unatafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Niwaombe wana CCM wanaoshinda uchaguzi katika ngazi zote, kiongozi wa kweli ni mnyenyekevu na habagui anaowaongoza, waunganishe watu wote waliokuwa chini yako. Huwezi kuwa wewe una vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini. Binadamu ana haki ya kufikiri, anaweza akayona ya...
  2. B

    Je, unatafuta Vifaa (Accessories) kwa ajili ya Laptop au Desktop yako?

    ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟi ๐—ก๐—ฑ๐˜‚๐—ด๐˜‚, ๐—๐—˜ ๐—ช๐—”๐—๐—จ๐—”๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐—•๐—œ๐—š๐—œ๐—ง๐—˜๐—–๐—› ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฎ ๐—›๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐˜‚๐˜๐—ฎ ( ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ & ๐——๐—ฒ๐˜€๐—ธ๐˜๐—ผ๐—ฝ ) ๐—ฝ๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ฑ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ฒ๐—ฟ, ๐—•๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ, ๐—ฅ๐—ฎ๐—บ, ๐—˜๐˜…๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น & ๐—œ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—›๐——๐—— ( ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ), ๐— ๐—ผ๐˜‚๐˜€๐—ฒ, ๐—ž๐—ฒ๐˜†๐—ต๐—ผ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ, ๐—ฉ๐—ถ๐—ผ๐—ผ, ๐—ฆ๐˜†๐˜€๐˜๐—ฒ๐—บ ๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ด๐—ฒ, ๐—›๐—ฑ๐—บ๐—ถ, ๐—ฉ๐—š๐—”, ๐——๐—ฉ๐—œ ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ๐˜€, ๐—–๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ, ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ป๐—ฎ ๐——๐—ฒ๐˜€๐—ธ๐˜๐—ผ๐—ฝ. ๐—ฃ๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—›๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ...
  3. Kukudume2013

    Je, unatafuta Mume?

    Umri wangu miaka 45, Muislamu naishi Dodoma. Natafuta mchumba sifa awe mweupe, mzuri, asiwe bonge nyanya au mwenye maziwa mengi. Awe angalau na kidato cha nne, awe tayari Kuishi Dodoma nilipo. Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja au asiwe naye kabisa. Umri usizidi 35, Akiwa tasa sawa tu. almuhimmu...
  4. Trainee

    Wakati unatafuta hela kwa udi na uvumba kuna mwenzako amezitupa hela huko kama takataka vile

    Inasemekana alionekana mtu akikuchunuku tu anakuita anakupa "mihela" basi watu wakafaidi hela waliofaidi. Wakatikea waja wema wakamsihi aachane na zoezi hilo maana huenda ingekuwa ni hatari kwa usalama wa maisha yake kwani watu walishaanza kusambaziana taarifa kuwa "kuna mtu anagawa mapesa hovyo...
  5. N

    Jerry Silaa, kama ulivyotembea kwa miguu kipindi unatafuta kura, tembelea tena uone hali ya barabara ya Kitunda

    Jerry Slaa, ulitembea kwa miguu kutoka Banana mpaka Kitunda kuomba kura. Leo hii baada ya kupata hizo kura hujaonekana tena. Ni fedheha kubwa kwa eneo ambalo ni mkabala kabisa na Airport kuwa na barabara ambazo zinatia aibu. Kuna mahandaki ambayo mtu mwenye gari ndogo anafirikiria mara mbili...
  6. Magari Aina Zote

    Car4Sale Unatafuta gari zuri la kuagiza nje ya nchi? Pita hapa

    Kupitia uzi sasa unaweza kuagiza gari yoyote kutoka; Japanโœ” UKโœ” Singaporeโœ” Dubaiโœ” Chinaโœ” Thailandโœ” Koreaโœ” n.k NB: Ukiagiza gari nasi tunakupa full package; yaani kuagiza, ku-clear bandarini na kusajili. Pia ukihitaji delivery popote ulipo tunakuletea. Tunapatikana Rita towers, ghorofa ya 11...
  7. R

    Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kunipata Kwa Whatsapp 0656388678
  8. R

    Upo Arusha na unatafuta kazi yoyote halali? Njoo tufanye ujasiriamali

    Habari. Kama upo Arusha au Manyara na unatafuta kazi yoyote halali tuwasiliane Kwa fursa ya ujasiriamali. Unaweza kupata Kwa Whatsapp 0656388678
  9. KatetiMQ

    Bado unatafuta wazo la biashara ya kufanya?

