kuachwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. idiomer

    JamiiForums Tanzania Laana ikoje wadau?Je ni kweli inaweza kuachwa na mtu? Sifa zipi zinamfanya mtu aweze kuacha laana?

    Mzee? Maskini? Kwa kosa lipi hasa? Je tajiri naye huacha laana?
  2. 6 Pack

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iran yawataka raia wa Israel kukaa mbali na kambi za jeshi kwa ajili ya usalama wao. Yasema shambulio la Israel nchini Lebanon haliwez kuachwa ivi ivi

    Niaje waungwana Iran inajiamini sana, ndio maana haiwezi kufanya shambulio bila kutoa taarifa mapema ili kuepusha maafa kwa kina mama na watoto kama Gaza na Lebanon. Ila sasa taarifa hizi za kuwaepusha raia na maafa, hutumiwa na viongozi wa Israel kukimbilia kujificha kwenye bunker ili kuepuka...
  3. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi za kuachwa loemba na siasa za Mo

    Baada ya usajili wa dirisha dogo miongoni mwa watu waliosifiwa ni Jayrutu hasa kwa kumsajili Inno Loemba. Sifa hizi zilimfanya hadi mwenyekiti wa bodi ya Simba Magori kutoka na kuongea na waandishi wa habari, kuwaambia yule mchezaji kasajiliwa na Simba. Wakati huo tajiri anayependa kususa timu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya Kuachwa na Basi la Katarama Luxury T 431 EHW Licha ya Kuwahi Kituoni – Naomba Kurejeshewa Nauli

    Nilikata tiketi online tarehe 08 Mei 2026 kwa ajili ya safari ya tarehe 09 Mei 2026 kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama. Kituo nilichopangiwa kupandia ni Mlandizi. Nilifika kituoni mapema saa 14:15 nikisubiri basi, lakini basi lilichelewa kufika na lilifika baada ya saa 1:30. Cha kusikitisha...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna demu nilitaka kumuacha akaniwahi nifanyeje aisee sijawahi kuachwa na demu

    Yaani huyu demu nilitaka kumuacha ghafla akaniwahi aisee ananiambia tuachane nifanyeje Yaani Kila nikimuona anajifanya mjanja mwenyewe naona anajisifia kwa rafiki zake eti kaniacha aisee mbinu Gani nimrudie au nikachane nae nisiwe na time naye he anaweza kuumia sababu kwao ni njia ninayopitia...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Uliwahi fukuzia basi kwa boda au Taxi baada ya kuachwa stendi ?

    Ilishawahi kukukuta ?
  7. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima ampatia cheti mwanaume aliyekimbiwa na mkewe siku ya harusi

    Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii Waziri wa maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na makundi maalumu, Doroth Gwajima ametoa cheti kwa mwanaumea aliyekimbiwa na mkewe siku ya harusi kutambua mchango wake na uvumilivu wake siku ya tukio. Vipi wakuu mngekuwa nyinyi mngeweza kuvumilia...
  8. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Sasa Kuna kuachwa na kutelekezwa😂😂😂

    Nimeona watu wakilalamika namna wanavyopitia shida za hapa na pale kipindi cha kuachana ... Kun watu wanaoachwa na kutelekezwa. Hii imekaaje???🤕🤕🤕🥱🥱🥱
  9. J

    JamiiForums Tanzania Deo Mahinyila, na Patrick Ole Sosopi, wanafaa kuachwa Dodoma ili kuunasua mkoa huo kifikra. Wameonyesha umahiri

    Deo na Patrick wameonyesha umahiri mkubwa ktk ziara ya NRNE mkoani Dodoma. Nashauri chama kiwaache makada hao mkoani huo waendelee kufanya kazi ya kutoa elimu ya ukombozi. ..Muda umefika kuwafukuza Ccm kila mahali nchi hii.
  10. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kama ulikua hujui kuwa MWAMPOSA aliwahi kuachwa na mwanamke kisa umaskini wacha nikufahamishe;-

    Watu wengi ukiwemo wewe najua hujui hili, Sasa leo kupitia grupu hili la Maajabu Ya Dunia wacha nikufahamishe, Kama ilovyo kwa wanaume wengi hapa duniani huachwa na wanawake kisa umasikini, Ndivyo pia ilivyomtokea mchungaji maarufu nchini TANZANIA kwasasa, Anaejulikana kwa jina la...
  11. KateMiddleton

