Mtoni kwa Azizi Ally; Brazil ndogo iliyojaa vipaji

Misa ya pili

Member
Mar 24, 2023
85
166
habarini wanajamvi ,naanza kwa salaam nyote humu naimani mpo njema.

Katika majina yaliotajwa ya wazee waliosaidia ukombozi wa nchi hii basi jina AZIZI ALLY utolikosa kwa mchango mkubwa walioleta kulikomboa Taifa letu pedwa.

Basi mimi ni mzaliwa wa TEMEKE sehemu iliyojaa waswahili wa kila aina makabila mbalimbali bila kusahau utofauti wa dini mbalimbali moja ya kata ya TEMEKE kuna mtoni kwa azizi ally sehemu aliyoishi mkombozi huyo mwenye historia kubwa hapa kuna nyumba nyingi zilizofungamana tunaita uswahilini ama kwa hakika ni uswahilini kweli kila aina ya biashara utaikuta na kila aina ya watu utawakuta ,vituko ,wizi, michezo na elimu bila kusahau burudani mbalimbali.

Ama kwa hakika mtoni kwa azizi ally ni mzuri leo nitaongelea michezo mbalimbali haswa mchezo pedwa uku ni mpira wa miguu ambapo tangu miaka ya 90 kumukua na wimbi la vipaji katika kiwanja cha SIFA AU UWANJA WA SIFA MTONI hapa kuna magwiji wa soka wengi waliopo ligi kuu tangu miaka hiyo pamoja na vipaji lukuki mpaka kuitwa brazil ndogo aisee hapa tumekosa mwendelezo tu lakini si vipaji mpira unapigwa hasa

Kuna miaka kulikua na taasisi ya EMIMA ambayo ilichukua vipaji mpaka kupeleka ulaya na uko vilifanya maajabu makubwa sana japo taasisi baadae ilipotea jamani mtoni imebalikiwa sana vipaji vya mpira wa miguu kuna magwiji wengi sana bila kusahau mtoni kuna vipaji vingine kama vile ;

1- MPIRA WA MIGUU

2-MUSIC

3-DANCE

4-KUIGIZA

5-SIASA
NK
KARIBUNI MTONI KWA AZIZI ALLY
 
Kwa Azizi Ally ipi iliyojaa vipaji? Kwa Kabuma, Mwembe Kiuno, Dampo, Bank Club au Uwanja wa Sifa.
NB: Last time I checked wengi Ni vibaka wa kuiba bandarini kurasini Ila sijaona hicho kipaji kwenye list yako.
umeongea vizuri sana mtoni yote imejaa vipaji ukianzia kabuma ,uwanja wa sifa benk club uje mpaka kijij cha wavuvi zebra na dampo
changamoto ya vibaka imejaa kila sehemu mkuu kikubwa vijana hao wasipopata mwndelezo uangukia kweny wizi na bodaboda
vipaji ni hivi
wachezaji ;
salonge
kabuma
yaya mido
zizoh ngaranda
balotelli
patric viera 'riziki'
yohana mkomola
samweli mkomola na ndugu zake wote
miaka hiyo kulikua na
dastani
mzee mkomola na wengine nitajie wewe
dance ;
juma malenga
kaiche
ally mzuri
sajo
na wengine nitajie wewe
 
Hivi hao kina Nkomola Wana nini cha maana. Wameshindwa kumjengea mama nyumba ya maana pale kwao? Chochoro za Kwa Azizi Ni balaa. Kulikua na gesti flan 2,000 (masaa 2)
 
habarini wanajamvi ,naanza kwa salaam nyote humu naimani mpo njema.

Katika majina yaliotajwa ya wazee waliosaidia ukombozi wa nchi hii basi jina AZIZI ALLY utolikosa kwa mchango mkubwa walioleta kulikomboa Taifa letu pedwa.

Basi mimi ni mzaliwa wa TEMEKE sehemu iliyojaa waswahili wa kila aina makabila mbalimbali bila kusahau utofauti wa dini mbalimbali moja ya kata ya TEMEKE kuna mtoni kwa azizi ally sehemu aliyoishi mkombozi huyo mwenye historia kubwa hapa kuna nyumba nyingi zilizofungamana tunaita uswahilini ama kwa hakika ni uswahilini kweli kila aina ya biashara utaikuta na kila aina ya watu utawakuta ,vituko ,wizi, michezo na elimu bila kusahau burudani mbalimbali.

Ama kwa hakika mtoni kwa azizi ally ni mzuri leo nitaongelea michezo mbalimbali haswa mchezo pedwa uku ni mpira wa miguu ambapo tangu miaka ya 90 kumukua na wimbi la vipaji katika kiwanja cha SIFA AU UWANJA WA SIFA MTONI hapa kuna magwiji wa soka wengi waliopo ligi kuu tangu miaka hiyo pamoja na vipaji lukuki mpaka kuitwa brazil ndogo aisee hapa tumekosa mwendelezo tu lakini si vipaji mpira unapigwa hasa

Kuna miaka kulikua na taasisi ya EMIMA ambayo ilichukua vipaji mpaka kupeleka ulaya na uko vilifanya maajabu makubwa sana japo taasisi baadae ilipotea jamani mtoni imebalikiwa sana vipaji vya mpira wa miguu kuna magwiji wengi sana bila kusahau mtoni kuna vipaji vingine kama vile ;

1- MPIRA WA MIGUU

2-MUSIC

3-DANCE

4-KUIGIZA

5-SIASA
NK
KARIBUNI MTONI KWA AZIZI ALLY
Mh sasa mbona hatujaona matunda ya izo trip za ulaya kwa hao vijana waliopelekwa ? Sanasanaa tuma sikia tu panyaroad wengi wanatokea iyo mitaa
 
Usisahau kukaba
 
nimesoma Wailes Pr , aisee nakubaliana na wewe 100%
 
umeongea vizuri sana mtoni yote imejaa vipaji ukianzia kabuma ,uwanja wa sifa benk club uje mpaka kijij cha wavuvi zebra na dampo
changamoto ya vibaka imejaa kila sehemu mkuu kikubwa vijana hao wasipopata mwndelezo uangukia kweny wizi na bodaboda
vipaji ni hivi
wachezaji ;
salonge
kabuma
yaya mido
zizoh ngaranda
balotelli
patric viera 'riziki'
yohana mkomola
samweli mkomola na ndugu zake wote
miaka hiyo kulikua na
dastani
mzee mkomola na wengine nitajie wewe
dance ;
juma malenga
kaiche
ally mzuri
sajo
na wengine nitajie wewe
Huyo ally mzuri ndo yule aliyekuwa anacheza na zuchu nyimbo ya cheche ila sio video halisi ya nyimbo?

Nilionaga zuchu kamtag ally mzuri kwenye clip hiyo anambambia zuchu. Je ndo huyo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom