mapenzi ya dhati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Dhana ya mapenzi ni uchafu na ukweli wake katika kubaini mapenzi ya dhati

    Dhana ya mapenzi ni uchafu ndiyo dhana pekee duniani iliyofanikiwa kupima na kubaini mapenzi ya dhati kwa usahihi. Yaani mtu anayekupenda kutoka ndani kabisa ya moyo na hisia zake mkiwa kwenye 6 kwa 6, atakula mate yako, jasho lako, kamasi lako na atalamba hata wayo wako. Hataona kinyaa wala...
  2. Engager

    Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

    Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu. Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja. Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi...
  3. C

    Mwanamke anapompenda mwanaume mwingine Kuna uwezekano kuwa na mapenzi ya dhati kweli ndani ya ndoa?

    Wakuu habari.. Kichwa kinjieleweza, nilipo sijalala Jana kwa hii kadhia, naombeni ushauri nimwache aende au tusuluhishe.,,😭😭😭
  4. olimpio

    Sakata la Ngorongoro ni kweli wazungu wana mapenzi ya dhati na Tanzania?

    Nimewaza sana baada ya kuona bunge la umoja wa nchi za ulaya umepiga kura kwa wingi kabisa kulaani serikali ya Tanzania kuwaondoa kwa hiari wamaasai Ngorongoro . Hamaki yangu kubwa ilisimamia hapa 1. Je, ni kweli wanatupenda sana hawa wazungu kuliko ndugu zao wanaoteseka huko Ukraine ? Nchi...
  5. Black Opal

    Wanawake, pesa au mapenzi ya dhati? Wanaume, tako au tabia nzuri?

    Wanawake kipi cha muhimu kwako mwanaume kuwa nacho, pesa au mapenzi ya dhati? Na kwa mabaharia kipi muhimu kwako mwanamke kuwa nacho, tako au tabia nzuri? Twende kazi...
  6. Nyenyere

    Siri ya kudumu kwenye mahusiano

    Wakuu, nawatakieni amani na furaha mioyoni mwenu. Leo nina mada fupi tu kwa wote ambayo naomba tujadili. Katika mahusiano ya mapenzi, hasa kwenye ndoa, kuna tofauti kubwa sana kati ya nini atakacho mwanamume na nini atakacho mwanamke. 1. Kwako mwanamke- Elewa kwamba heshima (respect) pekee...
  7. Carlos The Jackal

    Mwanaume Masikini anaamini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati!

    Kuna Hii Mentality kwenye Jamii, kwamba Mwanaume Masikini ndio mwenye Mapenzi ya Dhati sanaaa, kwamba anapomtongoza mwanamke, Eti wewe Mwanamke unapaswa kumkubalia na kumpenda tu sababu ana Penzi la dhati . Mwanaume Masikini akiachwa utasikia "Sawa umeniachia tu kisa Sina Hela, nitapata tuuu n...
  8. S

    Wanaume, zingatieni sana jibu la kwanza mnalopewa mnapotongoza ili kumpata mwenye mapenzi ya dhati

    Unapomfukuzia mwanamke kuwa makini sana na jibu lake la kwanza kutolewa kinywani mwake. Ukikataliwa, ukipewa excuse, ukiambiwa "mimi sikupendi", ukiambiwa "shika adabu yako", ukiambiwa "aku mm nina mtu wangu" ama jibu lolote linalofanana na hayo LIHESHIMU. Ukikomaa utakuwa na mpenzi ama mke...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    Usidanganyike, Wanawake hawana mapenzi ya kweli

    Habari Wakuu! Bila kupoteza muda. Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Wanawake ni Mama zetu, dada zetu, shangazi, Bibi na pia Wake zetu. Tunawapenda Kwa sababu Sisi ndio wenye Kupenda, upendo ni Asili yake ni kutoka kwetu. Hata hivyo hatuwalaumu wanawake Kwa tabi zao kwani ndivyo hulka Yao...
  10. gango2

    Billboard ya umpendaye! Je ni mapenzi ya dhati? (critical thinking)

    Happy Valentine nyote! Nimeona siku isiishe kabla sijaweka hii hapa jukwaani (Sijui kama kuna mtu ameshaweka hili), but nimetamani kupata view za great thinkers maana Actually, valentine ya leo imekuja na suprise kwa watu wengi, baada ya mwanadada mmoja pia mwana kaka mmoja kuprint bango...
  11. mr pipa

    Mapenzi ya dhati hupimwa kwa njia zipi?

    Je, ni ni pale unapo mnunulia mpenzi wako zawadi na kumtimizia mahitaji yake kwa wakati? Au ni pale anapopatwa na matatizo na mpenzi wako akawa nawe bega kwa bega Nauliza hili nikiwa na mifano hiyi miwili kuna jamaa zangu walikuwa wanawapenzi. Jamaa yangu wa kwanza yeye alipataga hela za madini...
Back
Top Bottom