kijichi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanganyika1

    Maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024)

    Wadau maeneo ya Mtoni Kijichi hadi Mtongani kuna harufu mbaya ya mafuta usiku huu (28/03/2024) Maeneo haya ni karibu sana na Bandarini. Je Kuna Nini kinaendelea? Mashaka ni kwamba labda bomba au tank la mafuta limepasuka.
  2. GENTAMYCINE

    Ali Kamwe: Tumebadili mtindo wa Kutambulisha Wachezaji wetu wakitua nchini kwakuwa kuna Timu ina Kijicho nao na Kuwamaliza

    "Hatutambulishi tena Wachezaji wetu wa Kigeni wakitua tu Uwanjani kama zamani kwani kuna Timu moja ina Jicho la Husuda huwa inawamaliza Kimpira" msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe. Chanzo: Sports Bundle ya U-FM jana Saa 3 Asubuhi. Kudadadeki zenu na hata huyu mpya nae tutamroga zaidi ya Hafidh Konkon
  3. father-xmas

    Nichague ipi Kati ya nyumba iliyoko Mbezi Maramba mawili na iliyoko Kijichi Mgeni Nani

    Heshima kwenu wakuu. Kuna jamaa yangu kaniomba kiasi fulani cha fedha kwa malipo ya moja ya nyumba zake ambazo moja iko Mgeni Nani na nyingine iko Mbezi Maramba Mawili.Zote ni nzuri za kisasa na zina ukubwa sawa. Sina ufahamu mzuri na vitongoji vya jiji la Dar hivyo nimeona nije kwenu wakuu...
  4. Kitomai

    House4Sale Tunauza na kupangisha nyumba za aina mbalimbali

    Nyumba ina mwonekano wa kuvutia wa ndani na nje. Ina vyumba vine vya kulala vinachojitoshereza, subure kubwa, jiko la kisasa na mahali pa kula ( Dinning area). Bei 500mil na inaongeleka. Kuiona piga simu au tuma ujumbe kwa whatsapp tupange muda muafaka wa kuiona…0784225000 au email...
  5. Roving Journalist

    DOKEZO Madereva wa Daladala wagoma kwenda Kijichi

    Madereva wamegoma kwenda Kijichi wadai hakuna abiria. Manispaa ya Temeke, magari yanayotoka Mkuranga kwenda Mbagala kupitia Kijichi! Madereva wamegoma, wanalalamika unyanyasaji wa Mkurugenzi wa Temeke na pia hakuna abiria.
  6. R

    Anayejua bei za nguzo za(Seng'enge) kuzunguka plot /kiwanja sehemu za Kijichi - Kigamboni

    Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele. Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran
  7. Mchawi mwandamizi

    Mkata nyasi za garden natafuta kazi

    Natafuta kazi za 1; Kutunza garden 2; Kukata nyasi za garden Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye kazi za garden Nipo Dar Mtoni kijichi 0715271246
  8. Dith

    Gari Hilux inauzwa

    Nauza gari, yenye namba usajili B. Gari ipo kijichi Dar. Gari haina shida yoyote. Bei ni 23M. Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
  9. 2019

    Uchaguzi 2020 Mbezi beach Vs Mtoni Kijichi | Chagua CCM upate maendeleo chagua upinzani uendelee kusota

    Hii kila mtu kichwani mwake kila mmoja na maamuzi yake kwenye box MBEZI BEACH Ila ni kwamba Mbezi beach,Tegeta maeneo ya Kawe yalionekana ya hadhi sana ukiangalia mpangilio na geografia ya maeneo hayo yamepangwa vizuri na hata ujenzi wa nyumba zake kidogo ni za hadhi ya juu. Katika pita pita...
Back
Top Bottom