mume

Numerous computer and video games have been inspired by J. R. R. Tolkien's works set in Middle-earth. Titles have been produced by studios such as Electronic Arts, Vivendi Games, Melbourne House, and Warner Bros. Interactive Entertainment.

View More On Wikipedia.org
  1. Aathan

    JamiiForums Tanzania Mume, mchepuko au Boyfriend

    girls, ninani hua anakufikisha kileleni Mume wako, boyfriend wako au mchepuko wako ?
  2. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
  3. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Samia alikwenda Kenya na Kikwete, je walikwenda peke yao au na mume wa Samia?

    Kichwa cha habari kiko wazi.
  4. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Manyara: Mke amjeruhi Mume wake kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba

    Mwanamke mmoja anayefahamika kwa jina la Veronica Muhale (40), Mkazi wa Kata ya Endagaw, Wilaya ya Hanang’ Mkoani Manyara, anadaiwa kumjeruhi Mume wake Josephati Kasi (45) kwa kuzikata kwa kisu sehemu zake za siri na kuzitupa nje ya Nyumba. Imeelezwa kuwa chanzo cha Veronica kufanya hivyo ni ni...
  5. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Hatembei na Mume wake? CCM Haina washauri wa maadili?

    Miaka ya uchaguzi Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa, mzee Kikwete na Mzee Magufuli walikuwa wakitembea huku na kule na wenzi wao. Je rais Samia hana washauri juu ya hili? Kwanini anamtenga mume wake? Je, anatoa picha gani kwa umma? Kikwete aliwahi kumlazimisha Magufuli kumtambulisha mke wake kwenye...
  6. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mama Mkwe ni Rais wa Nchi, yeye kama Mume ni Waziri wa Wizara kubwa kuliko zote, Mke wake naye anaenda kupata Ubunge.

    Kwani tukisema nchi inakaribia kuwa ya ki Falme au ki Monarchy tutakosea? ======================================== Katika familia zenye hadhi kubwa ya kisiasa na utawala hapa nchini, huwezi a kuacha kuitaja familia ya Mohamed Mchengerwa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI) Tawala za Mikoa...
  7. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mume wa Zari amekung'utwa huko Kampala kwenye masumbwi

    Kulikuwa na pambano jana huko mjini Kampala lililopewa jina la Kampala Ramble Ebana huyo mume wa Zari a.k.a mume mwenza wa Diamond Platnumz kachezea vitasa, yani kapigika haswaa. Tumuombee tu awe hajaumizwa.
  8. veyra

    JamiiForums Tanzania Ndani ya hisia kali, machozi yakimtoka Zari wakati mume wake akipigwa kwenye ulingo wa ndondi

    Zarithebosslady machozi na presha vyote kwa wakati mmoja wakati mume wake SHAKIBU alikuwa akipokea makonde kutoka kwa rickman hapo jana. Unamshahuri nini Zari. *** Mwanamama mfanyabiashara mrembo, Zari Hassan maarufu ZariTheBossLady alionekana kutetemeka sana baada ya mumewe, Shakib Cham...
  9. Damaso

    JamiiForums Tanzania Lutaaya Mume wa Zari apigwa Knockout

    Zari Hassan maarufu kama Boss Lady amejikuta mwenye majonzi baada ya mumewe, Cham Lutaaya, kuchezea kichapo heavy na kupoteza kwa knockout mikononi mwa msanii Rickman Manrick katika pambano la The Kampala Rumble. Pambano hilo lililofanyika jana Agosti 30, 2025 katika Ukumbi wa MTN Arena...
  10. Sniper

    JamiiForums Tanzania Vifungo vya Kichawi Baada ya Talaka

    Ndoa ni taasisi yenye nguvu kubwa kijamii na kiroho. Lakini pale panapojitokeza kutokuelewana, mara nyingi matokeo yake huwa ni migawanyiko na hatimaye talaka. Katika mazingira mengi, talaka haimalizii tatizo pekee, bali huibua hali mpya ya maumivu, visasi na mara nyingine mashambulizi ya...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mama Mobeto amnyakua mume wa tajiri Jesca kitambaa cheupe. Ama kweli mashangazi ni hatari

