Hivi kwanini likifika suala la kuzungumzia imani za dini zina makosa fulani watu ufahamu unapungua

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,742
Tuna fahamu asili za dini zipotoka kuna vitu vilikuwa havipo ila tuna lazimishwa kuvitambua vitu vyao ambavyo sisi huku havipo.

Mfano chakula kama tende, kitimoto, ngamia na n.k.

NChi ya saudia dini ilipotokea ni jangwa na nguruwe kuishi jangwani ni ngumu zaidi ya ngamia.

Kama hizi dini mbili zingekuwa zinatokea Congo tungeshuhudia mboga nyingi
 
Dini ni upuuzi kama upuuzi mwingine,huwa nawashangaa sana wanaokaza fuvu kisa dini za kuletewa.
 
Dini ni upuuzi kama upuuzi mwingine,huwa nawashangaa sana wanaokaza fuvu kisa dini za kuletewa.
 
DINI ILIYO SAFI ISIYO NA TAKA MBELE ZA MUNGU BABA NI KWENDA KUSAIDIA YATIMA VIWETE KATIKA DHIKI YAO.

YAKOBO 1 :27
 
Back
Top Bottom