kifanyike

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuthibiti wanaharakati,magaidi na CHADEMA wasikwamishe salamu za mama kwenye matamasha ya miaka 30 ya bongo fleva?

    Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na timu yetu toka Lumumba tumegundua kuwa wanaharakati, magaidi na CHADEMA ndio walionzisha zomea zomea wakati mwana FA alipotaka kuwasilisha salamu za serikali kwenye tamasha la bongo fleva. Tuligundua wanaharakati , magaidi na vijana wengi wa CHADEMA...
  2. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili vijana wajiajiri kupitia michezo?

    Michezo ni moja ya nguzo kuu katika maisha ya vijana ambayo humkuza kijana kiakili,kimwili,kitabia na kijamii. Licha ya serikali kutoa mchango mkubwa ili kukuza michezo kwa vijana nchini, ombwe linabaki katika kuendeleza kipaji kwa kijana mwenye ndoto ya kuwa mchezaji mkubwa. Katika awamu hii...
  3. Foffana

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondoa wimbi la wanafunzi kufanya udanganyifu kwenye mitihani vyuoni?

    Habari zenu Wadau wa Jambo Forums Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa la wanafunzi nyakati za mitihani kuingia na simu ya mkononi katika chumba cha mtihani Hizo simu zinawasaidia kujibu maswali watakayoulizwa katika mtihani huo Unaweza ukakuta robo ya watahiniwa wameingia na simu chumba cha...
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itenge eneo hata la hekari 700 pajengwe ukuta ambapo raia hawataingia kizembe then kifanyike kilimo cha zao la Bangi kisasa.

    na watu binafsi pia wapewe vibali waanze kilimo hicho kuwepo na mashamba darasa, Zao la Bangi likishaa komaa na kukaushwa liwe processed kidogo then lipelekwe nje direct kwenye viwanda vya madawa ya binadamu. Tz mapori ni mengi sana
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuteketeza uchawa ili rais ajaye asiwe mpenda au mfuga chawa?

    Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu. Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri. Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu. Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa. Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa? Nawasilisha.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Je, nini kifanyike ili kama Taifa tutoke kwenye mkwamo wa kidiplomasia duniani?

    Kama taifa tunapitia matukio magumu. Hayajawahi tokea huko nyuma. Kabla ya Okt29 hakuna aliyeamini kama yangeweza tokea machafuko ya vile, mimi ni mmoja wapo. Kuna wadau nakumbuka niliwakatalia kabisa kwamba baada ya uchaguzi hata kama kutatokea uonevu basi wananchi tutanywea. Kilichotokea baada...
  7. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Unafikiri wewe unahitaji nini , unadhani nini kifanyike

    Kila mtu aandike mahitaji yake hapa , unataka nini kifanyike unatoa ushauri au maoni gani ,,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dkt. Dugange (Miaka 3 bila Uhamisho), Kilio cha Watumishi, Afya ya Akili na Ndoa zilizo Hatarini. Nini Kifanyike?

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta?

    Unahisi Hii Hali ya Bei za Mafuta Kupanda Inaweza Kudumu Mpaka Lini? Na nini Kifanyike Ili Kujinasua na Kupanda Kwa Bei Za Mafuta? Kupanda kwa bei za mafuta kunaathiri maisha ya kila siku na uchumi kwa ujumla. Ili kujinasua na hali hii, yafuatayo yanaweza kufanyika: 1. Kujenga viwanda vya...
  10. idiomer

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike watoto bado wanakaa chini baadhi ya shule ???

    Je ni kweli limetushindaaa?
  11. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania CCM Mnapoteteleka na Taifa linateteleka, nini kifanyike!?

    CCM kwasasa hamna rasilimali watu wa kutosha(quality and quantity wise) wakutegemeka na kutumainiwa na Taifa. Mnaonekana kama mnalimudu taifa lakini ukweli ni kwamba uwezo huo kwa sasa hamna ni vile tu mmeshika mpini na wengine wameshika kwenye makali... na ukata huu wa watu makini(competence)...
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuondokana na hii kero ya madereva wa malori kutekwa au kuuawa nchini DR Congo?

