Azam Football Club is a Tanzanian football club from Dar es Salaam. They play in the Tanzanian Premier League. Azam FC gained promotion to the Premier League for the first time in their short history in 2008–09. In the 2011–12 season, the club finished in a historic second place below Young Africans and qualified for the 2013 CAF Confederation Cup.
Azam FC wanachofanya ni kiburi cha pesa ambacho hakina tija yoyote kwao.
Tangu usajiri wa Feisal ufanyike, Azam FC imeendelea kua msindikizaji Katika mashindano ya ndani na hata Yale ya kimataifa. Huku feitoto akinufaika pakubwa kimaslahi .
Kutokana na ubumunda wa viongozi wa Azam FC kwenye...
Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto.
Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei...
Kiukwel naona kabisa mabos pale viunga vya Chamaz wamechafukwa sana sio kwa sajili hizi tunazoziona
Wana kocha MZURI mwenye uzoefu wa kutosha na soka la vilabu AFRIKA hii amefundisha timu kubwa ukanda.wa UNAF
Mwaka wa kwanza ulijifinza tamadun la soka la kitanzania sasa msimu huu tuna den nawe...
Kaizer Chiefs imemtangaza rasmi Adolf Mtasingwa kuwa kiungo wao mpya kutoka Azam FC.
Inaelezwa Azam FC wamemuuza nyota huyo kwa $500,000 sawa na Tsh. 1,318,696,000 akiwa amesaini mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.
Pia, AmaKhosi watamlipa mshahara wa $30,000...
Kamati ya Mashindano ya TFF imeitoza Azam FC faini ya shilingi milioni 50 kwa kukataa kushiriki kwenye sherehe za kukabidhiwa tuzo na zawadi baada ya fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyochezwa Julai 4, 2026 katika Uwanja wa Gombani, Pemba.
Katika maamuzi hayo, kocha wa makipa wa Azam FC...
Kitendo cha Azam FC kusema kuna upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika hivyo wanaona ni bora kuhamisha timu yao na kuipeleka Zanzibar ama kwingineko, ni kama kuitikia wito wa CHADEMA kuhusu haki kwenye changuzi za Tanzania.
Sababu zilizotolewa na Azam FC kuhusu upendeleo kwenye ligi ya Tanganyika...
Baada ya mechi kati ya Simba na Azam, mengi yameibuka..kubwa zaidi likimuibua mmiliki wa Azam na kutoa ya moyoni hasa kuhusu marefa, na kupelekea kusema ataiondoa Azam Bara na kuipeleka Zanzibar. Sasa tuone je hilo linawezekana au vipi.
Tuanze;
Ndiyo, inawezekana, lakini ni nadra sana na...
Mmiliki wa Azam FC, Jamal Bakhresa, amesema yupo tayari kuiondoa timu hiyo katika Ligi Kuu Tanzania Bara na kuihamishia Zanzibar, akidai kuwepo kwa ukosefu wa haki katika uendeshaji wa ligi.
Bakhresa amesema uamuzi huo
unatokana na kile alichodai kuwa ni waamuzi kutotenda haki katika baadhi ya...
Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB ni Derby ya Mzizima
Simba SC dhidi ya AzamFC
Mtanange huu unapigwa Jumamosi hii, Julai 04 katika dimba la Gombani Pemba, Saa 11:00 Jioni.
Mechi 5 za mwisho kati ya Simba SC na Azam FC kwenye Ligi Kuu:
5 Aprili 2026: Azam FC 0–0 Simba SC
7 Desemba 2025...
Mbio za kuendelea kuifukuzia Yanga katika nafasi ya kwanza ya Ligi Kuu Bara zimeendelea kuwa ngumu kwa Azam FC na Simba baada ya timu hizo kugawana pointi moja kila upande kutokana na matokeo ya 0-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Matokeo hayo ya yanaifanya Simba kuendelea kubaki...
Timu ya Azam FC imekamilisha Michezo ya Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho kwa kufungwa Magoli 2-0 dhidi ya Wydad AC ya Morocco na hivyo kukwama kuingia Hatua ya Robo Fainali kwa kuwa imeshika nafasi ya 3 katika Kundi B.
Matokeo mengine ya Kundi hilo, Maniema Union ya DRC nayo imeingia...
25 January 2026
Nairobi, Kenya
Nairobi United 1 - 2 AZAM FC , Chiefs yapata ushindi Ndola
https://m.youtube.com/watch?v=eXeSXYEB-7s
Mechi za Kombe la Shirikisho la TotalEnergies CAF ziliendelea tena Jumapili alasiri 25 January 2026 huku mbio za kuelekea robo fainali zikiendelea kote barani...
Fainali ya Michuano ya NMB Mapinduzi Cup 2026, kupigwa katika Uwanja Mpya wa Gombani Kisiwani Pemba, Mechi kali kati ya Azam FC dhidi ya Yanga SC
Kikosi kazi dhidi ya Azam FC #MapinduziCup2026Final
Mpira umeanza
Dakika ya 10
Yanga SC wanafanya mashambulizi
Dakika ya 15
Dube anakosa nafasi...
Msemaji mkuu wa serikali ambaye pia ni katibu mkuu wa wizara ya Habari sanaa, utamaduni na michezo Greyson Msigwa amekabidhi kiasi cha Tsh. Milioni 10 kwa klabu ya Azam kama sehemu ya hamasa katika mashindano ya Kimataifa, Azam Fc walipata ushindi wa Goli 2 dhidi ya El Merriekh ya sudan...
I will be short
Azam fc hata aje gardiola itakuwa Azam FC tu, tatizo la azam fc ni kwa kuwa ni azam fc, no passion no plans no pressure , get paid return home
Today they lost 1 nil
As Kigali 1 - Azam FC 0
As Kigali wasted about 4 big chances.
Timu bado zinaendelea kujiimarisha kuelekea msimu ujao kwa kusajili na kuwaongezea mikataba wachezaji muhimu kwenye vikosi vyao.
Timu ipi ina safu hatari ya ushambuliaji kuelekea msimu ujao wa 2025/26?
Yanga SC
Clement Mzize
Pacôme Zouzoua
Lassine Kouma
Maxi Mpia Nzengeli
Simba SC
Elie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.