotolewa kwa vigogo na wanachama wa chadema kabla ya kujiunga chaumma

    ZIFUATAZO NI AHADI ZILIZOTOLEWA . 1. Kuna majimbo 50 na kata 1000 tumeahidiwa na ccm kwa tutapita bila shida yoyote. 2. Kila mgombea ubunge na udiwani atawezeshwa kifedha ktk kampeni. 3. Mbowe atahamia chaumma ili kuleta hamasa kubwa ndani ya chama hivyo kampeni kuwa rahisi. 4. Maelfu kwa maelfu...
  16. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Je, Lembrus Mchome na Monalisa Ndala bado ni wanachama wa CHADEMA na ACT?

    Lembrus Mchome na Monalisa Ndala watakumbukwa kuwa ni viongozi wa upinzani walioshirikiana na Msajili wa vyama vya siasa kuvuruga vyama vyao. Lembrus Mchome aliishitaki CHADEMA kwa msajili, secretariat yote ya chama chake ikafukuzwa. Kadhalika, Monalisa Ndala ameshitaki ACT kwa msajili...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesi ya CHADEMA kumkataa Jaji Mwanga kutolewa maamuzi Julai 28, 2025

    Wakuu! Kesi iliyofunguliwa na aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed dhidi ya Bodi ya Wadhamini ya Chadema na Katibu Mkuu wa Chama John Mnyika inaendelea leo Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, ambapo leo Mahakama itaanza kusikiliza shauri ndogo la kumtaka Jaji Hamidu Mwanga...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanachama wa CHADEMA wachezea virungu Mahakamani katika kesi ya Tundu Lissu

    Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu. Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zanzibar: Wanachama zaidi ya 200 na viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA

    Wakuu, Wanachama zaidi ya 200 wakiwemo viongozi 28, watangaza kujivua uanachama CHADEMA Zanzibar, wakilalamikia kile walichokiita ukandamizaji na upotevu wa mwelekeo ndani ya chama hicho. Uamuzi huo umetangazwa mbele ya waandishi wa habari na Atafat Hamad Ali, aliyekuwa Katibu wa Baraza la...
  20. Blood of Jesus

    JamiiForums Tanzania Wananchi wapenda mabadiliko msitishwe na hii ya hamahama ya baadhi ya wanachama wa CHADEMA

    Kwanini? Kwa sababu hao wote wanaohama walikuwepo kwenye chaguzi za 2019, 2020, 2024, na hakuna chochote cha maana kilichofanyika. Haya mambo yako wazi kwa kila mtu, kwamba bila ya uwepo wa mabadiliko ya Kikatiba, Kisheria na Kikanuni, hakuna chochote kinachoweza kuthibitisha kuwa tuko kwenye...
Back
Top Bottom