tunataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM tulichepuka, tunataka Kurudi Njia Kuu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema CCM imeazimia kujifanyia tathimini kwa kupata maoni ya wanachama wake ngazi za chini kuelekea uchaguzi wa chama hiko kwa lengo la kupata viongozi bora na kushughulikia kikamilifu changamoto za Watanzania. Ameyasema haya mkoani Kigoma...
  2. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mabeberu wakisikia tu tunataka kujikomboa lazima hawa jamaa wachungulie kinachofanyika.

  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwana FA: Hoteli zetu hazitoshi wageni AFCON, tunataka kuhakikisha makazi binafsi yanaweza kuandikishwa yakatumika kama Airbnb

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameeleza kuwa Serikali inatengeneza mfumo rasmi wa kusajili watoa huduma mbalimbali nchini ili kukidhi mahitaji makubwa ya wageni yanayotarajiwa wakati wa mashindano ya AFCON. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa sekta zisizo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu huwa tunaongea na watoto wakiwa bado tumboni ili kuwajenga namna tunataka wawe?

    Kuongea na mtoto aliye tumboni ni kitendo cha mzazi (hasa mama au baba) kuwasiliana na mtoto kabla hajazaliwa kwa kutumia sauti, nyimbo, kugusa tumbo na kumwambia kwa upendo kuwa wewe ni mama yake au baba yake, unampenda na unamsubiri, unataka aje kuwa mtoto wa aina gani au hata kusali naye nk...
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania KMC FC yadhulumiwa Penati: Sasa mechi zote tunataka refa toka nje ya nchi

    Katika mchezo wa KMC dhidi ya Yanga, Shedrack Boka alifanya faulu ya wazi na ni penalty lakini kwakuwa refa kwa sababu alizo nazo pekee na woga kwa mashbiki wa Yanga akaamua kufunika na kusababisha KMC kukosa pointi moja na imewaadhiri sana. Kuanzia msimu ujao tunaomba Mechi zote tutumie marefa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Tunataka nchi nzima kupata mawasiliano 100% Kufikia 2030

    Katibu mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ameyasema hayo katika hafla ya uzinduzi wa minara 758, Maunganisho ya Mkongo wa Mawasiliano katika Wilaya 85 na leo 10 Aprili, 2026 jijini Dodoma.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kugombea urais 2030: Wananchi tunataka tuwajue

    Hivi karibuni kumejitokeza maneno eti Kuna watu wameshaanza kampeni za chini chini kutaka kumrithi Rais aluyepo. Ombi Letu ni Moja tu, kama Kuna mtu anawajua watu hao basi tuwataje hapa tuwajue.
  8. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump karibu sana Tanzania. Tunataka JamiiForums ifunguliwe bila masharti

    Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe. Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika nilizopewa bure nakupa wewe uziendeshe kwa sharti la kulegeza masharti ya kupata VISA ya marekani kwa...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dada wa Lissu: Lissu hapendi kificho anaongea wazi, tunataka haki, hizo 4R za Rais ziko wapi?

    Mchungaji Rose Masesa, ambaye ni Dada mkubwa wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kupitia serikali anayoiongoza kuangalia upya kesi ya uhaini inayomkabili mdogo wake, kwani kwa namna anavyomfahamu mara zote Tundu...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tunataka kero ikifika ofisi ya serikali ipatiwe ufumbuzi, wanaopuuza watatolewa kazini

    Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema serikali inataka wananchi wanapofikisha kero zao katika Ofisi za serikali zipatiwe ufumbuzi...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CHADEMA: Tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia

    "Chadema na watanzania tunataka serikali ya mpito isiyoongozwa na Samia itakayowekwa chini ya uangalizi wa taasisi huru za kimataifa kwa kuwa serikali haina uhalali wowote CHADEMA inataka kuanzishwa kwa serikali ya mpito " Mh. John Heche akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 11,2025...
  12. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Vijana Tumechoka Nonsense, Tunataka Haki Sasa!

    Sisi kama vijana tumevumilia changamoto hii kwa muda mrefu sana. Tumekuwa tukinyamaza, tukifanya kazi, tukijaribu kusukuma maisha, lakini kwa kweli mambo yamezidi kupindukia. Tumefikiria sana, tumeumizwa, tumelia kimya kimya, tumefanya kila juhudi iwezekanavyo—na sasa tumefikia hatua ya kusema...
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Prof. Kitila: Tunataka uwekezaji unaojibu shida za Watanzania hasa vijana

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amesema Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imebainisha vigezo vitano muhimu vitakavyotumika katika kuchagua sekta za kimageuzi, hasa kwa ajili ya kuchochea kipato na kuongeza ajira kwa vijana, akisisitiza kuwa utekelezaji wa...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z Tanzania: Tunataka Serikali ya Mpito kabla ya Maridhiano

    Taarifa Kwa Umma na Vyombo vya Habari. - Maridhiano hayawezi kuongozwa na watu ambao hawafahamu na/au wamegoma kutambua kiini cha machafuko yanayoendelea Tanganyika, nchini Tanzania. - Tunawaonya watu binafsi, makundi, na wengine wanaojitokeza kushiriki katika kiinimacho cha maridhiano...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tumeshuhudia mauaji makubwa Oct 29. Ni kwanini tunataka maandamano tena wakati tunajua watu watapoteza maisha?

    Sote ni mashahidi maandamano ya Oct 29 yamesababisha vifo vya raia wengi na police. Sote tuna majonzi. Kwann Bado activist wanataka tuandamane December 9 ilhali wanajua kwa vyovyote vile serikali haiwezi kupinduliwa kirahisi. Yaani mnataka kupindua serikali lakini kufa hamtaki. Kama mnataka...
  16. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi

    Wito kwa Watanzania waishio nje ya nchi wanapaswa kuandamana #D9 tunataka watanzania angalau 100 kila nchi bado kidogo tushinde.
  18. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haiwezekani unaiba kura halafu unakuja na maridhiano. Unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza, hatutakubali tunataka nchi yetu

    Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu. Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nchimbi hapana, tunataka mtu ambaye sio mwanasiasa

    Eti wanataka wampe Nchimbi hapana tunataka mtu wa serikali ya mpito asiye na chama chochote ili tuweze kuandika katiba. Hatuwezi kumtoa Mama na kuacha mwana mtandao mbaye wenyewe ndiye wamtakae kuliko hata Samia
  20. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Wale aliokuwa anawapakiza kwenye mafuso nao wanasema tunataka nchi yetu

    wale aliokuwa anawapakiza kwenye mafuso nao wanasema tunataka nchi yetu
Back
Top Bottom