pisi kali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Stori za Wanawake wanaojiita High Class Pisi Kali, ni kujadili Jinsi ya kupata waume za watu wenye hela.

    Huu umekuwa kama ulemavu sasa. Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities. Mada zao ni kula bata...
  2. de Gunner

    JamiiForums Tanzania Hivi zile pisi kali zinazouza juice Kariakoo zinajiendesha zenyewe kweli?

    Kati ya vinywaji pendwa sana ukiachana na mitungi DSM ni juice za matunda(plus joto linachangia) mimi pia hupenda juice kila nilapo lazima niwe nayo pembeni... Huwa napendelea sana kununua hasa kwa wale wenye vigori vyao, sio za kuandaliwa alafu ziwekwe kwenye chupa za soda.. Kila nikienda...
  3. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania JF ina pisi Kali, kuna niliowaona Kwa macho yangu, sijawahi kutana na Mzee

    Nimeona Kuna mijadala humu kuhusu jamii forum kuwa na warembo, binafsi Mimi nilisha wahi pata bahati ya kuwaona na nikawachunguza na wakanijua japo sikutaja I'd yangu nawao hawakunitajia I'd zao sijui kwanini. 1. Haka ni katoto, siwezi ita mdada katoto tuliKua tunafanya kazi sehem Moja, kalikua...
  4. Fene

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akizaliwa pisi kali, amezaliwa na potential kubwa ya kuuaga umasikini

    Mwanamke akizaliwa pisi kali, (sura anayo, shepu ya kwenda) hakika kashapiga hatua kubwa ya kuuaga umasikini hata kama kwao hali ni tia maji tia maji, the only thing matters about them is mindset (tabia) Licha ya kuwa tuna kampeni kubwa ya kataa ndoa lakini bado wanaume mara nyingi tuanjitafuta...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi hapa Arusha kuna sehemu ina pisi kali kuzidi Kelly's lounge?

    Oya Nimekuja huu mji wa arusha kikazi.mwenyeji wangu kanileta hapa kwenye hii bar..wakuu kuna pisi sio za nchi hii. Asante for your attention on this matter.
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Pisi kali tafadhalini sana fueni sidiria na chupi zenu vizuri. Mabrazameni fueni boksa na singIendi zenu kuepusha kero faragha

    Sidiria unaivaa wiki3 tatu na zaidi kweli? Najua unazo sidiria nyingi tu lakini hiyo unayoipenda zaidi, basi uwe unaifua mara kwa mara walau kuepusha kua kero ya harufu mbaya ya uvundo kwa walio pembeni yako na hususani mwenzi wako. Sawa pisi kali? Kulikoni mkiwa faragha unajificha kuvua...
  7. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanamke umeamua kudanga hakikisha unavutia

    Kuna pisi unatoa hela kimoyomoyo unasema pesa yangu imeenda kiuhalali toto linavutia balaa mkifika ndani anajiongeza ufundi kama kasomea veta ni mwendo wa magoli kama CR7 hiyo ndio tafsiri sahihi ya kudanga unatupa wahuni enjoyment na unforgettable S3X moments. Nyie dada zetu ambao hamna mvuto...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Raha ya kuzaa na pisi kali, uhusiano unakuwa unadumu kutokana na mtoto

    Wakuu habari, Katika ujana wangu niliweza kuzaa na pisi kali watatu, na mwingine wa nne ni wakawaida. Kutokana na kuzaa nao watoto wazuri, mawasiliano yamekuwa ni ya mara kwa mara, hasa kwenye kujuliana hali pamoja na kuchangia maendeleo ya huo uzao wetu; ingawa wao hawafahamiani. Kwa sasa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Pisi Kali kwa hapa Moshi - Maeneo ya KCMC zinapatikana wapi??

    Wakuu heshima zenu, Nipo Moshi kwa muda usiopungua wiki kadha.Kwa uwepo wangu hapa bado sijapata kuona maeneo yenye pisi Kali. Naomba uelekeo wenu wakuu na kama yupo humu ambaye yupo serious kidogo aje PM tuyajenge chap.
  10. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Wanangu! Usioe PISI KALI – Utakufa Maskini na Moyo Kufeli!

    Oya wanangu, sikilizeni hii gospel straight kutoka street za roho zilizochoka. Bro, usioe pisi kali bana! Yaani narudia loud and clear – DON’T WIFE A BADDIE! Hao ni wa ku-pass around tu kama blunt ya ghetto, si wa kuweka ndani kama wife material. Hii ni warning ya mtaa – pisi kali ni zile demu...
  11. Think2

    JamiiForums Tanzania Pisi Kali kwa hapa kishiri-mwanza zinapatikana wapi??

