Mito ni mwendo wa maji ambao unachukua maji kutoka maeneo ya juu kwenda maeneo ya chini kwa njia ya asili au ya kibinadamu. Kwa kawaida, mito huanzia katika vyanzo vya maji kama vile chemchem, maziwa, au barafu inayeyuka katika milima, na kisha maji hukusanyika pamoja na kuanza kusafiri chini ya...
Kiukweli bora kuishi ughaibuni tu yani hapa JF naonekana nikiwasimulia watu waliopo zama za mawe wengi.
Yani ukizunguka kanda ya ziwa kuna mito na vijimito visivo kauka kupeleka maji ziwani lakini hata wazo la kuwanzisha umeme angalau wa wilaya au kuongeza megawatt hakuna.
Naumia sana kuona...
Waafrika tuna dharau sana hasa viongozi walioshika mpini.
Mwaka fulani hapa jijini Dasalam kuna project flani ililetwa nadhani na UN kuhusu kuboresha miundombinu ya jiji na bahati flani niliwahi kuwepo as mdau wa taasisi flani.
Kutokana na karabrasha nililonalo lenye michoro yote ya jiji...
Nawasalimu wote.
Maeneo mengi nchini wananchi wamejenga kiholela na ni hatari kwa maisha yao na uchumi wa nchi kwani majanga yakitokea huhudumiwa na serikali.
Nyumba nyingi zimejengwa kando ya mito ya msimu, makorongo, kwenye njia za maji kabisa na wengine hujaribu kuyatengenezea maji njia mpya...
Serikali ilitamka kuwa upungufu wa umeme umetokana na ukame lakini sasa hivi mabwawa na mito imejaa kutokana na mvua kuendelea kunyesha.
Pamoja na sababu hiyo kuna maeneo hapa Mwanza tangu asubuhi hakuna umeme. Hivi tunaishi nchi gani hii kila siku ni porojo tu?
Sijaja kwa kebehi wala maudhi ila nahitaji upembuzi juu ya hili la mito ya pombe mbinguni,
Quran 47:15 - Mfano wa Pepo walio ahidiwa wachamngu ina mito ya maji yasiyo vunda, na mito ya maziwa isiyo haribika ladha yake, na mito ya pombe yenye ladha kwa wanywao, na mito ya asali iliyo safishwa...
Ifike mahali sio kitu Ni kulaumu Serikali na kusahau kwamba wewe ndie muuaji maarufu wa miti na zaidi unakuta kwako hauna mti hata mmoja. Tubadilike mama Samia haleti mvua bali tutunze mazingira tutunze asili sio kuangamiza miti na kuamini kuwa ni uchafu.
Ukweli mchungu, kama taifa inabidi tubadiri sera zetu na vipaumbele. Kugombea maji ya kutumia na viumbe Kama ndege ilihali tunaweza kuchimba deep well na kupata maji ya kutosha ni jambo lisilovumilika.
Tumesikia mto Ruvu maji yamepungua kina na kupelekea hatari ya mamilioni ya wakazi wa jiji la...
Ni kichaa tu atakataa! ccm imechukuwa nchi kutoka kwa mkoloni, vitu vyote kuanzia miundombinu, maflyover,mifumo ya umeme, mashule mahospitali, zahanati na madawa, mabohari, mibarabara nchi nzima, mifumo ya kodi na miundombinu ya maji, reli na masoko ya kisasa bila kusahau viwanja vya ndege na...
Amani ya Bwana iwe nanyi,
Tunamshukuru Muumba kwani nchi yetu imejaaliwa kuwa na mito mingi mikubwa kwa midogo, ile ya msimu na isiyo ya msimu. Mito hii licha ya kupendezesha sura ya nchi imeleta pia changamoto za usafiri tokea upande mmoja kwenda upande mwingine.
Nilipokuwa kijana mdogo...
Na ole Wenu Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio nchini Tanzania Kesho Jumatano tarehe 12 January, 2022 ( Mapinduzi Day ) misiwasikie mkiizugumzia hii kwani imeshaenea na Kusambaa mno huko Isles ( Zanzibar )
Na yawezekana Wachezaji wake wengi ( hiyo Klabu ambayo GENTAMYCINE bado...
Tanzania ibahatika kuwa na maji mengi Sana Kuna yaliyo chini ya ardhi ambayo wengi huchimba visima
Lakini pia chini ya ardhi Kuna maeneo Yana maziwa makubwa yenye maji ambayo hutuama kwenye miamba aridhini.Mvua zikinyesha maji hutuama huko chini na kuweka reserve kubwa ya Maji ambazo...
Salama wandugu,
Nimesikitika sana nilipomsikiliza mkurugenzi wa maji Cyprian akisema kilichobaki wananchi wa DSM waombe Mungu ili inyeshe mvua kweli engineer huna option kabisa.
Nchi za wenzetu wanafanya desalination kuondoa chumvi na chemical zingine ndipo yanatumika, umeme unazalishwa kwa...
Inasemekana hawa samaki wanazaliana kama nyuki, unaweza ukawaweka 10 tu kwenye bwawa, baada ya mwaka ukawakuta wapo milioni 10. Je, hii haiwezi kutumika kutumika kutokomeza utapiamlo wa protini Tanzania?
Video ina maelezo ya ziada juu ya Asian Carp
Tanzania ina mito mingi tu lakini cha ajabu hatuitumii kwa usafiri kama mito mingi ya nchi za wenzetu zikiwemo jirani zetu Congo ambako watanzania waweza pia wekeza huko kwenye usafiri wa mito bado biashara ipo sana.
Hapa ni boat meli ya mto kongo ya abiria sisi mito yetu inatiririka bure.
Sasa hali si hali kambi ya mgombea Urais - CCM Mzee Pombe Magufuli.
Chato Airport ya kijijini na shambani kwake inamtesa yeye, inawatesa CCM wote maana haina utetezi wenye macho na akili watu wakaelewa.
Sasa kama kujifariji na kujidanganya, kila mahali anapopita anamwaga ahadi za kujenga Chato...
Vitambaa set moja ni sh.70,000 kwa 80,000.
Mto na foronya moja ni sh.15000 karibuni sana wateja ninapatikana Tunduma Songwe.
Kwa mawasiliano ni kupitia namba 0758267513.
Body of a man who drowned in River Nzoia retrieved after two months
Mwili wa Mtu aliyezama Mto Nzoia umeonekana baada ya Miezi Miwili
Citizen TV Kenya
Mimi ninachojua na nilichokaririshwa na Wadau ni kwamba Mtu yoyote akizama iwe Baharini au Ziwani au Mtoni ndani ya Siku Moja tu ataonekana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.