for rent

  1. S

    House4Rent Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti

    Nyumba inapangishwa Tegeta Masaiti 1km kutokea Kibo complex na pia 1km kutokea nyuki sokoni. Nyumba ina vyumba 2, sebule, dining, choo na bafu. Nje ina servant house ya vyumba viwili na mabanda ya kuku mawili yenye uwezo wa kufuga kuku broiler, kienyeji/ bata au sungura. Eneo zima...
  2. J

    Natafuta warehouse kwa ajili ya kuhifaadhia food products

    Habari kama kichwa kinavyojieleza Ninahitaji warehouse yenye sifa zifuatazo 1.Iwe na ukubwa wa120 sqm 2.Iwe certified na TBS kwa ajili ya kuhifadhia Food Products 3.Iwe na refrigerator au AC itakuwa poa zaidi 4.Location iwe Dar es Salaam KAMA KUNA MWONGOZO MWINGINE ZAIDI YA HAYO...
Top Bottom