kuhonga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena

    Maisha yamekuwa magumu sana, imenibidi niitishe kikao cha dharula kwa hawa wapenzi wangu 11, kila mmoja aandike insha ya ukurasa mmoja yakueleza, zaidi ya tendo la ndoa wana nini cha kunipa? Nimechoka kuwa mtumwa wa kuhonga honga mali/fedha au kutoa toa huduma zenye gharama kwa mbadala wa...
  2. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Arusha watolea ufafanuzi Diwani aliyedaiwa kuhonga Mchele na Sabuni ili apitishwe "Vikao vinaendelea"

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa ufafanuzi kuhusu madai yanayomkabili aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbureni, Faraja Maliaki, ambaye hivi karibuni ilisambaa video kwenye mitandao kijamii inayoonesha baadhi ya wanachama wa CCM kurudisha zawadi alizowapa wakidai kuwa ni rushwa ili...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mtu anajisifu mjini na kuhonga wanawake ila akipata msiba ukimsindikiza kwao unakuta panafanana na porini

    Kuna Jambo sijalielewa hivi inakuaje unahonga mademu , mbwembwe kibao Ila mama yako anapikia kuni , anakunywa maji yenye rangi mchele je hii sio laana ya mtindio wa ubongo.
  4. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Nahonga pakubwa nakula kidogo

    "Nahonga pakubwa nakula kidogo" inapigwa live Tazama bendi ya Wamwiduka wakipiga wimbo wao "Nahonga pakubwa nakula kidogo",
  5. Stability

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kiasi gani kikubwa cha fedha hadi sasa ulichowahi kuhonga demu?

  6. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Wanaume tupunguze au kuacha kabisa kuhonga

    Hakuna hata haja ya salamu naenda moja kwa moja break ya 1 ni kwenye mada inayohusu kuhonga. Wanaume tuache kuhonga,narudia tena wanaume tuache kabisa kuhonga, tuwe wabahili sanaa, haya maisha ya sasa hivi yana hitaji ubahili wa hali ya juu. Pata mwanamke wako mmoja, tulia naye. Funguka uwezo...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je, kuiba kura na kuhonga wapinzani inasaidia vipi Usalama wa Taifa?

    Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa? Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni wazalendo? Je, wewe unaye nyamazia haya kwasababu tu ya ushabiki wa vyama, maslahi binafsi au...
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utamshauri nini mdogo wako wa kiume anaetumia pesa nyingi ku spend na madem

    Wewe ni kaka au dada una mdogo wako wa kiume 20’s anafanya kazi na anaishi kwake (amepanga) lakini unaona anatumia pesa nyingi ku spend na madem na starehe mbalimbali, je utamshauri nini au utamuacha
  9. Bush Viper

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, huwa mnapewa nini hadi mnahonga pesa ambazo zipo juu ya uwezo wenu?

    Rafiki yangu leo amekuja kwangu na kunikopa laki moja, nikampatia kama kawaida yetu ya kusaidiana. Lakini cha ajabu ni kwamba baada ya dakika kadhaa akarudi na kunieleza kuwa alikuwa anataka aogezee kwa laki tano hili ifike laki sita aliyoombwa na bimdada atengeneze gari. Nikabaki nimeshtuka...
  10. SSH2025_2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuhonga mwisho Shilingi ngapi?

    Bei elekezi ya kuhonga mwisho Tsh ngapi? Maisha yamebana Sana aisee
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Kuhonga kunavyomaliza pesa!

    Ukitaka kufanikiwa maisha achana na mambo ya kuhonga-honga. Bora uonekane bahili 'stingy'. Wiki hii nikifikiria ningekua nahonga ingenitoka laki 8 kizembe. #selfie_Idumu#
  12. Raia mpya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona unatumia pesa nyingi kuhonga ujue haupendwi

    Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi. Mahusiano sio magumu wala sio ghali kiasi hicho iwapo utapata mtu sahihi. Naishia hapa naomba kuwasilisha.
  13. Lexus SUV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote kuichakata ni halali. Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi...
  14. Mama Mwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume na suala la kuhonga

    Aloo, hivi unajisikiaje kuto kumspoil mpenzi wako au mkeo? yaani mmeona ni big deal kumhonga mkeo mpenzi wako? sawa anafanya kazi sasa kumsapoti kiasi nayo ni vita? wanaume wabahili wa JF mnachekesha sana, mimi nafanya kazi na hela yangu inatumika na sote wawili, kilichopungua baada ya yeye...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adaia Serikali ya Uhuru Kenyatta ilikuwa na Bajeti ya kuhonga Mahakama

    Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea Serikali. Amesema Serikali yake haiwezi kuyumbishwa na Kesi zinazofunguliwa katika Mahakama nchini humo...
  16. Maleven

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nashuhudia mbele yenu, hii ndio hela yangu ya mwisho kuhonga

    Tangu mwezi wa nne hadi sasa nimetumia laki nane (800,000+). Wastani wa laki moja kila mwezi. Kwa anasa inayohusu wanawake, kuanzia sasa naachana na haya mambo kabisa. N.B kama unaona hela hii ni ndogo kwako kwangu ni kubwa sana.
  17. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Simba hii michezo mliyoanza ya kuhonga marefa ili mshinde mechi itawapalia muda si mrefu, mmeanza wengine watamaliza na pasiwepo kelele!

    Naona Tanzania inayo safari ndefu katika nyanja ya waamuzi na mpira wa kitanzania kiujumla, mechi ya Leo imeonyesha ni wapi tunaelekea na klabu kinachokwenda kuiwakilisha nchi kimataifa! Mpaka Sasa sijaelewa mwamuzi alikataaje goli la singida na kuamuru kuwa ni offside, ukirejea kuangalia...
  18. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada, ndo kusema wanaume wa kuwahonga siku hizi hamna au

    Juzi kati nlikua baa moja ndogo kwenda kupata msosi wa jioni for 1 week mfululizo, sasa mm nikiwa kwenye kumbi za "starehe" hua napenda kuangalia inter gender interaction between male and females.. kuna kibinti ni baa medi anafanya kazi hapo ni mzuri wa kawaida, ana kaumbo kadogo na kashepu...
  19. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Miradi ya Marekani ni sawa na kuhonga vigogo hakuna kitu kusaidia maendeleo

    Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee. Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani. Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Uzoefu: DP World iliyouziwa bandari ni wazuri kwenye kuhonga

    Hii inatoka maktaba. Wamewahi kushtakiwa kwa kuhonga. Labda tujue kwa sisi hapa ni nani ni nani wamenunuliwa
Back
Top Bottom