swala

  1. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza kusoma Shahada ya Sayansi ya Computer

    Habari zenu ndungu zangu.. Kuna uwezekano wa mtu aliyemaliza form 6 PCM mwaka huu ( division III.14 ) akachukua degree ya computer science. Physics-E Chemistry-E Advanced mathematics-D
  2. dazzee28

    JamiiForums Tanzania Maoni yako tafadhari Juu Hili swala.......👉

    Hivi ni kitu gani ambacho haupendi mpenzi wako Akifanye Pale tu Anaposhika Simu Yako...???
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye suala la Katiba Mpya haya ndio matokeo yake

    Wasomi tunavyoendelea kukaa kimya kwenye swala la Katiba mpya haya ndio matokeo yake. Sasa kila mtu anawaza kuwa Rais au first lady, hata watu ambao hawana vigezo wala maadili ya kugombea hata udiwani nao nawaza kuwa Marais wa Tanzania au mafirst lady waTanzania. Someni wenyewe hichi alicho...
  4. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Inakuwa vipi unapokosea kwenye swala la ununuzi wa airtime/muda wa maongezi?

    Nimesikia unaweza kosea na kuunga/kutuma muda wa maongezi au kununua vocha ya bei kubwa sana mfano 100,000tshs, 1,000, 000 tshs n.k, je swala hili limewekewa utatuzi?, Maana kwa wengine inaweza kuwa ni kukosea, sasa basi, Endapo mtu alikosea kufanya ununuzi wa vifurushi, TTCL Customer Care ...
  5. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

    Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
  6. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Kwenye suala la soka mashabiki wa Uingereza ni zaidi ya vichaa

    Hawa jamaa bana wanajua kushangilia asee nadhani pombe pia inachangia. Haya Ujerumani kashakula 2-0 huko.
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Suala la Katiba mpya kwa Mtazamo wa CCM

  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Naungana na CHADEMA kwenye suala la kuitafuta Katiba Mpya, wakati wa Katiba Mpya ni sasa

    Hata kama CHADEMA wanaitaka Katiba mpya ili waweze kushiriki uchaguzi wenye ushindani halali bado katiba mpya ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu. Katiba ya sasa ina mapungufu mengi sana. Kwanza swala la elimu halikuzingatiwa kabisa katika kuwapata viongozi mbalimbali. Dunia ya sasa...
  9. Bata batani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Warning: Epuka kuingia kwenye mahusiano yeyote kwa nia ya kupata ndoa utakuja kuumia

    Sio kila mwanaume au mwanamke anaingia katika mahusiano na wewe ana nia ya kuolewa na wewe hapana kuna wengine wanakuja kupunguza stress, wengine wanakuja kwa sababu they need financial support, wengine wako broked na wengine wamekuja kuzuga tuu siku mtu wake anampenda akizingua tuu basi awe na...
  10. U

    JamiiForums Tanzania RC Hapi aswalisha suala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Musoma Mara

    Wadau wa JF Mkuu wa Mkoa wa Mara Mheshimiwa Ally Hapi ameshiriki Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa uliopo Musoma Mkoani Mara Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Mara Msabaha Kassimu alimpa nafasi ya Kuswalisha Mheshimiwa Hapi Mheshimiwa Hapi baada ya suala alitoa hotuba na alihimiza Umoja...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi ukitangaza Ndoa na una mwelekeo wa maisha, suala la Mahari hawakulazimishi sana

    Kadiri siku zinavyozidi kwenda mbele swala la mahari linaonekana kuwa la kizamani. Sijui kama ndio kustaarabika au ni kuachana na mila na desturi zetu. Kwa upande mwingine hii ni fursa kwa vijana wa kiume waliokuwa wakiogopa mambo ya mahari kwanza. Siku hizi mambo mbwelele. Siku za nyuma ili...
  12. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza MZUMBE mjomba alinihusia swala la kusave bumu

    Habarini za leo wakuu, Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa. Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
  13. Roy Keane

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu hali hii wajuzi

    I'm fine now thank you. It was nothing serious. Regards.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Suala la Covid-19 tunachafuka kupitiliza

    Nikiwa katika moja ya Airport zetu nikisubiri kupanda ndege ya Qatar kwenda Uarabuni, nilikutana na kundi la Watalii kama 9 waliokuwa wanarudi kwao Marekani wakiwa na malalamiko mazito sana. Hawa Watalii walikuwa na hasira isiyo ya kawaida wakilalamikia utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kitakachowaondoa akina Halima Mdee ni "jinai" ya wao kuingizwa Bungeni siyo suala la Uanachama wao

    Uwepo wa Halima Mdee na wenzake bungeni msingi wake ni barua ambayo Chadema wameikana kuiandika wao yenye majina ya wanawake 19 waliopelekwa bungeni. Mchawi wa CHADEMA ni Tume ya uchaguzi wala siyo ofisi ya Spika wa bunge Mh Job Ndugai. Kama Mdee na wenzake walighushiwa barua ya kuwaingiza...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Suala la Halima Mdee na wenzake linafanana sana na lile la mbunge Kihiyo wa Temeke 1995, hatimaye Kihiyo alipoteza ubunge

    Sisi wahenga tukiliangalia tukio la wabunge wa viti maalumu wa Chadema akina Halima Mdee tunaweza kulifananisha na lile la mbunge wa Temeke 1995 mh Kihiyo. Kihiyo siyo kwamba hakusoma shule, No alisoma isipokuwa alicheza na makaratasi ili aonekane almaarufu wakati sifa ya mbunge ni kujua...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Swala la chadema kuwakomalia covid-19 halina mantinki pana zaidi ya kuendeshwa na wivu na mihemuko..

    Jamani kama kichwa cha habari kinavyojieleza nimekaa na kutafakari kuhusu mnyukano unaoendelea kuwahusu hawa wabunge al-maarufu covid-19. Ikiwa uchaguzi wa 2020 uliolalamikiwa na chadema na watanzania wengi kwamba haukuwa wa haki na kupelekea zaidi ya 99% ya wabunge wa ccm kuteuliwa na katika...
  18. makwa

    JamiiForums Tanzania Dr. Festus Limbu, binafisi nimekuelewa saana kwa hili swala wafanyabiashara wakubwa

    Hii makala inapatikana katika gazeti la jamhuri la april 6,2021
  19. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

    Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
  20. polokwane

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kajibu hivi 'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.' Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
Back
Top Bottom