wafariki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Dampo la taka laporomoka, 30 wafariki

    Takribani watu 30 wamefariki dunia na wengine 22 kujeruhiwa baada ya mlima wa taka kuporomoka na kuangukia nyumba zilizokuwa karibu katika mji mkuu wa Guinea, Conakry, kufuatia mvua kubwa kunyesha. Tukio hilo limetokea majira ya saa nane usiku katika eneo la Dar es Salaam jijini Conakry...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watu 52 Wafariki Baada ya Boti Kupinduka Nigeria

    Idadi ya watu waliofariki dunia kufuatia ajali ya boti kaskazini magharibi mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 52. Ajali hiyo ilitokea karibu na mji wa Gorau katika Jimbo la Sokoto baada ya boti hiyo kupinduka ikiwa njiani kuelekea kwenye mashamba ya mpunga. Wengi wa waathiriwa wanaripotiwa kuwa...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Safari Yageuka Msiba: Watalii Sita na Rubani Wafariki Samburu

    Safari iliyotarajiwa kuwa ya kufurahia mandhari ya kaskazini mwa Kenya imegeuka kuwa janga baada ya watu saba, watalii sita na rubani, kufariki katika ajali ya helikopta karibu na Mlima Ololokwe, Samburu County. Ajali hiyo ilitokea Jumatano, Agosti 19, 2026, majira ya saa 9:13 asubuhi...
  4. Inevitable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Ecuador na Mkewe Wafariki Kwenye Ajali ya Helikopta

    Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama na Ujasusi ya Ecuador (CIES), Michele Sensi-Contugi, pamoja na mkewe Stephany Hollihan, ni miongoni mwa watu saba walipoteza maisha kufuatia ajali ya helikopta iliyotokea eneo la Mlima Ololokwe, Kaunti ya Samburu nchini Kenya. Vyombo na Eneo: Helikopta aina...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Homa Bay yatikiswa na ghasia: Watu wawili wafariki, Polisi 7 wajeruhiwa, na watu 22 wakamatwa

    Homa Bay imekumbwa na ghasia wakati wa mkutano wa kisiasa wa Linda Mwananchi, zilizosababisha vifo vya watu wawili, wakiwemo polisi, na kujeruhiwa kwa maafisa saba wa polisi. Mmoja wa waliofariki ni afisa wa polisi aliyekuwa akirejea kituoni baada ya kushiriki katika kuimarisha usalama wa...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kisumu Church Drama: Alleged Hired Goons Fail to Disrupt Service as Tension Grips Worshippers

    Tension ilitanda Kisumu baada ya kundi la watu wanaodaiwa kuwa hired goons kujaribu kuvuruga church service iliyohudhuriwa na Siaya Governor James Orengo pamoja na Nairobi Senator Edwin Sifuna. Kwa mujibu wa video zinazosambaa mtandaoni, kundi hilo halikufanikiwa kuingia ndani ya kanisa baada ya...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania TANZIA Askari wawili wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoani Mbeya wafariki katika ajali ya gari

    Askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Mbeya, wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jana Desemba 16, 2025, katika eneo la Karasha, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, kwenye Barabara Kuu ya Mbeya—Tunduma. Ajali hiyo ilihusisha gari la Mitsubishi Canter Boxbody la SGA...
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndege yaanguka Kenya, wote waliokuwamo wafariki

    Mamlaka ya Usafiri wa Anga ya Kenya (KCAA) imethibitisha kuwa ndege ndogo iliyokuwa ikisafiri kutoka Diani kwenda Kichwa Tembo imeanguka katika Kaunti ya Kwale. Taarifa ya Mkurugenzi Mkuu wa KCAA, Emile N. Arao, ya leo Oktoba 28, 2025, imesema ndege hiyo yenye namba za usajili 5Y-CCA, iliyokuwa...
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Kimbunga cha MELISSA chakaribia Jamaica, watatu wafariki

    Soma pia: Kimbunga Ragasa chafika China baada ya kuua watu 17 Taiwan Kimbunga kikali kilichopewa jina la “Melissa” kinaripotiwa kuikaribia Jamaica kikiwa na kasi kubwa ya upepo na mvua nyingi. Wataalamu wa hali ya hewa wanasema kuwa kimbunga hicho ni dhoruba kali zaidi duniani mwaka huu, na...
  10. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mkuu wa Shirika la Watawa wa Wakarmeli Duniani, Lilian Kapongo na wenzake watatu wafariki kwa ajali Mwanza

