swala

  1. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Wauaji wataomba msamaha kwa Mungu na atawasamehe?

    Wauaji wataenda mbele za Mungu na kuomba msamaha na Mungu atawasamehe maana kasema ijapokuwa dhambi zenu nyekundu mimi nitazing'arisha kama ziwe nyeupe kama sufii Na yatima na wajane na wakiwa wataenda muomba Mungu awaadhibu wale waliofanya mauaji ndani ya familia yao Hapo inakuwaje sasa...
  2. Superbug

    JamiiForums Tanzania Kwa swala la maandamano, nitaungana na serikali

    Kumbukeni mnaotaka kuandamana Bado mnataka serikali ifanye yafwatayo Kwa watoto wenu. 1. January waende la kwanza. 2. January waende form one. 3. January matokeoa ya 7 yatoke. 4. January matokeo ya F4 yatoke 5. Mkale Xmas Moshi nk 6. Mfungue shule. 7. Muda huu std 4 wako mitihani ya taifa. 8...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM sio chama kirahisi hivyo kwenye suala la Dola

    Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kuna anguko litatokea, ni suala la Muda

    Hakuna atakaye amini Ukanda wa azania
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira na huzuni

    Waumini waliohudhuria Ibada iliyoendeshwa na Sheikh Jongo siku tatu zilizopita walikataa kuitikia dua pamoja na kuonesha nyuso za hasira, huzuni na mshangao kwa madai ya kuwa Ibada ile ilijaa mahubiri yanayokinzana na kanuni za Kiislamu ikiwemo Haki pamoja na kuingiza Siasa na Maslahi ndani ya...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Polepole apuuzwe kuhusu gesi

    Polepople Apuuzwe: Cuba mtungi wa gesi wa kilo 20 unauzwa TZS 2,000/=. Tanzania unauzwa 55,000/= TZS.: 1.Cuba ni nchi ya kijamaa(socialist) hivyo serikali hutenga ruzuku kubwa kwa ajili ya manunuzi na kuendeleza miundombinu ya gasi,ila tanzania bei elekezi hutegemea zaid soko la dunia (market...
  7. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA linapokuja suala la mashahidi kwenye kesi ya Lissu wanapaniki sana wanatamani wasiwepo, wanaogopa Nini au wanajua?

    Kwasasa ukitaka ulowe matusi we ongelea kuhusu privacy za mashahidi kwenye kesi ya Lissu, wafuasi wa chadema wamekuwa wakali mpaka wanatutia hofu. Tunajiuliza maswali mengi mnaogopa Nini au mnajua ukweli? Kwanini msiheshimu uhuru wa mahakama? Au mmeshaona mashahidi watawavua nguo? Kwanini...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Nafikiri Nokia wajitafakari kwenye suala la smartphone na viswaswadu

    Kama Nokia anataka kurudi ajitafakari Sana bado ana nafasi. Simu za Nokia ZOTE smart na viswaswadu ni GHALI kishenzi LAKINI Zina hardware mbovu Sana hasa KWA smart za SASA . Naposema hardware mbovu sina maana hazidumu ninamaanisha hardware zisizo na performance nzuri, mfano camera, zinaganda...
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kujenga viwanda vya magari sio suala gumu, bali ugumu upo kwenye mambo yafuatayo

    Kiwanda cha magari hakigharimu fedha nyingi sana mfano ukiwa na tsh billion 300 unaweza fungua kiwanda cha magari kizuri cha kisasa navyosema ni ndogo ni pale navyo-compare na smelting na refining na sio na kitu kingine Gari linatumia vitu vifuatavyo kulitengeneza Steel kwa ajili ya bodi ya...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Tatizo la baadhi ya wafuasi wa Chadema , huwa wanakosea sana katika kuelezea mambo ikiwemo swala la kutaka Mbowe kuongea jambo kuhusu wanayoyapitia.

    Lema alikuwa hana sababu ya kuongea kuhusu Mbowe . Ikiwa mtu hayupo upande wenu Ila nyie mnasapotiwa na mamilion ya watu ambao wanawasikiliza , na kutoa sapoti zao sasa Mbowe yeye ni nani ?. Nafikiri mtaji mkubwa katika siasa ni watu . Ukizungumzia mapito msijifikirie nyie Ila mjue kuna watu...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mtume bora angekubali kuomba sala 3 tu kwa siku, kusimamisha swala 5 kwa siku ni mtihani mzito kwa waumini.

