tunataka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Adha ya Mwendokasi: Je, Daladala zirudi kuokoa na kusaidia wananchi?

    Kutokana na kuhatarisha maisha ya abiria, watu kujeruhiwa na kupoteza maisha, kupoteza muda na kuchelewa, pamoja na maumivu ya kisaikolojia; Je, tupo tayari daladala zirudi? PIGA KURA YAKO KULETA MABADILIKO.
  2. Rayvanny wa jamiiForums

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumechoka sasa tunataka Vitambulisho vya Taifa vipatikane kwa haraka na uhakika

    Ni wazi Watanzania wengi hawana kitambulisho cha taifa yani hili suala la kutoa kitambulisho cha taifa hapa nchini limekuwa kama jambo la hiari kwa mamlaka husika hali inayoweza kuchochea uwepo wa rushwa. Suala la kupata kitambulisho cha taifa lisiwe biashara wala mizungusho kama vifaa hakuna...
  3. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania Makonda karibu Mtwara ila tunataka majibu juu ya bei ya korosho

    Kwanza kabisa tuipe pole familia ya mzee Lowasa kwa kuondokewa na kipenzi chao, pia pole kwa wa Tanzania kuondokewa na waziri mkuu mstafu. Makonda nakuita mara tatu, bado nitasema mimi ni shemeji yako, licha ya ushemeji kesho unakuja nyumbani mkoa wa Mtwara. Nitakukaangia korosho ambazo...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Tunataka kuwa Taifa takatifu? Bila sexual workers? Tufanye haya

    Ripoti zote za mkaguzi wa hesabu za serikali (CAG) zifanyiwekazi bila uonevu wala kuoneana haya Sauti ya umma isikilizwe na kuheshimiwa Polisi waishi kwenye viapo vyao wasivuke mipaka ya PGO Utawala Bora iwe ni mandatory siyo option Kuku wote watagie bandani (wenye akili wamenielewa) Baada ya...
  5. OLS

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Haya mashimo barabarani tunataka yachimbuke futi ngapi ili kuyaziba

    Mvua zimeleta majanga na kuacha majanga. Lakini Mvua zisingekuwa na maafa makubwa kama tungekuwa na mifumo mizuri ya maji taka. Kwa kuwa na mifumo mibovu maji yamejitengenezea njia zake na kuharibu miundombinu mingine. Barabara nyingi sana haziko katika hali nzuri na zinaweza kuharibu magari...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watanzania tunataka bunge la aina gani? Tujadili

    Binafsi nakubaliana 100% kwamba bunge ni muhimu kwenye kuisimamia serikali kwa mujibu wa katiba ila siridhishwi na jinsi lilivyo kwa sasa. Mimi maoni yangu kuhusu bunge ni kama ifuatavyo; 1. Viti maalum vibaki vile 10 vya Rais tu. Hivi vingine vifutwe. 2. Majimbo yapunguzwe. Majimbo 264 ni...
  7. ras jeff kapita

    JamiiForums Tanzania NMB mna shida gani!? Watu tunataka kutoa pesa hampatikani online sio kwa mawakala sio kwenye ATM

    Wasalaam Leo ni siku muhimu watu wanataka kutoa fedha waka-enjoy na familia zao. Jambo la kusikitisha hampatikani online kwenye kutoa hela kwa mawakala na ATM Binafsi nilikuwa nawaamini sana sasa nimeanza kuwa na mashaka. Mnapotea hewani siku ya muhimu kama hii What a pity?
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Viongozi wakuu wa serikali ya Israel toka kuanzishwa kwa taifa hilo ni makomando sisi tunataka machawa

    Wakati Israel viongozi wa kuu ni makomandoo wa jeshi IDF au wakuu wa TISS kama Shinbet Mossad Shayetet 13 nk sisi tunalea machawa. TISS MJITAFAKARI.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunataka katiba mpya kabla ya uchaguzi wa mwaka 2025

    Mhe. Rais, sisi wananchi kwa ujumla tunakuomba kwa heshima na taadhima iwe jua na iwe mvua tunataka Katiba Mpya kabla ya 2025. Usemi kuwa wananchi wanataka elimu kwanza kuhusu Katiba Mpya usemi huo hauingii akilini mwetu tunataka Katiba kabla ya uchaguzi 2025 ili nchi iendelee kuwa na amani...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Visingizio hivi vya Kipuuzi na vya Kitoto hatuvitaki, tunataka Ushindi leo kwa Waarabu

    "Mabegi yetu yamechelewa kufika, tunahisi ni Hujuma na tumeshindwa kufanya Mazoezi na kuna Baridi Kali sana" amesema Kiongozi wa Yanga SC aliyeambatana na Timu huko nchini Algeria wanakocheza leo. Chanzo: Sports Extra Clouds FM jana Usiku Ninawatakia tu kila la kheri Waarabu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini Walimu Kilwa tunalazimishwa kubaki CWT? Wengine tunataka kuhamia CHAKUHAWATA?

    Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa pili kutokana na makato makubwa ya CWT. Kinachofanyika CWT wanaenda kwa Afisa Utumishi kuzuia Walimu...
  12. Kasiano Muyenzi

    JamiiForums Tanzania Makonda nashauri utumie usafiri wa fisi Kanda ya Ziwa, utakuwa mwamba usiotikisika milele!

    Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k. Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa huko hawatumii fuso wala gari la aina yoyote ile bali hutumia fisi. Jaribu kutumia Fisi kama...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Tunataka watu ambao tayari walishatajirika kama Mbowe wawe marais wetu kwani wanaujua uchumi na hawatatuibia

    Tanzania tofauti na nchi nyingi tunachagua marais maskini ambao hawajui hata kufuga kuku. Hawa watu wakiingia madarakani ndio huanza kuuza twiga, tembo na misitu yetu pamoja na kuingia mikataba mibovu na wageni ili wajipatie chochote. Lakini watu walioingia siasa tayari wakiwa matajiri kama...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Lugha gongana: Wananchi tunataka pesa irudi, wanasiasa wanavizia koti la kiranja mkuu

    Salaam, shalom!! Hapo bungeni, mpo Kwa ajili ya wananchi. LUGHA YA WANANCHI. Wananchi tunataka kuona wabadhirifu walioiba pesa za umma, walioguswa na Ripoti ya CAG , wananchi tunataka watu hao wafungwe wote, na pesa yetu irudi. Wakamuliwe Hadi sent ya mwisho, Mali zao ziuzwe pesa irudi...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake badilkeni Wanaume wa Siku hizi hatupendi hiyo Mishanga yenu mingi Viunoni, bali tunataka kuona Ubunifu wenu katika Tendo ( Mbanduano ) sawa?

    Kwanza wengine hata hatupendi Shanga zenu kwani huwa zinatupigia Kelele na hatusikii Mlio wa Mkuyenge ukiwa unachanja Mbuga Mbunyeni hali ambayo inaleta raha na kuongeza mzuka wa Mbanduano ( Kutiana ) Na kuna Wengine mnavaa hizo Shanga zenu halafu mmebweteka na Kuzubaa tu kama Beki za pembeni...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mlioko Ndola Zambia tafadhali mwambieni 'Mr. Objective' kuwa leo tunataka 'Double Strikers' ili tumaliza 'Biashara' mapema

    Mwambieni GENTAMYCINE nataka namba Tisa acheze Jean Baleke na namba Kumi acheze Mshambuliaji wangu ninayemkubali Simba SC yote Moses Phiri. Na ole wake katika Dimba la Chini ( Namba Sita ) asimpange Kiungo wangu Mkabaji Bora na Fundi wa muda wote Fabrice Luamba GENTAMYCINE Ngoma. Golini...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tunataka Ujasusi wa kiuchumi uimarishwe Tanzania

    Asalam Aleykum, Niliwahi kusema hapa Jukwaani kwamba nchi yetu ni " A sleeping giant". Hii ni kutokana na kwamba licha ya kuwa na raslimali za kila aina lakini bado Watanzania wengi tunaishi chini ya dola moja! Hii kwa kweli inavunja sana moyo. Binafsi nilishasema na leo narudia tena kwamba...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC hatutaki Kudanganywa na Pesa za Bonasi za SportPesa tunataka 'Vyuma' Kusajiliwa kama vya Simba SC

    GENTAMIYCINE nikiwa kama Mshabiki na Mwanachama wa Yanga SC natoa ONYO KALI kwa Uongozi wa Yanga SC kuacha Kutuzuga kupokea Fedha za Bonus ili Mashabiki tusiongelee Usajili na Ukata mkubwa ulioko sasa Klabuni ambao Unafichwa ili tusichekwe na Simba SC wenye Hela na wanaosajili Vyuma hasa kweli...
  19. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunataka kuona msimamo wenu kwa vitendo kuhusu kutoshiriki uchaguzi

    Moja ya sifa nzuri na thabiti ya kiongozi ni kusimamia anachokiamini hata kama msimamo huo unaweza kumdhuru binafsi au na taasisi anayoongoza. Msimamo wa CHADEMA ulioamuliwa na Kamati Kuu yake na kutangazia dunia hadharani kupitia kinywa cha Katibu Mkuu wake John Mnyika na Mwenyekiti Freeman...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wakati tukiendelea kujadili mkataba wa DP World, wanachama wa Chadema tunataka iweke hadharani mkataba wa ununuzi wa jengo la Ofisi

    Mimi mwanachadema, na kwa muda Sasa tunapiga mdomo kuhusu mkataba wa Bandari na DP. Katikati ya mjadala, Kuna jengo limenunuliwa na chama chetu kwa mabilioni. Chama hakijatueleza nani alifanya uthamini wa jengo akapata thamani hiyo, nani katuuzia, fedha imelipwaje, na mkataba wa ununuzi uko...
Back
Top Bottom