    Habari ya muda huu wakuu, nimefika mwanza kutoka dsm jiji limepoa sana, nipo kishiri nazunguka zunguka kucheck pisi za kisukuma lkn sijabahatika kbs , kwa anaejua maeneo mazuri kwa hapa kishiri atwambie. Aisee vumbi sana kama kigoma🤣🤣🤣🤣
  12. haszu

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mdada pisi kali, anatembea na mwanaume mwenye muonekano wa kienyeji?

    Unakuta jamaa hata perfume haijui, umbo na sura havieleweki ila ndo yuko na pisi moja imenyooka, how? Mtoto wa kike mzuri shart atoke na kijana handsome, mwenye muonekano. Hata wakipata watoto wanakua wanapendeza, huku kuchanganya madawa kuna haribu mbegu. Money is not everything. Think about...
  13. emmarki

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka yule binti uliyesoma naye msingi uliyekuwa unamuona mshamba?

    Mmkiwa shule ya msingi na sekondari kuna yule mtoto wa kike mmoja mnamuona wa ajabu, mshamba na mnamtania hadi anakosa raha... Nimekutana na mmoja sasa hivi kawa pisi kali hatari
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kigwangala afunguka sakata la kujivinjari na Pisi Kali Mbugani, amkana Poshy Queen: "Simjui, Sijawahi tembea na yule binti"

    Unakumbuka sakata la mrembo Jacqueline Obeid a.k.a Poshy Queen na Hamisi Kigwangala? Sasa Mwanasiasa Hamisi Kigwangala amezungumzia tuhuma zilizomwandama kuhusu mrembo Poshy Queen na pisi kali alizowahi kudaiwa kuzipandisha ndege na kwenda kujivinjari nazo mbugani kipindi ni Waziri wa Maliasili...
  15. Marashi

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimeagiza Valeur ndogo nimeletewa Viceroy na nina buku 5 cash. Mhudumu ni pisi kali niliyokuja kuilia misele niombe namba

    Natokaje hapa, ndo ushauri ninaohitaji. Hapa jirani kuna pub mpya imefunguliwa mwezi sasa, kuna pisi za hatari …. kuna hii moja juzi nilikuja ikanichekeachekea leo nilikuja mahsusu kwa ajili ya kuomba namba nikasema nizuge na Valeur ndogo nina buku tano tu. Sa kaleta Viceroy ndogo na...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ukweli Usemwe: Baadhi ya Wanawake wazuri wanasumbuliwa na UTI sugu

    Huu ni ukweli ambao wapiganaji wengi wanaogopa kusema kwa uwazi. Usiombe ujichanganye hovyo nyau nyau kwa pisi kali. Azuma haifanyi kazi kwa UTI ya kali jichunge, naishia hapa mtaongeza ushuhuda wenu. Jipende jilinde Chief Wadiz a.k.a Chief Mapenzi
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda; Kutokana na wimbi kubwa la Pisi Kali nimejikuta naukata mzizi wa Ubahiri bila Shuruti

    Shalom, Acha ukweli usemwe na pia acha ushuhuda uwekwe bayana. Binafsi kwa muda mrefu sana nimekuwa bahili hatari na nusu, ila uoto asili uliopo maeneo mbalimbali ya Tanzania umepindua meza ya ubahili. Pasipo shuruti nimejikuta napata upako wa kutoa pesa maana si kwa utitiri wa pisi kali za...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Tabia za wanawake kutoka makabila mbali mbali kwenye vigezo vya utafutaji, wife material, pisi kali, maisha ya ndoa, mapishi, support, n.k

    N:B..Vipimo ni wastani / Average katika kundi kubwa, hatuangalii moja moja kwamba Kuna mzaramo flani ulimkuta hapendi ngoma, kuna wachaga uliwakuta nyumba flani hawapenda pesa, n.k. Pisi kali – Ni kweli nchi ina pisi kali kila kona lakini komesha ipo kwa Wanyaturu wa Singida, Wa iraqw tuliozoea...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Nimepunguza Kasi ya Kupumbazwa na Muonekano wa Wanawake warembo (PisiKali)

    Shalom, Ama kwa hakika hakuna zaidi ya Mungu, nimeteseka sana na kupambania PisiKali na kuzagamua, I thank God that I have able to maximally refrain from lack of self control sexually. Kwa sasa nakula vizuri bia kidogo, wine full kabati, matunda, misosi bomba. Nikiita shoo nakamua mwanzo...
  20. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mabaharia wenzangu, ukitembea na pisi kali, hakikisha unabebesha mimba

    Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume wangu vizuri. Cha kushangaza, kila mmoja aniiti jina langu tena; bali wananiita baba fulani kutokana...
Back
Top Bottom