makanisa ya kilokole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wameacha kwenda makanisa ya kilokole na yanayoanza kuegemea huko, si rahisi kula jasho la mwanaume rijali kizembe na wamechoka maigizo

    Makanisa ambayo at least utawakuta wanaume ni Roman Catholic, Wasabato, Moravian, n.k. Maigizo ni machache, Wachungaji wanaishi ndani ya uwezo wao, kuna urugu chacha za kugombaniana mali, n.k. Kwa mtazamo wangu, makanisa mengi ya kilokole na hata yale yanayoanza kufuata mkondo huo, kama baadhi...
  2. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Enyi Makanisa ya kilokole mwanamke akipata mimba kabla ya ndoa msimtenge mnachochea abortion acheni wazae nyinyi siyo Mungu

    Wachungaji wa Makanisa ya kilokole punguzeni mashariti acheni kuwatenga mwanamke wanaopata mimba kabla ya ndoa, hii inapelekea ongezeko la utoaji wa mimba. Na ninyi wanawake mchungaji siyo Mungu ni binadamu kama binadamu wengine acheni kujieleza Kila kitu kwa wachungaji au mnalogwa? ...ongeeni...
  3. Titicomb

    JamiiForums Tanzania KERO Makanisa ya Kilokole yadhibitiwe. Yanapiga mziki mkubwa sana katikati ya makazi ya watu. Tuna wagonjwa na wanafunzi

    Makanisa ya kiprotestanti, pentekoste maarufu walokole mengi yamejengwa katikati ya makazi ya watu. Siku za ijumaa kuanzia jioni wanapiga mziki mkubwa sanaa, wanaongea kwa vinasa na vikuza sauti.Wanakesha usiku wote kelele. Hatulali kelele kubwa sana. Jumamosi na Jumapili wakati wa asubuhi...
  4. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Makanisa ya Kilokole yana shida kubwa sana

    Haya makanisa kwanza yapo kibiashara zaidi. Nikweli makanisa yote yapi kibiashara lakini ya kilokole yapo kibiashara nje nje bila kufichwa utaambiwa live. Hii ni mifano michache tu •Kumuona mchungaji,Mtume au nabii Hela. •Kuombewa hela •Utauziwa maji,sabuni,mchanga,vitambaa, mafuta nk...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu siwezi kuja kuamini miujiza ya wachungaji

    Kwa bahati mbaya sikuwa na muda wa kutengeneza documentary lakini nilishuhudia vitimbi vingi sana Ni watu wa humo humo kanisani wanaojifanya ni wagonjwa, baada ya muda wanahamia matawi ya mbali na huko utawaona kwenye tv kwa mambo yale yale, watatoa shuhuda, watatoka hadi nje ya kanisa waki...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kwa utafiti niliofanya kwa ndoa za kikristo, ndoa zenye wanawake wa makanisa ya kilokole huongoza kwa matatizo na kuvunjika

    Makanisa ya kilokole mengi, wachungaji wake hujiita manabii na mitume ambao mara nyingi huonekana na waumini kama watu walioteuliwa moja kwa moja na Mungu, matatizo mengi ya waumini huonekana kama ya kipepo au ya kichawi hata yale ya kawaida, Ibad huenda sambamba na muziki mkubwa na kucheza kama...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ni Muda huu nasikiliza Mchungaji anakeme Bawasili, na kumwagiza muumini aende uani akajitazame amepona

    Ni kweli ukiwa na matatizo unakuwa na hali ya kitanga tanga sana ili upate msaada. Bawasili ni uvimbe unaotokea ktk njia za haja kubwa kutokana na kuvimba kwa mirija ya damu inaopeleka damu sehemu hizo. Mishipa hii ni matawi ya mirija mikubwa kutoka tumboni. Mishipa hiyo ni Superior Mesentary...
  8. N

    JamiiForums Tanzania KERO Makanisa ya kilokole ni hatari, yanasambaratisha familia

