true story

A True Story (Ancient Greek: Ἀληθῆ διηγήματα, Alēthē diēgēmata; Latin: Vera Historia or Latin: Verae Historiae) is a long novella or short novel written in the second century AD by Lucian of Samosata, a Greek-speaking author of Assyrian descent. The novel is a satire of outlandish tales that had been reported in ancient sources, particularly those that presented fantastic or mythical events as if they were true. It is Lucian's best-known work.

It is the earliest known work of fiction to include travel to outer space, alien lifeforms, and interplanetary warfare. It has been described as "the first known text that could be called science fiction". However, the work does not fit into typical literary genres: its multilayered plot and its characters have been interpreted as belonging to science fiction, fantasy, satire or parody, and have been the subjects of scholarly debate.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    True story: Mzazi ukiogopa kumlipia mtoto ajifunze kuogelea chini ya uangalizi jiandae kwa lolote mtoto akienda mtoni / beach kuogelea bila uangalizi

    maji yana hatari lakini ni vema kuipunguza hatari hii kwa kujifuunza kuogelea, kuna watu wanakufa maji kwenye mafuriko kwa kushindwa kuogelea, meli zinpinduka ufukweni kuna abiria wanakufa maji kwa kushindwa kuogelea, watu wanaozama wanashindwa kuokolewa saabu anaeshuhudia hawezi kuogelea, n.k...
  2. Powell Gonzalez

    True story; I killed her (Simulizi ya kweli; Nilimuua)

    The first day we met ilikuwa last week, on Christmas day, tulikutana kama bahati tu bar fulani hapa hapa Dar. We stay at the same table having some drinks and stories. Baada ya kuzoeana kidogo alianza kuniambia vitu ambavyo nilivipuuza na kuhisi alikuwa ameanza kuzidiwa na pombe. Nakumbuka...
  3. A

    True Story: Sikufaidi first love

    Habari kwa wana JamiiForums! Naomba niende kwenye simulizi moja kwa moja, hii ilinikuta miaka kadhaa iliyopita. Mambo yalikuwa hivi:- Wakati ninaanza kidato cha kwanza katika shule moja ya Serikali mkoani Mbeya kama ilivyo kwa wazazi wengi baba yangu alinipa maneno haya "soma kwa bidii...
  4. hermanthegreat

    My true story; Jinsi uongozi wangu shuleni ulivyonifanya niishi maisha ya upweke

    Habari wanajf. Leo nimeona sio mbaya namimi nikishare na nyinyi story yangu fupi nilipokuwa shule. Hatimaye matokeo yakatoka nimefaulu kwenda sekondari. Nilkuwa si mtu wa kujichanganya sana hivyo sikuwa famous kabisa pia nilkuwa mtiifu sana nafanya kila kitu kwa mda. Nikiwa form one bado...
  5. Teslarati

    BASED ON MY TRUE STORY: Ogopa sana ukimya wa mwanamke. Kuna mahusiano/ndoa nzuri sana zinaharibika sababu ya kukosekana maongezi kati ya wapenzi

    Habarini wana jamvi. Nimesoma hii story NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma nikakumbuka yalonikuta miaka ya mwanzo kabisa naanza mahusiano, sio kisa exactly lkn regret nlonayo ni kama ya mwenye aloandika hio story. Ilikua hivi, miaka hio...
  6. Roca fella

    Based on the true story. Mahaba yalivyo nipeleka kwenye jamii za Siri ulimwenguni. Sehemu ya pili

    Baada ya dakika 15 mkuu wa ukumbi namba 9744, akafika katika jukwaa na wafuasi wake waliketi kimya kwa utulivu wakisubiri kusikiliza neno kutoka kwa mkuu wao. Wageni wanaruhusiwa kuondoka kabla ya saa 3 usiku ili tubaki na wenyeji, Kuna ibada maalum tutaifanya sisi Wana jumuiya, Nilikwenda...
  7. Roca fella

    Based on true story: Mahaba yalivyonipeleka kwenye Jamii za Siri Ulimwenguni

    Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William. Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza. Miaka ya nyuma niliwahi kufanya kazi za ufundi gari, lakini nikiwa Kama kibarua wa muda, yaani day...
  8. M

