story

  1. Chabrosy

    JamiiForums Tanzania JF MSAADA KUHUSU UZI WA STORY ZA MAISHA YA MOSHA JAMAA ALIPATA ULEMAVU NAUTAFUTA MSAADA NIUPATE.

    Habari wadau, Naomba nipate uzi wa yule jamaa aliepata changamoto ya ajali akivunjika uti wa mgongo akiwa Chuo Mweka Moshi jina lake simfahamu msaada wakuu niupate ule uzi niweze kusoma msaada nilishia katikati sijaumaliza Admin JF nisaidie...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Your Story Isn't Over: Embrace the Journey

    To the next generation, I hope you never forget that life will not always be easy. There will be days when you feel tired, lost, disappointed, and even wonder if your dreams are worth chasing. I hope on those days, you remember that your current situation is not the end of your story. You may...
  3. Duh Aisee

    JamiiForums Tanzania Watu wanafanya Money Laundering nyie mnakazana na story za kuuza UTU, Migongo, Mara Kafara Pesa ziko nyingi sana mtaani na hawajui wapi pakuzipeleka

    Hakuna mtu atasponsor lifestyle ya gharama kubwa hivyo kwasababu ya sex ya namna yoyote, ila wanapenda mfikiri hivyo. Mjini hela iko nyingi sana na inaonekana wameirudisha baada ya kuona hakuna maandamano, kwa hiyo harakati zao zitakwenda fresh. Siwezi directly kusema inatokana na mitikasi ya...
  4. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Kweli muziki wa zamani haukuwafaidisha wasanii na chochote bali stress tuu. Ukiwaona katika kundi moja wakipiga story utafikiri kikundi cha masela

    Hii bongo 30 imefanya watu kuwaona hawa jamaa vizuri, wengi wao wamechoka, wengine wana maalaama uso, wengine nyuso zao zimejaa ulevi wa matapu tapu Wengi wao waliishia katika uraibu maana ustaa wao uliwaongezea aibu mitaani
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwema Uliokaribia Kuniponza

    Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki. Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi hapo kabla. Mitaa niliyopata nyumba ya kuishi (getto) kuna uki-sure (mijengo mikali) fulani hivi. Ni...
  6. balibabambonahi

    JamiiForums Tanzania Alikuwa anakuja hapa ofisini tunapiga story Leo simuoni nahuzunika

    Alianza kujakama siku mbili hivi na nilianza kumzoea,Jana nilimuwekea vocha,akaingia ofisini akaniomba nimchikue video.Nilimwambia ana mimba maana alikuwa anatematema mate,Leo simuoni najisikia vibaya.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kupiga story na mzungu

    Jana nilitoka zangu kawaida, bila hata kujua kwamba siku hiyo ningekutana na mtu ambaye angenifanya nicheke mpaka nikasahau nilikuwa naenda kufanya nini. Nikiwa njiani nikamuona mzungu mmoja amesimama pembeni, anaonekana kama amepotea. Nikajiambia moyoni, Kinsman, leo English yako itapimwa.😂...
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Based ON True story

    Kuna kipindi miaka ya nyuma nilipataga deal la kuua mbwa koko wasio na wenyewe wanaozurura mtaani kwa kutumia bunduki Siku ya kwanza ilienda vizuri niliua mbwa 47 kwenye vitongoji viwili siku iliyofuata yule afsa mifugo akaniambia leo ni jumapili tutatembelea mabucha nikakwambia sawa by saa 12...
  9. Vien

    JamiiForums Tanzania Story bora za mapenzi nilizowahi kuzisoma hapa JF ❤️📖

    Mimi napenda sana kusoma love stories, na kwa hapa JamiiForums nimewahi kusoma stories kadhaa za mapenzi. Lakini kuna story tatu ambazo kwangu mimi nimeziona ni best kabisa. Hizi ndio top 3 zangu: 1. Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na mwanamke wa ajabu – INSIDER MAN 2. How I Met My...
  10. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuwa kwenye Mahusiano na mwanamke aliyekuzidi umri "Mshangazi"? Nini kilikusukuma, ulifaidika/ulijutia nini kuwa nae? Check story yangu

    Nikiwa mwaka wa mwisho chuo Mwaka 2018, life limenipiga sielewi na mzee ameachishwa kaz kama mwaka mzima uliopita, nilienda taasisi flani ya serikali hapo Dar kufuatilia mambo flani, huko nikahudumiwa na mwanamke na kwakuwa nilikuwa nashughulikia ishu kubwa kidogo yule mama alinipa namba yake...
  11. ShesRise_1