    Habari Wana JF?. Hii ni true story kabisa. Kuna familia ya jirani yangu imesambaratika sababu ya MAKANISA ya KILOKOLE japo kisa kilianzia mbali sana. Mume mtu alikuwa anamtuhumu mkewe kuwa kwenye ukoo wao kuna mkosi WA wanawake kufiwa na waume zao. Katika familia ya huyo mke mtu, kuna wanawake...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya akina Mwamposa, Mwacha na Wenzenu dalili ya Mvua ni Mawingu

    "Hivi sasa yameibuka mafundisho ya baadhi ya viongozi wa dini yanayowaaminisha wafuasi wao, kutegemea miujiza Zaidi, ili kupata maendeleo badala ya kufanya kazi kwa bidii na maarifa, viongozi hao wanawaelekeza waumini wao kwenda kwenye nyumba zao za ibada, ili wakaombewe wapate mali, ikiwemo...
  10. D

    JamiiForums Tanzania We amini Mungu yupo tu inatosha. Ona yule kiboko ya wachawi anavyowacheka watanzania kuwa ni mazezeta

    Mi nilikuwa Mkatoliki baada ya kuona ni ukoloni na utumwa nikaamua kuachana na kwenda kanisani kabisa japo namuomba Mungu ki vyangu vyangu. Imagine Mapadre au Maaskofu wana pesa mpaka za kuhonga wanawake na wengine wanashinda bar wakinywa bia na shisha lakini waumini ndo wanakamuliwa kwa sadaka...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

    Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo. Soma pia: Kufungiwa kwa...
  12. VINICIOUS JR

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu wa kike kaenda mkesha kwenye makanisa ya kilokole ila nina wasiwasi. Je, kesho akirudi nitakuwa sawa kumdadisi?

    Kwema wakuu, Kama mada inavojieleza. Nimepokea taarifa kwa shingo upande kua mdogo wangu kaenda mkesha kwa makanisa ya kilokole, najua kwenda ibadani ni sawa lakini nahisi kuna mambo yanaweza kuendelea huko. Naomba maoni yenu ila sitapendezwa na lugha chafu.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hii tabia ya Walokole (hasa Waumini) wa hawa Mitume naomba Serikali ije na Uamuzi wa Kishalubela / Kikatili ili kuwadhibiti

    Naiomba Serikali ije na Sheria Kali ambayo itakataza Waumini wa Kilokole ( hasa hawa ambao wanawaabudu ) hawa Mitume Majuha, Waongo na Matapeli kwenda Kusali huko kuanzia Asubuhi hadi Usiku huku wakiwa hawafanyi Kazi yoyote ya Kujiingizia Kipato au ya Kujenga nchi. Kama Serikali watakubaliana...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

    Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ" "Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye makanisa ya kilokole, kisabato hakuna ombaomba nje kama Misikitini?

    Wasalaam, Nimechagua hawa maana ndio wanavuguvugu kubwa la kuliishi neno. Sina uzoefu na RC au KKKT lakini makanisa ya kisabato na kilokole mengi nimeingia. Tofauti na wale wakristo wa awali, Njia ya kuelekea hekaluni ilikuwa imejaa ombaomba. Hawa jamaa walikuwa wanamvizaga Yesu, mitume...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Serikali mmeshindwa Kudhibiti haya Makanisa ya Kilokole yanayokesha Kutupigia Kelele Usiku Kucha ili Sisi Wanaotukera tuchukue Maamuzi?

    Haiwezekani Great Thinker wa JamiiForums GENTAMYCINE ( alias 'East African Brain ) nataka Kulala nasikia tu Mikelele ya....Ooooooo Rabashaka Raboshoka.....Ooooooo mtendeee Bwana Yule na Huyu........Ooooooo Rabota Rushakakaka.........Ooooooo Mfinyange Mfinyange.......Ooooooo zuia Usihgizi Wao...
  17. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Makanisa Ya Kilokole Yamechangia Watu Wengi Kuwa na Ugonjwa Wa Afya Ya Akili

    Nataka nifungue Kanisa langu nipige mpunga. Naona future ipo huko. Siku hizi watu wamekata tamaa sana wanahitaji maneno ya faraja tu kidogo alafu wanakupa sadaka. Hebu mwangalie Pastor Mgogo, Yule mzee Majumbasita, Mashimo, Geo David Wa Arusha Kuna mmoja hivi ni comedian, Masanja...
Back
Top Bottom