    JamiiForums Tanzania Naomba tafsiri ya ndoto ya kuachwa na ndege kisa kusahau passport

    Nahitaji msaada wa tafsir ya ndoto Nimeota usiku wa kuamkia leo tar 19 March 2025 Nimeachwa na ndege katika ndoto kwa sababu ya kusahau passport nyumbani, Sema hii issue inanipa mawazo kwa sababu kwa personality yangu mimi ni type A/planner/meticulous person kwa maana kwamba ni mtu ambaye...
  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini na ilikuaje ukapigwa kibuti na kuachwa na mpenzi wako

    Nini hasa ilikua sababu ya msingi hata ukaachwa na mpenzi wako na mlikua mnapendana sana? Umejifunza nini kwenye mahusiano yako mapya dhidi ya ulikopigwa chini na kinaimarisha uaminifu na upendo zaidi kwenye mapenzi yenu? kuna unacho kimiss? pole kwa mahusiano ya kimapenzi kichefuchefu my...
  13. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU One Man down again Ni denzi kinoma huyu chali ya chuga He rest down because of love MUNGU MWENYEZI awatie nguvu wana familia LONDON BOY
  14. UMUGHAKA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu ya Msingi kuachwa Lomalisa akaletwa Boka ilikuwa ni ipi?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kabla ya yote nikubali ya kwamba Mimi ni shabiki na mkereketwa wa timu ya Yanga!,hivyo nitakachokiandika hapa kinaihusu timu ya Yanga! Tangu ligi ya NBC imeanza kiukweli binafsi hakuna mechi hata moja kutoka Kwa timu yangu ya Yanga iliyonishawishi na...
  15. Kahtan Ahmed

    JamiiForums Tanzania Imekuaje barabara karibia nchi nzima zinabomolewa na kuachwa kwa mda mrefu bila marekebisho

    Hii ni Tabia chafu sanna ya kufumua barabara kisha inaachwa zaidi ya miezi sita huku ikiathiri maisha ya watu kwa maradhi ya macho mafua vifua vumbi kali sanna magari kuharibuka kwa mashimo tumerudi miaka nyuma huko. Kwanini kama budget hazijatengwa barabara zifumuliwe? Naendelea kusema...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimefurahi sana Kuachwa kwa Msaliti na Mnafiki Kipa Aishi Manula

    Tena Uongozi wa Simba SC tulichelewa sana tu Kumuacha huyu Kipa Duka kwani alitumiiza pakubwa mno. Asanteni.
  17. realMamy

    JamiiForums Tanzania Umewahi kuachwa na Basi au Treni? Ulifanya nini kuliwahi

    Nyie usiombe kuachwa na Mabasi ya Mikoani hasa kipindi kile Stendi kuu ilikua Ubungo 😅. Kuna siku nilikua naenda Mbeya sasa nimefika ubungo kumbe nimesahau Tiketi, ikanibidi nirudi kufuata. Nimefika stendi Basi ndo kwanza linatoka nililia kama mtoto mdogo ikabidi watu wanisaidie kulisimamisha...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki

    Wanaume, Kuachwa na mwanamke mpenda pesa ni sawa na kumaliza deni la mkopo benki
  19. 0

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu ndugu zangu katika ili swala

    Kudos wanajf wote, nayaandika haya yote hapa kwenu nikiamin great thinkers na watu wenye ushauri mzuri mpo hapa, utani pia na kukosolewa naruhusu. Naomba mnivumilie stori ni ndefu kidogo ila nitashukuru kama mtanisoma mpaka mwisho; Ni saa 9 za usiku usingizi unatoweka ghafla,Nasikia sim kwa...
  20. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Geita isipojihadhari, itakuja kuachwa mbali sana na Njombe

    Mikoa yote miwili, Geita na Njombe, inalingana kiumri. Ilianzishwa mwaka 2012. Kila mkoa una rasilimali ya kipekee tofauti na mkoa "mwenzake". Njombe kumeshamiri kwa kilimo, hasa miti ya mbao na nguzo pamoja na kilimo cha parachichi, wakati Geita inatamba kwa uchimbaji dhahabu. Kwa utajiri...
Back
Top Bottom