Katika historia ya tasnia ya mitindo duniani, wapo wabunifu maarufu ambao walikuwa au ni mashoga (wapenzi wa jinsia moja), na wengine wamekuwa wakihusishwa na tasnia hiyo kutokana na uhusiano wa kitamaduni kati ya mitindo na jamii hiyo.
Wabunifu Maarufu wa Kimataifa
Gianni Versace – Mtindo...
Mambo Muhimu
Takriban wafanyakazi 60,000 wa Microsoft wanastahili kujiunga na mpango mpya wa kuacha kazi kwa hiari (buyout) katika nchi nne(Marekani, Kanada, India na Uingereza)
Hatua hii inakuja miezi sita baada ya Microsoft kutangaza mpango wake wa kwanza kabisa wa kustaafu kwa hiari kwa...
Mkazi wa Kijiji cha Mafisa mkoani Tanga, Juma Hamisi Msilagi (69) amezawadiwa shilingi 20,000 baada ya kusalimisha kwa hiari silaha haramu aina ya gobore aliyokuwa akiimiliki kinyume cha sheria.Msilagi amekabidhi silaha hiyo kufuatia wito wa kusalimisha silaha haramu uliotolewa na Waziri wa...
Nchini Japan, watu hutoweka kwa hiari kupitia utamaduni unaoitwa jouhatsu au kuyeyuka kama mvuke.
Maelfu ya watu huacha familia, kazi, na madeni kila mwaka ili kukimbia shinikizo la maisha.
Sababu kuu ni aibu ya kijamii, kufeli kazini au mitihani, sababu za kiusalama na madeni mazito ya...
Majibu ya AI kuhusu mapenzi ya jinsia moja:
Kulingana na makubaliano makubwa ya kisayansi na mashirika ya afya duniani kama vile Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO), mwelekeo wa kijinsia (pamoja na mapenzi ya jinsia moja) sio jambo la hiari au chaguo la mtu binafsi. Wataalamu wa afya ya akili na...
Utamaduni wa kuwajibisha viongozi wanaofanya ubadhirifu, ufisadi na rushwa umeanza kubaki kama hadithi za kusadikika tu kwenye nchi yetu; hakuna tena mihimili yenye nguvu, mathalani mahakama zenye uwezo wa kuamua, kuheshimiwa na kutekekelezewa matakwa yake.
Miaka michache mbeleni, tutakuwa na...
Huyu mwanamke ni hatari aisee..
Kakataa katakata kushindwa kirahisi rahisi na asiye upande wake...
Je, inaandaliwa kesi ya uhaini dhidi yake...?
Inasemekana alikuwa na mipango ya kumpindua boss wake kwa namna yeyote..
Rejea makutano yake na TEC mara kwa mara. Then na safari zake za nje ya...
Habari zenu Wana Jukwaa na Uongozi wa JamiiForums, Tech Team
Mimi ni mmoja wa wadau na watumiaji wa muda mrefu wa jukwaa hili. Lengo la kuleta uzi huu ni kutoa ombi rasmi na rejesho (feedback) kuhusu mabadiliko ya hivi karibuni kwenye mfumo wa App ya JamiiForums.
Kwa siku chache zilizopita...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Dk. Emmanuel Nchimbi, "amegoma kujiuzulu," kwa mujibu wa gazeti la Mwanahalisi.
Taarifa mikononi mwa gazeti hilo zinasema, Dk. Nchimbi amekuwa akikabiliwa na shinikizo la kumtaka kujiuzulu wadhifa wake, kufuatia kuibuka kwa madai ya kutoelewana na bosi...
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam.
Waziri Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaendelea kuimarisha mazingira yanayowezesha maendeleo ya sekta ya lojistiki, usafirishaji na elimu ya ufundi ili kufanikisha utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo, akisisitiza kuwa sekta hizo ni nguzo...
Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia (WHC) ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO) kilichoanza Julai 19, 2026 kinaendelea jijini Busan katika Jamhuri ya Watu wa Korea.
Mkutano huo unahudhuriwa na takriban watu 3,000, akiwemo Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO...
Mimi siamini unachokiamini, unataka nisile ati kwakuwa wewe umefunga mara ooooh nisile hadharani, yaani nilie chumbani au kichakani kama nafanya ngono
Unakuta mtu saa 9 kalegea kama msusa, mishipa usoni imemtoka, macho yamelegea na kujaaa tongo tongo, mdomo unapasuka ila ananuna tukiwa...
Dini zimemfanya shetani awe kapu la kutupia lawama na dhambi zoooote,
Binadamu anaonekana kama hatendi kwa hiari, kila anachokosea kuna mkono wa shetani, kama mnyama asie na akili.
Mtu kazini kwa maamuzi na starehe yake lakini lawama atupiwe shetani, Shetani ndie aliekwambia uhonge, utongoze...
Habari wanajamvi
Kampeni/matamasha yanaendelea
watu walewale wanaendelea kusombwa kwa malori kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Akiwa kwenye mkutano mmoja wa kampeni juzi, mgombea wa CCM Bibi SAMIA alisema " SISI SIYO WALE WA TONETONE" Bila shaka raisi ameelewa maana ya tonetone ama hajaelewa...
Timu zetu za mpira zinaongozwa kiujanja ujanja sana sio sawa hata kidogo kidogo
Timu zinasign mikataba ya mabilioni ila wanachama hawaambiwi matumizi-
NIKIWA RAIS KUPITIA BMT NI LAZIMA KWA TIMU ZA LIG KUU NA LIGI DARAJA LA PILI KUFANYA AUDITING NA KUISOMA KWA WANACHAMA WAO NA KUIBANDIKA KWENYE...
Wakati wengine wanangoja “wateja waje wenyewe,” walioamka wanawalipia wateja wao waje sasa hivi. Dunia haingoji tena, matangazo ya online ndiyo silaha ya kila mfanyabiashara mwenye akili ya kiuchumi.
Zamani biashara ilikuwa ya kupiga kelele sokoni au kuweka bango barabarani. Sasa dunia iko...
Kuna simulizi ya Bible kule Misri kuna fimbo ya muujiza ya Haruni ambapo alipoibwaga chini mbele ya Farao ikageuka nyoka..
Farao alipoona vile naye akawaita wachawi wake wote maarufu nao wakaja na fimbo zao wakazibwaga chini na kugeuka nyoka.. Ila nyoka aliyetokana na fimbo ya Haruni akawala...
Baada ya Miaka 4 ya purukushani na aliyewahi kuwa Mke wangu Leo nimeamua kwa hiari yangu kuweka silaha chini na focus yangu iwe kwenye kuboresha maisha yangu na kizazi changu, nimeamua kumtumia ujumbe hapo chini.
"Ulinambia wazi kwa kinywa chako kuwa nimeshindwa kulea watoto, hata ukasema ‘kila...
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.
Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.