Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,097
45,785
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na marekani nimewaona watz kuwa wana akili ndogo Sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko mashuleni na wanakonda na kupata utapiamlo , then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga.

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza .

Ndo maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa .

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu .

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha .
Utafriti wa Nchi Masikini wanatoa wao na msaada wanatoa wao 😃😃 Utakuwa na Nyumba nzuri, Gari zuri ila bado OMBAOMBA 🤔
 
Aaah wataalamu wanawekwa pembeni na kusikilizwa wanasiasa ambao huwa wanaongea ili kulinda ugali wao.

Issue ya covid 19 aliyekuwa Anatoa maelezo hakuwa daktari wa binadamu
Usisahau Ishu ya Covid ilimkuta Waziri Dkt Gwajima akiwa waziri wa Afya..
na Dkt Gwajima ni Daktari na amefanya kazi kama DMO,RMO singida na mikoa Mingi sana mpaka naibu katibu wizara ya afya..

Na yeye alikuwa wa kwanza kuagiza Mashine ya kujifukiza pale muhimbili..
Sasa Hapo ni kosa la nani???
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na marekani nimewaona watz kuwa wana akili ndogo Sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko mashuleni na wanakonda na kupata utapiamlo , then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga.

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza .

Ndo maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa .

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu .

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha .
Kuna msemo unasema

"When the deal is to good, think twice".

Kubwa la Mazuzu kama mkuu wa Mazuzu wote nakukaribisha uzuzuni rasmi maana una sifa zote za UZUZU kupitia andiko lako hili Bora kabisa.
 
M
Tangu huu Mchele ulipotolewa na marekani nimewaona watz kuwa wana akili ndogo Sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko mashuleni na wanakonda na kupata utapiamlo , then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga.

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza .

Ndo maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa .

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu .

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha .
Mataahira nimengii sana!!! yaani mtu apike Mchele agonge ubwabwa wake eti atamani ushoga... wewe umeskia wapi??
Hayo MAVIongozi yanayopinga yanaendaga ulaya yanakula huo ubwabwa mbona si mabwabwa au??
Serikali iongozwe na watu timamu tutajakosa misaada tujifie njaa kwakiburi Cha kisomali chamtu mmoja!!
Wanipe mm gunia zangu tano nijilie ubwabwa MWAKA mzima tusileteane upuuzi hapa
 
M

Mataahira nimengii sana!!! yaani mtu apike Mchele agonge ubwabwa wake eti atamani ushoga... wewe umeskia wapi??
Hayo MAVIongozi yanayopinga yanaendaga ulaya yanakula huo ubwabwa mbona si mabwabwa au??
Serikali iongozwe na watu timamu tutajakosa misaada tujifie njaa kwakiburi Cha kisomali chamtu mmoja!!
Wanipe mm gunia Tano nijilie ubwabwa MWAKA mzima tusileteane upuuzi hapa
Hakika Mimi mwenyewe nimekula Sana misosi ya wazungu na nipo fresh.

Wanaingiza ajenda za ushoga ambazo hazina logic
 
Ikiwa hauwezi kufanya jambo usimpinge anayeweza kufanya.

Nyie lini mmefanya jambo la maana la kuisogeza nchi mbele.

Watoto umeona hali zao? Watoto wa dodoma na nchi nzima wamechoka kwa kukosa virutubisho nutrition.
Mijitu humu imekaa sebuleni sahv inapinga hali ya watoto huko
hata hawaifahamu

Ova
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.
Ujinga ni adui mkubwa wa maendeleo. Nchi bado iko kwenye lindi la ujinga kwa sababu elimu yetu inafanya watu wakariri na siyo kuelimika. Unakumbuka sakata la kuvaa mask wakati wa corona? Unakumbuka mpaka rais wa nchi alikuwa anasema mask zinaweza kuwekwa virus ili watu waugue? Unajua ukiwa na roho mbaya unadhani na binadamu wote wana roho kama yako. Nchi yetu imejaa mijitu mikatili sana ndiyo maana wanaweza kuwaza jambo la kipuuzi eti wanaweza kuweka vimelea vya ushoga kwenye mchele.
 
Umeongea point sana mkuu mijitu inayoshadadia huo mchele ni ile mijitu inayokwepa majukumu ya kifamilia

Wangese sana watu wa namna hii
 
Kuna kipindi nlikuwa mpwapwa
Uzuri kuna muda nlibahatika kukaa na afisa lishe huko,hilo tatizo alikuwa analiongelea

Ova

Siasa mkuu watz most of them hawapo logically huongea kile walichosikia kwa watu bila kutumia ufahamu .

Mimi nimekula Sana vyakula vya wazungu nothing it has been happen to me.

Watu wana a lot of experience but zero exposure.
 
Ujinga ni adui mkubwa wa maendeleo. Nchi bado iko kwenye lindi la ujinga kwa sababu elimu yetu inafanya watu wakariri na siyo kuelimika. Unakumbuka sakata la kuvaa mask wakati wa corona? Unakumbuka mpaka rais wa nchi alikuwa anasema mask zinaweza kuwekwa virus ili watu waugue? Unajua ukiwa na roho mbaya unadhani na binadamu wote wana roho kama yako. Nchi yetu imejaa mijitu mikatili sana ndiyo maana wanaweza kuwaza jambo la kipuuzi eti wanaweza kuweka vimelea vya ushoga kwenye mchele.

Ulichoongea wewe ndo sahihi.

MTU akiwa na roho mbaya huwa anadhani watu wote wana roho mbaya Kama yeye.

Ujinga unalisumbua Taifa letu.
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.
Mbona umeumizwa na issue ya Ushoga....?

Wanasema wasi wasi ndio akili..

Mimi swali ninalo jiuliza ilikuaje mchele unaagizwa waziri wa kilimo hajui?
 
Back
Top Bottom