    Wakuu kwa wiki kadhaa sasa mitandaoni kumeenea habari za madereva hasa wa Tanzania na Zambia kupata matatizo nchini Congo. Kuna hadi ambao wamepoteza maisha. Kimsingi dereva akiingia tu Congo usalama unakuwa mashakani. Huko kuna vikundi vya kihalifu vinavyopora malori. Je, nini kifanyike...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1 Itolewe kwa Uharaka Dar es Salaam, 12 Disemba 2025 Na. 028 Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
  14. Hepatis B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Shida hapa Tanzania ni mkakati tu

    Habari wadau. Kiukweli Tanzania tumeshapiga hatua kubwa sana kimaendeleo shida ipo kwenye strategy tu. Hapa ndo tunapofeli. Mipango mikakati hamna kabisa wapi tuanzie wapi tuishie tunafeli kabisa. Uwezi kushinda umaskini kwa maneno. Lazima kujituma na kuwa na mipango. Watu wananguvu sana ila...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nini kifanyike ili maandamano ya D9 yasimwathiri mwananchi wa kawaida hasa kiuchumi

    Kwa tafiti yangu ndogo wananchi wanaitamani mabadiliko na wanaona tija ya maandamano ila wanahofia gharama zake kiuchumi na kuwaza kuwa nchi inaweza kuwekwa lockdown Kwa muda mrefu hivyo kuathiri Uzalishaji na upatikanaji wa riziki Na hii ndiyo silaha ya mafisadi na wahuni, wanajua Watanganyika...
  16. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Kipi Kifanyike Nchini Tanzania Baada ya Vurugu za Uchaguzi na Maandamano Yaliyosababisha Vifo?

    Kufuatia vurugu za uchaguzi na maandamano yaliyosababisha vifo nchini Tanzania, hatua madhubuti zinahitajika kuchukuliwa ili kurejesha amani, utulivu, na kuimarisha demokrasia. Hali kama hii mara nyingi huashiria mgogoro wa kisiasa na kijamii unaohitaji mbinu za kina na shirikishi kushughulikia...
  17. msovero

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuleta umoja na mshikamano wa kitaifa?

    Ndugu Wana JF karibuni kwenye mjadala wa wazi wa kutoa maoni juu ya mambo gani yafanyiwe kazi ili kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa bila kujali tofauti za itikadi zetu za dini na kisiasa. Mimi kama Mtanzania mwenzenu nashauri mambo haya; 1. Kutengwa siku maalum ya kitaifa ya kuomboleza...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili Watanzania waendelee kuwa wamoja na kuijenga nchi bila manung’uniko:

    --- 1. Kukuza Utawala Bora na Haki kwa Wote Watanzania wanahitaji kuona haki ikitendeka bila upendeleo. Uwazi katika uongozi, kusikiliza wananchi, kushughulikia kero zao kwa wakati ni msingi wa kuondoa manung’uniko na kuimarisha mshikamano. 2. Kuweka Msingi wa Usawa Katika Fursa Fursa za...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha biashara ya dawa za kulevya nchini?

    Kila mara tunasikia taarifa za ukamataji mkubwa, operesheni nzito na kampeni za kupambana na dawa za kulevya… lakini mitaani mtandao wake unazidi kuenea. Je, tatizo ni udhaifu wa mifumo ya sheria? Ni viongozi hawawajibiki ipasavyo? Au kuna watu wenye nguvu wanaonufaika na biashara hii? Kila...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kunusuru huu mradi wa Magomeni Kota?

    Nimesikitishwa na hii habari ya gazeti la the citizen kuhusu maghorofa ya Magomeni Kota. Lawama wametupiwa zaidi wapangaji kwa kushindwa kutunza mazingira ya hilo eneo zikiwemo majengo. Pia wamekuwa wakikaidi kulipa gharama za usafi na zingine za kuhakikisha mradi unakuwa sawa. Wewe una maoni...
Back
Top Bottom