My Take
Kama mahindi yamejaa kwenye maghala ya NFRA basi wapeleke Msaada Uganda harafu wanunue ku restock upya Ili kusaidia wakulima kabla hawajashindwa kulima mwakani.
Usalama wa chakula unategemea incentives Kwa mkulima mdogo kuweza kuendelea kulima na hii inategemea bei ya mazao.
Kwa Sasa...
Habari wakuu kuna taarifa nimepata kutoka kituo cha afya Isimani ikisema kuna watoto watatu wamefariki Dunia baada ya kupata sindano ya chanjo,
Tunaomba kama kuna taarifa za kina Wizara ya Afya na mamlaka toka huko waje waitolee ufafanuzi maana kuna taharuki kubwa imezuka na hatua zaidi...
Je, nikiwa nimekopa Mkopo katika Benki yoyote nchini Tanzania (NMB as case study) alafu kabla sijamaliza kulipa Mkopo huo, Nikafariki. Je, Mkopo huo bado utatakiwa kulipwa ? Kama ni ndio, je ni nani atawajibika kulipa ?
Naomba Ufafanuzi pamoja na msimamo wa Sheria katika jambo hilo
kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa Brigadier General Hassan Hassanzadeh aliyetangazwa na Wateule kuwa wamemuuwa kwenye shambulio la Mwezi Machi aonekana hadharani kwenye Maandamano akiwa kwenye Bodaboda Juzi usiku...
Huyu jamaa aliwahi kunifundisha Tuition pale kwa Demtatuzi( naye ni marehem) boma Kama unaenda msimbazi.
jamaa alikuwa anafundisha physics na chemistry tu, alikuwa akisema hawezi kufundisha somo rahisi Kama pure mathematics😄
Alikuwa TO mwaka 2006, akaenda chuo pale UDSM akadisco(inasemekana...
Watoto wawili wa kike, ambao ni mapacha wenye umri wa miaka 11 na wanafunzi wa darasa la tano katika Shule ya Kizimbani, wamekutwa wakiwa wamefariki baada ya kujinyonga. Tukio hilo limetokea katika Kijiji cha Kwale Mpona, Shehia ya Finya, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Akizungumza na...
Kifo cha Magufuli tulifichwa fichwa sana hadi kilipotangazwa rasmi.
Ni nini kilikuwa kinaendelea hadi tunafichwa kiasi hicho.
Inaonekana kulikuwa kuna amri nzito sana alizitoa zitekelezwe lakini kulikuwa na watu walioshinikiza zisitekelezwe kwa kuwa na uhakika hawezi kurudi.
waliotaka...
Chuki ya Pole pole na genge lake inadhihirika zaidi leo hii kwa kuwa hakuna jinsi. Lakini niwakumbushe tu kulikuwa na mvutano kuhusu kuapishwa kwa Samia aliyekuwa Makamo wa Raisi kuwa Raisi baada ya kifo cha Raisi Magufuli.
Cha kushangaza huyu anayejitambulisha kuwa ni mtetezi wa Katiba hakuwa...
Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine.
Kwa zaidi...
Rais Donald Trump kwa mara ya kwanza tangu arejee madarakani atatuma silaha nchini Ukraine chini ya mamlaka ya rais ambayo ilitumiwa mara kwa mara na mtangulizi wake, vyanzo viwili vya kuaminika vilisema siku ya Alhamisi, hatua inayopendekeza nia mpya ya rais katika kuilinda Ukraine.
Kwa zaidi...
Iran na Israel: Kutoka Mabeste Hadi Maadui
Basi hebu nikusimulie hii stori kali – kama vile tupo vijiweni tunagawana kahawa ya jioni.
Zamani hizi, kabla mambo hayajaharibika, Iran na Israel walikuwa kama mabest wa damu. Walishirikiana kwenye biashara, walipigiana tafu kwenye siasa, na walikuwa...
Vyombo vya Kenya Jana usiku vilitoa habari ya kuuliwa kwa Mbunge Were aliyepigwa risasi na mtu aliyekuwa anayeendesha pikipiki.
Tukio hili limetokea baada ya Mbunge huyu wa ODM kuliomba jeshi la polisi la Kenya kumpatia ulinzi kutokana na vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana kwa wiki kadhaa...
Boti ya mbao yenye injini iliyokuwa na abiria wapatao 400 imeshika moto na kupinduka kwenye Mto Congo karibu na mji wa Mbandaka Kaskazini Magharibi mwa nchi ya Congo, na kusababisha vifo vya watu wasiopungua 50.
Kamishna wa Mto Congo Bwana Loyoko, aliambia Shirika la Habari la Associated Press...
Jioni ya Tarehe 25/11/2024 imetuletea simanzi mara baada ya Mtumishi huyu Mwema atisa Maendeleo ya Jamiii Segerea Rhoda Mwanyangala kuaga dunia.
Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Luguruni akiwa kwenye bodaboda kurejea Nyumbani kwake mara baada ya Gari lililobeba wanafunzi kufeli break muda ambao...
Inashangaza mara nyingi mwanamke anapotangulia kabla ya mwanamme
👉Mwanaume huwa hadumu sana hii ni kwasababu zipi?
👉Lakini mwanaume akutangulie kuna possibility kubwa mwanamke akabaki
Mifano halisi
👉 Mke wa Ephraim kibonde alipofariki kibonde alifuata mwaka uliofuata
👉Mzee Kigunge alianza...
Kwanini katika jamii huonekana jambo baya mke akiuza nyumba ya familia baada ya mume wake kufariki dunia? Nyumba kuuzwa huwa inaleta utata sana kuliko mali nyingine.
Kama mwanaume amefariki halafu mke/mwanamke akaamua kuuza nyumba waliyokuwa wanaishi kwa sababu zozote zile upande wa wakwe huwa...
Hatua za kufa au kufariki
Kila kiumbe kitakufa.
Mwanadamu naye atakufa.
Kila kiumbe kina hatua yake ya mwisho na ndipo kinafikia kukufa.
Hakuna dawa ya kutokufa.
Ila zipo njia za kupunguza kufa mapema.
Kupiga kelele sana kunakafanya uzeeke mapema na kufa mapema.
Kushangilia sana kunakufanya...
Habari za Leo mabibi na mabwana.
Mnamo 14/05/2024 tulimzika mzee mmoja kijijini kwetu jina (..)
Mzee yule alikuwa amemuoa shangazi yangu Mimi. Chanzo Cha kifo chake ni ugonjwa wa kisukari uliodumu Kwa muda mrefu.
Baada ya kuzunguka huku na huko na hospital mbalimbali kutafuta matibbu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.