Mume ajipiga punyeto mkwe akiwa mjamzito. Nini kifanyike?

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
17,796
32,148
Hellow,

Kuna mkasa umetokea hivi karibuni kuna familia mke ni mjamzito ni mimba ya pili lakini mwanaume anajichua.

Mke alishajaribu kuongea nae lakini inaonesha mwanaume ndio anazidi kuendeleza kujichua.

Nini kifanyike?
 
Hiyo ni addiction mkuu Kuna jomba ashafumwa chooni akinyetuka na kaacha mke ndani. Jirani anashangaa jomba hatoki chooni dakika zaidi ya 20 Mara akasikia mlio wa video za ngono yule mwanamkw alivyo mmbea kesho yake mtaa mzima ndo stori
 
Back
Top Bottom