Wewe Dada. Binadamu pekee mwenye mapenzi ya dhati kwako hapa duniani ni mumeo

Engager

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
1,274
2,648
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu.

Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja.

Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi hicho?

Sijui mlikutana wapi, ila hadi akachukua jukumu la kuja kwenu kukuomba kwa wazazi wako, akatoa mahari akakuleta kwake na sasa anaishi na wewe.

Anajitahidi kadri ya uwezo wake usipate taabu, anapenda kukuona ukiwa na furaha muda wote hata akikukosea anajishusha ili tu uwe na furaha. Pamoja naushenzi wako wote ila anakuvumilia, hataki kukupoteza.

Ulisha wahi kujiuliza wewe ni nani hasa kwake? Ni kitu gani special unampatia kiasi cha kumpa sababu ya kukupa wewe thamani kubwa hivyo katika maisha yake? Labda sex? Lakini unadhani hangeweza kupata sex bila wewe? Unadhani pamoja na uwepo wako katika maisha yake hapati sex huko nje?

Tuseme labda anafanya hivo sababu umemzalia watoto? Hapana, watoto wamekuja baadae sana. Wamemkuta akiwa anakupenda hivohivo.

Kwahiyo ukiangalia ki undani, utagundua mume wako anakupenda bila sababu. And that's what true love is. Na siku ukifa, ni yeye ndiye ataumia zaidi kuliko mtu mwingine yeyote.

Mtasema the vice-versa is true. Ila hapana. Mwanamke anampenda mume sababu anaprovide something. Anahudumia. Mume ukishindwa kuhudumia, mapenzi ya mkeo kwako will gradually fade out and eventually disapear. Siku moja tu utatoka kwenye mihangaiko ukute kaleta fuso, kabeba kila kitu ndani kaondoka zake.
 
Sio kweli, hii ni stereotype usiiamini

Unajikandamiza, unauhusisha utu wako na mali

Utakapokosa hizo mali/ukiwa nazo kidogo utakosa na furaha

And yes, you can be loved for just the way you are.
I don't mean you can't love yourself! You can, but mostly as a man in natural selection you have to be strong to provide. Being loved as a man you have to offer something, because masculine is about provision we are meant to provide. Mwanamke ana feel comfortable kwa mwanaume anae provide. That's how things work. Tukiondoa stereotypes zote hii ndo jinsi mambo yalivyo.
 
Back
Top Bottom