Wadau wa jf naare??
Sasa mimi napenda sana pangani , ila nasikia pangani uwizard umezidi sana,..
Lengo langu la hii post nilikuwa naombeni jamani mtu serious sana tukiacha watani wa humu,,nilikuwa namtafuta mtu mwenyeweji wa kule anipe ushirikiano mzuri wa kuifahamu pangani na sehemu zake...