    Ngoja nikushirikishe hizi pia. Ufanye biashara gani Kama una 100k, 500k au 1 M? Kwenye biashara kwanza zingatia vitu vitatu (3) A. Uhitaji wa bidhaa husika au tatizo ambalo lipo kwenye jamii/eneo unalotaka kufanya biashara. B. Ujuzi ambao unao. C. Kiasi Cha Mtaji ambacho unacho. Hivi vitu 3...
  10. Programu za PC

    Je, unahitaji software ya kukusaidia kazi / biashara yako?

    Habari, Je unahitaji software yoyote katika kazi / biashara zako. Nipo hapa kukusadia kupata software yoyote unayotaka katika kukusaidia kazi / biashara yako. Software au program katika kifaa chako cha kazi kama kompyuta au simu. Nitajie sofware au kazi yako inayohitaji software maalum...
  11. Dam55

    Kijana kama hujaoa kisa unatafuta mwanamke wa hivi. Basi hutooa kamwe na utakufa masikini

    HUYU NDIYE MWANAMKE HALISI WA KUOA 1. Mpenzi wako akija kwako na akakukuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe.... 2. Ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu...muoe anajua uchumi. 3. Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na...
  12. Kiboko ya Jiwe

    Kama unatafuta Ajira kwa kusambaza CV Ofisi za Umma na hujui nafasi ya Mlinzi hupati kazi ndugu yangu

    Habari! Katika kuhudumia watu (wateja) kama mlinzi ndani ya miaka 6 napenda kuteta na vijana mnaosaka ajira. Ratio ya ajira na wasomi sasa imekuwa tofauti sana. Sasa kinachomata ni connection na akili. Kuna ofisi watu wana hela mpaka huna wa kumuhonga. Imagine mpaka Mimi mlinzi unanikuta...
  13. J

    Je, unatafuta mtu wa kusimamia mitandao yako ya kijamii kwenye taasisi au shirika lako?

    Je unafahamu social Media zina nguvu kubwa kwenye ulimwengu wa sasa wa kidijitali, na kama una biashara social media ni muhimu iwe imetengenezwa vizuri ili ivutie na kutangaza vizuri biashara yako kwa wateja wako? Kama jibu ni sawa basi nipo kwa ajili ya hilo na utafurahia huduma Wasiliana nami...
  14. M

    Kama unatafuta mpishi wa mgahawa, nipo tayari kwa vitafunwa na chakula

    Habari zenu wakuu, Mimi ni mwanamke natafuta kazi. Kama una hitaji mtu wa kupika ktk mgahawa Niko hapa, najua kupika chapati, maandaz, supu najua pia kupika na chakula.. nk Dar Tabata mawasiliano yng 0764423726. Asanten
  15. Raphael_Mtokambali

    Wakati unatafuta maisha usisahau kuishi

    WAKATI UNATAFUTA MAISHA USISAHAU KUISHI Endelea kupambana lakini usisahau yakua unapaswa kuayaishi maisha yako maana siku zikiisha kuhesabika na hazito rudi nyuma Kadiri ya mda na siku zinavyo endelea kusogea basi na wewe unapunguza muda wako wa kuwapo hapa duniani hili ni suala ambalo liko...
  16. B

    Je, unatafuta Investors au Masoko Kuuza Bidhaa nje?

    Kama wewe ni mjasiriamali au mfanyabiashara na unatafuta wawekezaji wa ndani au nje ya nchi, karibu tukupatie ushauri na fursa ya kuuza wazo lako kwa wawekezaji. Pia ikiwa unatafuta masoko ya nje kwa bidhaa zako, pia tutakupa ushauri, muongozo na kukutafutia wanunuzi wa nje kwa bidhaa...
  17. E

    SoC01 Unatafuta "Connection"? Hizi ni mbinu tano (5) za kijanja na akili zitakazokusaidia kupata "Connection" ya kazi

    Na Elivius Athanas. 0745937016. Tatizo "connection" umekuwa ni wimbo ambao unaimbwa na vijana wapambanaji wa mtaani, wahitimu wa vyuo, wasanii na watu mbalimbali kuwa ni moja ya kikwazo kinachowachelewesha wao kupata kazi au kufanikisha jambo fulani. Ni kweli kuwa "connection" ina mchango...
  18. platyhelminthesis

    Ni sharti gani la ajabu umewahi kupewa na mwenye nyumba wakati umepanga au unatafuta chumba?

    Asee mimi sharti la kijinga lilikua ni kusema kama unataka kuongeza mkataba wa kupanga miezi miwili kabla ya muda kuisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom