Chiferereji Cha jisatu
Member
- Mar 13, 2023
- 97
- 196
Jana Tanapa wametoa nafasi za kazi lakini ambacho mimi mmeshangaa. Kuna limited age.
Mwenye diploma usizidi 25year na Mwenye Degree asizidi 30years.
Au baada ya kigezo Cha JKT kutolewa Kwa Sasa Kuna limited age au kwenye miongozo Yao ya kazi ipo ipo Kwa upande wao.
Serikali iliangalie hili hapa ni kuwagawa vijana kimakundi, mtu hana kazi na ana sifa kamaliza miaka iliyopta kaona fursa umri unamkataa.
Tunatengeneza nini hapo TANAPA?