kusajiliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Joseph Chiwango

    Msaada wa utaratibu wa kusajiliwa kama Insurance Broker

    Mimi sina ujuzi wowote wa bima na ninakampuni ya shughuli nyingine tofauti na bima, isipokuwa nimeona nafasi kwenye shughuli zangu hizi nawezakupata ma kazi nyingine za kukatia bima. Tafadhari naomba msaada nawezakufanya nini au nawezapata usaidizi gani kukamilisha hili kwa haraka. Asante
  2. Malaika wa Misukosuko

    Mchezaji kutokea Colombia anayetarajiwa kusajiliwa na Simba ni Galasa wa kutupa

    Habari Wakuu, nimeona nisiwe mnafiki kuwahabarisha mapema juu ya ujio wa huyu Miquissone mwingne aliyechangamka asije mkasema ohhh wana JF nyie ni watafiti mmeshindwa kufatilia Data za huyu mtu mkatuambia mapema tusiweke tumaini hewa juu ya huyu mtu. Hii "Colombia invasion" itakuja kumuingiza...
  3. Replica

    Wasanii wa vichekesho wakamatwa kwa kuweka maudhui youtube bila kusajiliwa na bodi ya filamu

    Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa. Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro aagiza kumbi zote za starehe kusajiliwa kabla ya Novemba 30

    WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA KUMBI ZOTE ZA STAREHE ZISAJILIWE KABLA YA NOVEMBA 30 Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amewaagiza Maafisa Utamaduni kote nchini kuhakikisha kuwa wanasajili Kumbi zote za starehe na kuhakikisha kumbi hizo zinakidhi vigezo vyote kwa mujibu...
  5. Tlaatlaah

    Tetesi: Chama Kipya cha Siasa kusajiliwa hivi karibuni

    Wanajamvi kwema..... Nachelea kusema katika siasa hakuna jambo linaloweza kutokea bila lengo. Mambo yote katika siasa hubuniwa na wabobezi, hupangwa, huchakatwa na hatimae hutekelezwa na wataalamu kwa umahiri, umakini na weledi wa viwango ili kusudi kuyafikia malengo yaliyowekwa kwa uhakika na...
  6. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC hatutaki Kudanganywa na Pesa za Bonasi za SportPesa tunataka 'Vyuma' Kusajiliwa kama vya Simba SC

    GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli...
  7. A

    Baleke anayetakiwa kusajiliwa Ulaya ni huyu huyu aliyefunikwa na Ruvu Shooting au mwingine?

    Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
  8. BARD AI

    Jalada kesi ya vigogo wa Bandari TPA mbioni kusajiliwa Mahakama Kuu

    Serikali imesema ipo katika hatua za mwisho kuwasilisha taarifa muhimu Mahakama Kuu katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Madeni Kipande (66) na wenzake watano. Kipande na wenzake hao wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo...
  9. McCollum

    Naomba kujuzwa kuhusu aina za channel za YouTube zinazotakiwa kusajiliwa TCRA

    Natoa salam kwa wana jamvi wa Jf kwa ujumla, specifically nazitoa salam kwa wana jukwaa wa Tech. Tukiachana na salam, naomba niende moja kwa moja kwenye mada tajwa. Naomba kuuliza je, ni aina gani za channel za YouTube zinahitajika kusajiliwa na TCRA?. Je, ni kila aina ya channel inahitaji...
  10. D

    First year kusajiliwa chuoni ni lazima uwe na Cheti original cha form 4 au hata copy yake

    Habar Wana jf, Kwa wenye ufahamu zaidi kuhusu hili je unaweza kusajiliwa chuon Kama una copy ya Chet Cha form four kwa mtu aliyepotelewa na Chet original au haiwezekan mpk Chet chenyewe ndo unasajiliwa nasemmea kwa first year wakat wa kuliport chuon
  11. Adolph Jr

    Urusi: Makuruta wapya kusajiliwa kuongeza nguvu jeshini

    Urusi yatoa wito makuruta(Recruits) wapya kusajiliwa kuongeza nguvu katika jeshi Makumi ya maelfu ya wanajeshi wa Urusi wameuawa au kujeruhiwa tangu kuanza kwa vita, wanasema maafisa wa Magharibi Mji wa Volosovo, karibu na St Petersburg, unashamiri. Sio uchumi ni vipaza sauti. Kama miji...
  12. M

    Je, unadhani muda umefika kwa mafundi ujenzi kuanza kusajiliwa na kupewa leseni ili tuwadhibiti?

    Kutokana na uhuni unaofanywa na mafundi ujenzi, wizi na ubora wa chini wa kazi serikali ianze kutoa leseni kwa mafundi ili tuweze kuwa hold accountable pale wanapohalibu kazi kwa makusudi au kuhujumu project ya mtu wawe wanapigwa faini na leseni kufungiwa pia kuwe kuna records zao ili watu...
  13. S

    Umoja party imekufa kabla ya kusajiliwa

    Kosa kubwa lililofanywa na kundi hili (lililoanzisha hiki chama) ni kuweka picha ya mtu aliyeumiza watu wa makundi tofauti tofauti nchi hii kwenye kofia na tshirt za chama chao. Mtu waliyemuweka kama nembo aliumiza:- - WAKULIMA . huyo mtu aliwatesa wakulima kwa kukataza wasiuze mazao yao mahala...
  14. KndNo1

    Gari ya kwanza Private kusajiliwa Tanzania

    Kwenye pita pita zangu nimekutana na gari ya kwanza kabisa kusajiliwa kwa hapa nyumbani.. Haraka haraka inaonekana hii gari ni ya Mchaga.. AC ya kujaza.. Spare Tyre na spanner havipo.. Gear Kirungu..! Wale wanaosubiri namba E.. Mnaweza kununua hii iconic car kupiga misele wakati mnasubiria...
  15. MR.NOMA

    Matapeli wa Simu wanazidi, licha ya simu kusajiliwa! Nani alaumiwe, Makampuni ya simu, TCRA, Polisi au Raia?

    Wakuu hizi sms Mzee flani ni mganga maarufu, atakupa utajiri wa freemason, mara utajiri wa ndagu nk. sasa zimetawala sana, na hizi zingine za umeshinda milioni 700000000, piga Simu 0000 ili upate zawadi zako. Au unapigiwa simu na litapeli likisema Kuna Hela imetumwa kwako kimakosa. Simu zote...
  16. Roving Journalist

    Mabadiliko: Taasisi za Kidini sasa Kusajiliwa kila baada ya Miaka 5 kwa Malipo ya Tsh 100,000

    Salaam Wakuu, Wizara ya mambo imefanya mabadiliko katika usajili wa Taasisi za Kidini kutoka wa Kudumu na kuwa wa Miaka 5. Lengo ni kutathimini Jumuiya zilizo hai na kuhakiki kama zinatii Masharti ya Usajili. Taasisi hizo zitatakiwa kulipia laki moja. Thread 'Wiziri Simbachawene: Usajili sasa...
Back
Top Bottom