    True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa zilizozopita nimetoka kumaliza kumeza kidoge kimoja kukamilisha dozi yangu ya siku ya 28 ya dawa za PEP (...
  9. Dr am 4 real PhD

    The Fastest Man Alive: The True Story of Usain Bolt

    Usain bolt sio jina geni masikioni mwa wapenda michezo wengi hapa ulimwengu, Alizaliwa mwaka 1986 Jamaica ni mwanariadha Bora wa muda wote kwenye mbio fupi 100m na 200m (G.O.A.T) Binafsi niliwai kushinda Riadha kwenye UMITASHUMTA vijana wa hivi karibuni hawawezi kujua nini maana ya...
  10. 2018

    SoC03 Kutokana na Stori ya kweli: Maisha Yangu yalivyobadilika ndani ya dakika moja

    Salaam (Namfahamu Mama nijasiri, anaondoa Utando unapodandia kuta,anatoa nyoka makatili,anapambana na majangiri wanapovamia nyumba,anaweka paa juu ya vichwa,sikuogopa njaa -nilishiba,Niliona wengine nguo za kuvaa zimechanika,wakati kwetu nyuso ziling'aa migongo ilifunikwa,Radi ilipiga wala...
  11. Pascal Mayalla

    Wakili Pasco-A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part III-Final

    Wanabodi, Mwendelezo Kwa wasomaji wapya this is a true story of my life, nilitamani kuwa wakili kwa sababu ya Wakili Murtaza Lakha toka mwaka 1976, hatimaye sasa nimekuwa wakili, jee nitakuwa kama Lakha?. Wiki iliyopita, tuliishia Baba Mzee Andrew Mayalla ni miongoni mwa washtakiwa wa Kesi ya...
  12. Pascal Mayalla

    Wakili Pasco Mayalla -A True Story of My Life: Nilitamani kuwa Wakili sababu ya Wakili Murtaza Lakha, sasa ni Wakili. Je, nitakuwa kama Lakha? Part II

    Wanabodi, Nipashe ya leo, Story Inaendelea... Kwa Wasomaji wapya, hii ni stori ya safari yangu ya ndoto ya kuwa wakili, iliyonichukua iliyoanzia Mwanza mwaka 1976 takriban miaka 45 iliyopita, hatimaye nimekuwa wakili mwaka huu, hivyo kujiuliza jee sasa, bado naweza kuwa kama Wakili Murtaza...
  13. Mathanzua

    A true story of how Canada is treating it's unvaxxed. But could this be the new normal for the unvaxxed worldwide?

    Six million Canadians detained in largest prison in the World.These are voices which need to be heard. Luma Catherine Malone I am one of over 6 million Canadians who are currently forbidden to board an airplane, train, boat or long-haul bus to travel across Canada or leave Canada. The Federal...
  14. Taurean

    SoC01 The Summon

    . ********* “Where’s your dad?” My friend Maria asked me with curiosity. It was a visiting day at our school “Well, I don’t have a dad” I turned and answered her without pressure, I was already used to such questions “Oh..! My dad and mom are already here, they’ve brought a lot of things...
  15. L

    True story: Jinsi nilivyopambana kutafuta mali za Mjerumani mkoani Morogoro, mauzauza na vimbwanga nilivyokutana navyo

    Habarini za leo wanaJF Niliombwa na baadhi yana JF kutoa ushuhuda wangu kidogo jinsi nilivyopambana kutafuta mali za mjerumani mkoani Morogoro. Hii ni baada ya kuona nikichangia baadhi ya thread kuhusiana na matukio hayo. Ni matukio ya kweli Ndugu wana JF kwa wale wanaopenda kufuatilia habari...
  16. mFuKuZa nDoTo

    True story: Nimeamua kumkataa mtoto rasmi

    Watu wa Jamii Forum Salaam, Naitwa Mfukuza Ndoto, Nina umri wa katikati ya ujana naishi mkoa fulani kanda ya kati. Basi bwana mnamo mwaka fulani nikiwa na 20+yrs nilitokea kumpenda binti fulani toka nyanda za juu kusini, binti huyo alikuwa mwanafunzi wakati huo katika chuo fulani hapa mjini...
Back
Top Bottom