    JamiiForums Tanzania Uzi wa picha nzuri, story nzuri na kumbukumbu za watoto

    Wale wapenzi wa WATOTO👭👬👶 Karibu kwenye uzi wa picha za watoto na simulizi zao Kama una story yeyote kuhusu watoto share iwe nzuri au ya kusikitisha Watoto wametokana na sisi wenyewe ni damu yetu, wanakuzwa ndani yetu na wao ni sehemu yetu Watoto wana uzuri wao wa kipekee sana...
  12. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Minister Orders Arrest of Journalist Over RDC Recruitment Story

    Remmy Asiteza, a journalist with the online publication Daily Express, has reportedly been arrested and detained at Central Police Station (CPS) in Kampala following a dispute over a story he published about alleged corruption in the recruitment of Assistant Resident District Commissioners...
  13. Streetot

    JamiiForums Tanzania Latest News: Cameroon-Nigeria Love Story: Vivian Ngek Nongseh and Maxwell Pavlovic Osondo Celebrate There Beautiful Wedding In Styles

    Breaking News: Vivian Ngek Nongseh and Maxwell Pavlovic Osondo: A Second Chance at Love as Cameroon and Nigeria Unite in a Powerful 2026 Wedding Yaoundé, Cameroon — July 25, 2026: Love, they say, has a way of finding people when they least expect it. For Vivian Ngek Nongseh and Maxwell Pavlovic...
  14. Mawazo255

    JamiiForums Tanzania Story za kijiweni 😂

    Story za kijiweni 😂 Jamaa akasema: “Nikipata bilioni 1, mimi sitahangaika tena maisha yangu yote. Nitakuwa natumia laki moja tu kwa siku.” Mmoja akamuuliza: “Unajua bilioni 1 itakutosha kwa muda gani?” Akasema: “Miaka 100! 😂” Mzee wa kijiweni akamwangalia akasema: “Kaa chini kwanza mwanangu…...
  15. Mawazo255

    JamiiForums Tanzania Stori ya leo: Usikate tamaa

    STORY YA LEO: USIKATE TAMAA Kijana mmoja alikuwa anaomba kazi kila siku lakini hakupata. Watu walimcheka na kumwambia hana bahati. Badala ya kukata tamaa, aliendelea kujifunza, kufanya kazi ndogo ndogo na kuboresha uwezo wake. Baada ya muda, alipata nafasi ambayo ilibadilisha maisha yake...
  16. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Short Story: Fidia ya Nunda

    Hadithi ni tafsiri ya hadithi The Ransom of the Red Chief. FIDIA YA NUNDA Lilionekana kama jambo zuri, lakini subiri mpaka nikusimulie. Tulikuwa huko kusini, Alabama—mimi na Bill Driscoll tulipopatwa na wazo la kuteka mtu ili tulipwe fidia. Kama Bill alivyokuja kusema, “ilikuwa kama kichaa cha...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Could you have TZS 400 million into your VAT account right now and not even know it? This is the story of what happened to Grace.

    For three years, Grace's import business was unknowingly leaving money with the TRA. Because most of her sales were zero-rated, the VAT she paid on purchases exceeded the VAT she collected on sales. As a result, she had accumulated an unclaimed VAT refund of TZS 400 million money that could...
  18. A

    JamiiForums Tanzania This is the story of how Stanley from Katoro transformed his business in just five days.

    For four years, Stanley ran his motorcycle spare parts business in Katoro the way most people do cash in hand, no official name just a stall and a reputation built one customer at a time. Business was good. But every time suppliers asked for his company registration documents, Stanley went...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Story ya mtoto Richard Kiko ( 15) inasikitisha mno

    Jana niliweka taarifa ya kupotea kwa mtoto Richard Riziki Kiko (15) mwanafunzi wa kidato cha pili, shule ya sekondari Mbwawa Lutheran iliyopo Kibaha. Richard alipotea juzi jumapili, akiwa anarudi nyumbani Magomeni Kagera akitoka kumsalimia bibi yake Mbezi Kibanda cha Mkaa. Jioni wakati anarudi...
  20. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IEBC Confirms 2027 Election Date – Uchaguzi Kufanyika Agosti 10

    The Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC) imetangaza rasmi kwamba uchaguzi mkuu utafanyika Jumanne, Agosti 10, 2027. Hii ilitangazwa na Commissioner Ann Nderitu, Mwenyekiti wa Kamati ya Operesheni za Uchaguzi, wakati wa uzinduzi wa Election Operations Plan (EOP) 2025–2027. EOP...
Back
Top Bottom