mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

    Habari, Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana. Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Habari za weekend, Jamani wanawake mwenzangu naombeni ushauri. Mimi ni mama nina umri wa miaka 38 nina watoto 3. Kwa ufupi mimi na mume wangu tulikuwa tunaishi kwa furaha sana, tena furaha sana, tulikuwa kila weekend lazima tutoke out na kufanya shopping za kawaida tuu. Tulikuwa ni watu wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mume wa Spika kuwa Bosi wa EWURA haiwazuii wabunge kuisimamia Wizara ya Nishati

    Kitendo cha MUME wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia kuteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA haiwazuii wabunge kujadili matatizo yaliyoko kwenye Wizara ya Nishati hasa yatokanayo na mambo ya mafuta eti kwa sababu Spika anamgongano wa kimaslahi na Wizara ya Nishati. Wabunge mko bungeni kwa ajili ya...
  4. Jemima Mrembo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisa cha mume wangu na dili la mbwa

    Kisa hiki nimeshindwa nikiweke kwenye jukwaa gani haswa, sijui jukwaa la habari mchanganyiko, sijui jukwaa la uchumi na biashara au jukwaa la mapenzi? All in all let me drop it here. Kabla sijaolewa nilijiwekea nadhari kwamba nataka ñiolewe na Bwana mwenye akili, hata kama hana hela au wengine...
  5. 5

    JamiiForums Tanzania Kisa kilichombadilisha mume tabia.

    🗯️
  6. KusiniKuchele

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta Mume

    Habari wana JF? Natafuta mume awe na sifa: -Mcha Mungu Mkristo(Mkatoliki) -Umri 35-45 -Amejiajiri/Kuajiriwa -Elimu angalau degree moja na kuendelea -Muelewa awe na moyo wa upendo na huruma na mwenye kujua maana ya familia Kuhusu mimi -Umri 31years, -Kabila Mwiraqw(Manyara) -Nina degree moja...
  7. Okrap

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wa mtu hana mapenzi ya kweli

    Kaa ukijua mume wa mtu hakuna mapenzi ya kweli, alitakalo likitimia hana muda na wewe. Usilogwe kumpenda mume wa mtu, mwisho wa siku atakuacha peke yako. Bora kupambana na hawa papatu papatu.
  8. Kamulimuli

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuolewa/kuoa tena Na Mume/Mke wako kwenye Maisha Mengine.

    Kwa walioko kwenye ndoa na walio wahi kuwa kwenye Ndoa..Ikitokea Muda ukarudi nyuma..au kukawa na Maisha mengine baada ya haya.Je utakubali kuolewa/kumuoa tena huyo mwenzi wako?
  9. Engager

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wake ni mtu wa kusafiri

    Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu. Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza ilikuwaje wakatembea na mke wa mtu, hichi kipengele cha 'mumewe ni mtu wa kusafiri sana' kimetajwa...
  10. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Mume wa mtu ananitaka

    Nimetoka tu nje ya geti kununua mafuta ya kupika chakula, nikasikia gari ikipiga honi, kuangalia ni mubaba muzuri ananiulizia wapi kwa fulani, gari kali nyie, ananukia. Eti dada samahani, eti kwa fulani ni wapi? Nikamjibu sijui labda matoyo tuwaulize, anakataa. Nikamwambia haya siku njema...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni wanawake wa makabila gani hapa Tanzania wakiolewa hawajihesabii kuwa sehemu ya kudumu ya ukoo na familia ya Mume?