    Yaliyojiri siku za karibuni, Kuna taarifa kwamba mama yake Hamisa Mobeto ambae ni Mama Mobetto amemnyakua bwana/ mume wa boss wa kitambaa cheupe Jesca Kikumbi. Kufuatia mnyakuo huo bi Jesca amedata na kwenda vacation huko Serengeti, Huku akionyesha mwili wake mzuri kwa mavazi ya kuogelea, kitu...
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania NI marufuku mke kulala na nguo na inashauriwa mume alale na kanzu

    Mke alale uchi asilale na nguo na mume ingefaa alale pia uchi ila kwa sababu za kiusalama kitengo inabidi walau awe na kitu for emergency sasa yafaa alale na kanzu ili aipandishe kama dera wanandoa wa hivyo nawapa nyota nawapa site.vijana wadogo hawawez kuelewa.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta 'mwananake' mwenye uhitaji wa mume ili kujenga familia

    Tumsifu Yesu Kristo ndugu zangu. Ndugu zangu mimi ni mwanaume, miaka 40 natafuta mwanamke mwenye uhitaji wa mume ili kuishi maisha ya kumpendeza Mungu kwa kufunga ndoa na kujenga familia bora pamoja. Elimu yangu ni ya Chuo, nina kibarua cha kunipatia kipato cha kuendesha familia vizuri...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume asizidi miaka 40

    Mimi ni mama wa miaka 23 Niko Dodoma Kazi mtumishi Mrefu,mweupe sio mwembamba Wala sio mnene Mume ninayehitaji asiwe mlevi sichagui dini Wala kabila
  15. Fanfa

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ndugu wajumbe nichagueni mimi kwasababu ni mke wenu mkubwa

    Katika kampeni zake za kuomba kura kwa wajumbe Ndugai kasikika akisema yeye ni mke mkubwa. Swali ambalo najiuliza bila kupata majibu. Je, mme wake ni nani mwenye wake wengi na kwamba yeye anajivunia ndo mke wa kwanza? Naomba ufafanuzi kwa hili jambo.
  16. Vamigo

    JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

    Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+. Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hapa kuna mume na mke wanajieleza

    Hii jamii ya ndege ni waaminifu sana ila utajua kwa nini mume na mke wanaonesha ujumbe.
  18. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu. Amhudumia mume wake aliyepooza kwa miaka sita, alivyopona akapewa talaka

    Wakuu, Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameibua hisia kali baada ya hadithi yake kusambaa mitandaoni, ikionesha alivyomhudumia mume wake kwa miaka sita baada ya kupata ajali ya gari iliyomsababishia kupooza, lakini baadaye akatalikiwa na mwanaume huyo wiki moja tu baada ya kupona na kuoa mke...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hivi anaepaswa kuilinda ndoa ni mke peke yake au mke na mume

    Hv kwann jamii inamchukuliaje mwanamke aisee Nimeolewa tangu mwaka wa kwanza mume kila mwaka matukio ya usaliti kali kabisa mwaka juz nilibaini anatoka na rafiki yangu wa ndan kabisa mwaka huu tena nimegundua anatoka na jiran kabisa tuliekua na ukaribu nae bado hatujamaliza iyo kesi nagundua...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Habari, mimi ni binti nina miaka 25 natafuta mume wa kumpenda na kumuheshimu sifa kuu awe na hofu ya mungu (dini Muslim) na mpambanaji anayetambua wajibu wake kama mwanaume. Muonekano wangu ni mzur wa kawaida, urefu 155cm na mwili wangu wa wastani 50kg, ninajishughulisha na ufundi cherehani na...
Back
Top Bottom