Habari WanaJF,
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu tabia ya baadhi ya wanachama kufanya mzaha kwa watu wanaotafuta wenza wa maisha kwenye jukwaa hili la LOVE CONNECT.
Tunashauri Jukwaa hili...
Mimi ni mwanamke, umri 32, naishi dar es salaam, kazi ni Engineer nimeajiriwa na kampuni binafsi, sijaolewa na sina mtoto, muislam, body size medium, situmii pombe.
Natafuta mchumba/mume, umri...
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-33.
2. Awe amesoma atleast form 4 na kuendelea (Degree,master, PhD).
3. Awe na akili ya maisha yani mtafutaji au mwenye kazi yake.
4. Awe na hofu ya Mungu...
Mi sina mambo mengi, ninachohitaji ni mtu mwanamke ambae tutaelewana na kuoana. Sijali kabila wala dini, sijali ana kipato gani wala elimu gani.
Mimi ni muislam, umri wangu ni 42 sasa, sina...
Amani iwe kwenu wapendwa.
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 40 BILA MTOTO WALA MKE (ni member wa muda humu, sema nimeamua kutumia id tofauti ili kutunza heshima).
Ni mtumishi kwenye kampuni...
Kuna Mwanamke anatafutwa, tunaomba utusaidie kutuonesha alipojificha.
Kama mnavyojua, safari ya kumtafuta mwenza wa maisha ina njia nyingi, na hakuna njia maalumu ndio maana nchi zilizoendelea...
Habari wakuu, mnaendeleaje?
Wakuu sina haja ya kuzunguka zunguka hata kidogo kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. I’m honest natafuta mume yoyote yule au jobless au awe anafanya kazi...
Hello
I am mom of 3 kids aged 33, Human Resource officer in a government entity
Looking for a divorced,widowed,or single man with age of 45-60 to build our family and enjoy our lifetime...
Natafuta mke/mchumba;
1. Awe na miaka 25-36.
2. Awe amesoma atleast Degree na kuendelea (masterz, PhD).
3. Awe kajiajiri au muajiriwa.
4. Dini yeyoye na asiwe na misimamo mikali ya dini.
5. Awe...
Kama inavyosemekana kwa single mothers hamna hamna labda kwa mbaaaali tuwakabidhi kwa single fathers.
Ila kuna hawa walio last long tena kwenye serious relationship zao bila ya kufikia...
Kama nilivyotoa tangazo la kutafuta mke anaye jitambua hatimaye namshukuru mungu nimempata mke huyo, chaguo la moyo mwenye kujitambua.
Tunatarajia kufanga ndoa mwezi 10 mwaka huo 2023, karibuni sana.
This is for you my lovely Lovelovie,
This is my promise to you for the world to see,
Just how much you really mean to me.
I promise to love you,
As long as you love me too.
I tell this to the...
Habarini wana JF,
Mimi natafuta mume wa kuishi naye;
~ Mimi nina miaka 30
~ Mnyamwezi
~ Nina elimu ya shahada katika sayansi ya jamii
Natafuta mme mwenye vigezo vifuauatavyo;
1. Awe na miaka 38...
Habarini mimi ni mgeni humu.
Nimetokea kuupenda huu mtandao
Nina miaka selasini (30) natafuta msichana wa kuwa naye niko serious. Vigezo vyangu ni hivi 👇🏾
MUONEKANO: mrefu wastani, handsome kiasi...
Habari wana JF?
Natafuta mume awe na sifa:
-Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki)
-Umri 35-45
-Amejiajiri/Kuajiriwa
-Elimu angalau degree moja na kuendelea
-Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na...
Mwanaume nnayemuhitaji awe na sifa hizi;
~ Miaka 28 mpaka 35
~ Awe na shughuli maalumu inayomuingizia kipato ili isiwe kazi tukiamua kutaka kufunga ndoa
~ Awe mkristo, RC itapendeza zaidi
~ Mkoa...