    Hello JF family, Ndoa ni muunganiko wa familia na koo za pande mbili, katika pitapita zangu nimepata sikia yapo baadhi ya makabila wanawake wakiolewa hawqjihesabii kuwa sehemu ya familia na ukoo wa mume. Hata wakiolewa wana ukwao au unyumbani mwingi na kamwe hawana mguso thabiti na wa kweli na...
  12. tecknologia23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kweli

    Nina miaka 34 mie mkristo, elimu yangu ni Diploma ya Biashara na Usimamizi. Kazi yangu ni mjasiriamali. Sifa za mwanaume awe Dini yangu umri 38-43 , awe kanizidi mie kipato naasiwe mlokole , awe na elimu ya kawaida ila isiwe Diploma . Awe mkarimu,Muelewa , Anaheshima Kwa wote , asiwe nawivu...
  13. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Utajiri wa Mume wako Usikufanye uache kazi Maisha Yanabadilika

    Hope ni wazima Wana Jf Nina sister yangu upande wa baba mwingine (baba mkubwa)kanipita kidogo umri ni mkubwa kwangu baada ya kumaliza degree ya uhasibu miaka Ile alipata kazi benki ya N.... mkoa x wakati sister yupo chuo alikuwa na mtu wake ambaye amemuoa. Kabla ndoa walikuwa wanaoishi wote...
  14. Dr Restart

    JamiiForums Tanzania Evelyn: Nina sehemu za siri mbili. Moja kwa ajili ya mume wangu, nyingine kwa ajili ya kazi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, wahenga walipata kunena. Mwanamama Evelyn Miller mwenye miaka 31, Mkazi wa nchini Austarilia amestaajabisha kwa kusema wazi kwamba amejaaliwa nyuchi mbili, zote zikifanya kazi kwa usahihi kabisa. Mlimbwende huyo mwenye mume na watoto wawili ni mchezaji...
  15. The Mafia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yangu na house girl walivyoua wanangu na mume wangu

    Wanangu hawakuwa boarding school. Baba yao mdogo na dada wa kazi ndio waliowafundisha ku SEX. Tuwaombeeni sana watoto wetu, Najuta kuwatoa muhanga watoto wangu kwa ajili ya kazi yangu. Niliolewa nikiwa na miaka 24. Mimi na mume wangu wote tulikuwa madaktari. Wote tulizingatia sana kazi na...
  16. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa, awe HIV+

    Habari mimi mdada mwenye umri wa miaka 39 ni muajiriwa, nahitaji kuwa na mwenza awe na miaka 41 hadi 50. Awe HIV+, Mkristo mwenye hofu ya Mungu. Aliye tayari na serious aje PM tuzungumze.
  17. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa Nashangaa sana Muislamu anapohangaika kutafuta Mke/ mume. Mkristo namuelewa kutokana na ndoa ya kikristo ilivyo

    Habari wadau. Naona post nyingi za watu kutafuta wenza wa dini zote. Pia hata mitaani naona watu wakihangaika kusaka wenza.. Huwa nashangaa sana na waislamu nao wanahangaika kusaka wenza kama mke na mume. Uhalisia naona kama waislam ni rahisi sana kupata mwenza kwenye mazingira yeyote
  18. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kiislamu aliye tayari kuwa rafiki, mchumba hatimaye mume

    Asalam aleykum Nimekuwa single kwa mda mrefu nimeona sasa ni muda sahihi kuwa na familia Sihitaji Mtu wa kusumbuana nae tena Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia mwenye uhitaji navigezo ninavyohitaji naamini Kuna wanaume wema wenye uhitaji Sifa za mwanaume. -Muislam awe anafanya ibada...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Stori ya Kweli: Nguvu za kiume za mume wangu

    hfhghg
  20. Jemima Mrembo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu alishinda tuzo ya JF, karudi nyumbani na tuchips hatufiki hata kumi, na kamshikaki kamoja

    Yaani tangu alipoondoka saa 12 asubuhi kufuata zawadi yake ndio anaingia ndani muda huu, kalewa pomoni, anasema huko waliitiwa kula na kunywa. Lakini jirani yetu hapa naye alishinda hizo tuzo, naona karudi na mazaga kibao, na pilau naisikia ikinukia. Kweli mambo ya JF ni makubwa mno, hata tu...
Back
Top Bottom