    Katika hadithi ya jinsi waumuni walivyopatiwa kuswali sala 5 kwa siku inasemwa kwamba mtume akiwa katika safari yake mbinguni alipokutana na Allah alianza kwa kupewa sala 50 kwa siku, mtume aliposhuka mbingu inayofuata akakutana na mtume Musa akamwambia kwa jinsi anavyowafahamu binadamu hizo...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa dini, inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?

    Kichwa cha habari kinajotosheleza. Inakuwaje majini yanaswali na waislam kila swala lakini hawajitokezi kwenye sherehe za waislam au ni changa la macho?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli muislam akitangulia kunyanyua kichwa kabla ya Imam wakati wa swala anageuka punda kama Sahih Bukhari inavyosema? Nani amewahi geuka punda?

    Sahihi bukhari 691 inasema wakati wa kuswali ikitokea mtu yeyote ataanza kunyanyua kichwa chake kabla ya imam wake msikitini Allah atamgeuza huyo mtu kuwa Punda. Je ni kweli watu huwa wanageuka Punda msikitini ? Imesimuliwa na Abu Huraira: Mtume (ﷺ) alisema, "Je, huyo anayeinua kichwa...
  14. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nasikitika kwamba suala la kufungiwa Glory Church linapelekwa mahakamani

    Lile ni jambo la kufanyiwa uamuzi tu. Arresting a house maana yake the whole house is corrupt. Kwa mfano nyumba ya wavuta bangi, au danguro, linafungwa. Lakini unafungia vipi Kanisa ambalo Askofu mmoja ameongea dhidi ya serikali wakati wapo wachungaji wengine mia moja ambao hawajasikika...
  15. Stability

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la vijana hapa bongo kuwa na mtindo wa ucheshi ucheshi sio suala la kupotezea kwa kweli

    Kila kijana sasa amekuwa comedian. Ukifuatilia vizuri sio kwamba ni watu wenye furaha au hata kujikimu sana basi tu wanafanya hivi ili wafariji nafsi zao kwa kujiconnect na watu na kutengeneza furaha bandia ili wadukue akili zao kuwa hawana tabu. Kiukweli ni kuwa wana taabika kiakili sana.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge akijivua wadhifa wake kabla ya muhula wake kuisha atakuwa na sifa za kupata stahiki zake?

    Habari, ikitokea mbunge amejivua wadhifa wake kabla muhula wake kuisha na kabla bunge halijavunjwa, Je mbunge huyo atanufaika na kinua mgongo cha ubunge au malupulupu yoyote wanayopata wabunge wengine wanapomaliza muhula wa miaka 5 ya utumishi?
  17. youngkato

    JamiiForums Tanzania Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu

    Sahau kabisa swala la kupungua uzito, kama unakula hii milo mitatu 1. Asubuhi unaamka na supu, chai na chapati na vitumbua 2. Saa nne unakula matunda sahani nzima 3. Mchana unapiga msosi (wali/ugali) ulioshiba wanga 4. Jioni unapiga chakula laini chips kavu au yai unashushia na soda
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Bwana Max wa JF hata kama unamiliki mtandao hapa swala la hack umechekesha

    Wenzetu mnaofahamu mambo ya IT. Hivi kiswaswadu si vile visimu vya torch ambavyo havina android wala ios. Sasa imekuwaje kuwa rahisi kudukuliwa kuliko smartphone. Hii nchi bwana Mjadala unaweza kuamilishwa na maelezo haya. Kwa ujumla, simu za kisasa (smartphones) ni rahisi zaidi kudukuliwa...
  19. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao

    Amakweli kifo cha Simba furaha kwa Swala, ACT Wazalendo wanatumia matatizo ya CHADEMA kama fursa katika Chama chao ACT wamesikika wakishawishi Wanachama wa CHADEMA wajiunge katika Chama chao endapo kama wanataka kufanikiwa kisiasa ACT inajulikama kama Chama pinzani lakini kimekuwa kikifurahia...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sigda ni ya Prof Assad tu, ile kwenye paji la uso wa Kailima ni kovu tu. Hapaswi kuswali swala 5 yule.

    Kwenye Waislam waliowahi kufanya kazi Serikalini na hawa wanofqnya kazi kwenye Taasisi za Umma sasa, naweza kusema Muislam pekee ninayemuamini na kumuona ni muislam kweli ni Prof. Assad. Huyu jamaa kwa kusimamia kweli ya dini yake alishindwa kufanya kazi na madhalim CCM. Yule nina uhakika hata...
Back
Top Bottom