    Wakuu mama mkuu/superior wa Shirika La Wakarmeli Duniani Sista Lilian Kapongo na Wenzake wanne Wafariki Dunia Leo Sasa Tano asubuhi wakielekea airport Kwa safari ya Dar es salaam. ----- TANZIA: Waheshimiwa Mapadre, Shemasi na Watawa wote Jimboni, Kristo,....... Kwa masikitiko makubwa, muda...
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Watu 7 wafariki dunia kwa ajali wakitoka kufurahia Simba Day

    Watu saba(7) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya, mkoani Mara. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Septemba 11, ambapo watu hao saba walikuwa kwenye gari dogo aina ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Watoto watatu wafariki Kanisani Simiyu baada ya kulala kwenye hema lenye jiko la mkaa

    Watoto watatu wa kike wakazi wa kijiji na kata ya Mkula, Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, wamefariki dunia wakiwa kwenye makambi ya Kanisa la Waadventisa Wasabato wilayani hapo Chanzo cha tukio hilo kinadaiwa kuwa ni kukosa hewa baada ya kulala kwenye hema ambalo lina jiko la mkaa. Mkuu wa...
  13. McLaren

    JamiiForums Tanzania Sudan watu zaidi ya 1,000 wafariki dunia kwenye maporomoko ya ardhi. Kijiji chote kilifunikwa

    Wakuu, Maporomoko mabaya ya ardhi katika eneo la Darfur nchini Sudan yamefuta kijiji kizima, yakiua zaidi ya watu 1,000 na kumuacha mtu mmoja pekee hai, kwa mujibu wa Harakati ya Ukombozi wa Sudan/Jeshi (SLM/A). Tukio hilo lilitokea tarehe 31 Agosti baada ya mvua kubwa kunyesha kwa siku kadhaa...
  14. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Watu wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu, mmoja ajeruhiwa

    Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Watoto 5 wafariki kwa Moto Kituo cha Yatima Tabora

    Watoto watano wamepoteza maisha kwa tukio la moto lililotokea katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Igambilo, kilichopo Kata ya Misha, Manispaa ya Tabora, usiku wa kuamkia siku ya Jumanne. Watoto hao walikuwa ndani ya bweni lao la kulala wakati moto ulipozuka na kuliteketeza kabisa, huku...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 6 wafariki kwa kugongwa na basi Mbeya

    Wanafunzi 6 wa shule ya Sekondari Chalangwa iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya, waliokuwa wakifanya mazoezi barabara kuu ya Chunya-Mbeya , wamefariki dunia kwa kugongwa na basi la Safina aina ya Yutong lenye namba za usajili T 194 DCE, linalofanya safari zake kutoka Lwalaje...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Watatu wafariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili kwa ajali, Morogoro

    Watu watatu wamefariki dunia wakiwemo wanafunzi wawili wa kidato cha nne, kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha pikipiki yenye namba za usajili MC 534 DYX iliyokuwa ikiendeshwa na Baraka Sajio(22) iliyokuwa ikitoka Kihonda kuelekea Morogoro mjini, kugongana na lori lenye namba za usajili T...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Watoto watatu familia moja wafariki kwa moto

    Watoto watatu wa familia moja wamekutwa wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wanaishi kuungua moto Watoto hao Membe Ndama (7), Mwaru Ndama (2)na Sayi Ndama (1)walikuwa wakiishi na wazazi wao katika Kijiji cha Nambilanje, Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi...
  19. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Watu 38 Wafariki dunia katika ajali mbaya ya mabasi Kilimanjaro

    Watu wasiopungua 38 wamefariki dunia na wengine 28 kujeruhiwa baada ya mabasi mawili kugongana uso kwa uso na kushika moto katika mkoa wa Kaskazini wa Kilimanjaro, Tanzania. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, amesema ajali hiyo ilitokea jioni ya jana katika wilaya ya Same baada ya tairi...
  20. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Watatu wafariki na wengine wengi wajeruhiwa katika shambulio la Urusi Dnipropetrovsk

    Takriban watu watatu wameuawa na wengine kumi na wanne wamejeruhiwa leo Ijumaa hii, Juni 27, katika shambulio la anga la Urusi kwenye mji wa Samar, katika mkoa wa Dnipropetrovsk - katikati-mashariki - gavana wa mkoa ametangaza. Watu watatu wamepoteza maisha yao katika shambulio la adui. Watu...
Back
Top Bottom