ya wagonjwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii video sio ya wagonjwa wakiletwa hospital bali ni mateka waliokuwa chini ya magaidi wa fulani kwa siku 67. Waliteswa, kubakwa na kushindishwa njaa

    Watekwa wakiwa kanisani na pastor wao aliuliwa huku wao wakichukuliwa mateka.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Babu Tale: Muhimbili kuna changamoto ya magari ya Wagonjwa, kuna ushahidi yapo mawili tu

    Akichangia hoja Bungeni leo, Mei 12 MbungeTaletae amesema kuwa Licha ya wagonjwa kuwa wengi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, ina magari mawili tu ya kubeba wagonjwa.
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa kuna idadi kubwa ya wagonjwa wa sickle cell,Asthma na ugonjwa wa virusi vya ukimwi

    Ukifuatilia vyanzo vingi sana vya utafiti not about vyanzo mimi pia ni shahidi kwasababu mimi nimefanya kazi kanda ya ziwa nimekuja kugundua kanda ya ziwa hasa hasa mikoa ya shinyanga,Mwanza,Geita na Tabora japo Tabora si kanda ya ziwa ila kuna idadi kubwa ya wasukuma magonjwa kama asthma na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Hii ni picha ya wagonjwa waliolala chini ni kweli imepigwa katika hospitali ya Kyela?

    Wakuu Nimekutana na hii taarifa huko Facebook kwa huyu mdao Kyela Tz anaeleza kuwa hii ni picha ya wagonjwa katika hospital ya wilaya ya Kyela wakiwa wamelala chini.
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Mashimba Ndaki akabidhi Magari ya wagonjwa Malampaka na Mwabayanda jimboni mwake

    Makabidhiano ya magari hayo yamefanyika kwa nyakati tofauti tofauti katika vituo hivyo yamefanywa na Mbunge wa Jimbo la Maswa Magharibi, Mashimba Ndaki. Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo,mbunge Ndaki amewataka wananchi na waganga wafawidhi wa vituo hivyo kuyatunza magari hayo na kuyawekea...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwana Simba SC anayeamini kabisa kuwa Simba SC ya Jana Misri itaifunga Al Masry Goli 3 na Kufuzu CAFCCSF awahi sasa Hospitali ya Wendawazimu akatibiwe

    Kwa waliocheza Mpira kama Mimi na tunajua pia Kuuchambua mtakubaliana nami kwa 100% kuwa kwa Timu ile ya Al Masry na kwa ule Uchezaji wao wa Kimkakati hata wakija Dar es Salaam hiyo Wiki ijayo bado wana uhakika wa kupata Goli 1 na hapa namaanisha kuwa kama Simba SC itashinda Goli 3 basi Wao...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Balozi Nchimbi achangisha sh. 950 milioni kwa matibabu ya wagonjwa wa mguu kifundo

    BALOZI NCHIMBI ACHANGISHA SH. 950 MILIONI KWA MATIBABU YA WAGONJWA WA MGUU KIFUNDO KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amefanikisha uchangishaji wa shilingi milioni 950 kwa ajili ya matibabu ya watoto wapatao 400 wanaougua ugonjwa wa mguu kifundo. Kiasi...
  8. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Tunatumbukiza Mamilioni Kwenye Harusi, Lakini tunashindwa changia matibabu ya wagonjwa na tunashindwa kujichanga kwa shughuli za maendeleo ya pamoja

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
  9. milele amina

    JamiiForums Tanzania Wagonjwa wa Kipindupindu wafikia 22 Mbeya, na Serikali imepiga kimya!

    Wagonjwa wa Kipindupindu Wafikia 22 Mbeya: Mamalishe na Vilabu vya Pombe Hatarini Katika mji wa Mbeya, Tanzania, hali ya afya imekuwa ya wasiwasi kufuatia ripoti za wagonjwa 22 walioathirika na kipindupindu. Ugonjwa huu, unaosababishwa na bakteria wa Vibrio cholerae, unenea kwa urahisi kupitia...
  10. F

    JamiiForums Tanzania KERO Malamiko ya wagonjwa Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala

    Nimefika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala Jijini Dar esa salaam. Baadhi ya wagonjwa wanalalamikia ucheleweshaji wa huduma mbalimbali zitolewazo hospitalini hapo. Tusikilize baadhi ya wagonjwa akiwemo mama huyu mgonjwa ambaye amefika hospitalini hapo kwa ajili ya kupata huduma toka asubuhi ya saa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba Magari ya Wagonjwa yawe mengi kwa Mkapa Keshokutwa na Madaktari wakae Stand by Hospitali za Jirani na Kubwa Dar es Salaam

    Kwa nilichokipata tu kutoka somewhere huenda kuna wa Kuzimia kuwa Wengi au Kufa na Kuugua vibaya Keshokutwa.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: 90% ya Wagonjwa wa Figo wanaosafisha Damu Muhimbili ni kutokana na Kisukari na Shinikizo la Juu la Damu

    Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Taifa Muhimbili na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo, Prof. Mohamed Janabi amesema kila siku takriban Wagonjwa 150 wa Figo wanasafishwa Damu hospitalini hapo na 90% wamegundulika kuwa na Kisukari na Shinikizo la Damu Amesema kama watu wasipochukua hatua za...
  13. King_Villa

    JamiiForums Tanzania Hospital nzuri ya wagonjwa wa kisukari

    Habari wakuu, Mzazi wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa sukari moyo na figo …kwa siku za karibuni hali imezidi kubadilika anashindwa hata kutembea ,,akila pia anatapika... Nimefikia hatua ya kubadilisha hospitali labda madaktari wanatofautiana tratment na ujuzi Kwa anaejua hospitali naomba...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Msando apiga marufuku magari ya wagonjwa kuhamishwa kwenye vituo

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni Albert Msando, amepiga marufuku kwa wakurugenzi kwa kushirikiana na watumishi wa idara ya afya, kuhamisha magari ya wagonjwa kwenye vituo husika na kupeleka sehemu nyingine bila sababu maalum. Mkuu huyo wa wilaya amesema hayo leo Machi 9, 2024 katika Kijiji cha Msomera...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Ole Lekaita Akabidhi Magari Mawili ya Wagonjwa Kituo cha Afya Sunya - Kiteto

    MBUNGE OLE LEKAITA AKABIDHI MAGARI MAWILI YA WAGONJWA KITUO CHA AFYA SUNYA-KITETO Kituo cha afya cha Sunya kilichopo katika Wilaya ya Kiteto kimekabidhiwa magari mawili ya wagonjwa (Ambulance) kwa ajili ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza mara baada ya kukabidhi magari hayo jana tarehe 16...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Aliyemtakia hayati Lowassa kuwa Ikulu sio wodi ya wagonjwa akitinga Karimjee kwa mbwembe

  17. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya yatoa taarifa ya kuenea kwa ‘Red Eyes’. Yawataka Wananchi kuchukua tahadhari

    Wizara ya afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) Maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa leo Januari 15, 2023 na Mkurugenzi wa...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Bei kubwa za dawa Nigeria zimewafanya baadhi ya wagonjwa kugeukia tiba asili

    Gharama za kubwa za baadhi ya dawa nchini Nigeria kiwango ambacho kimepanda takribani mara kumi katika miezi michache iliyopita, kimewalazimisha baadhi ya wagonjwa kupunguza dozi au kugeukia tiba asilia. Maafisa wa sekta ya dawa wamesema kushuka kwa thamani ya Naira baada ya kuondolewa katika...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: MOl imepunguza rufaa za Wagonjwa kwenda nje ya nchi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa maalumu wa ndani na nje ya nje. Waziri Ummy amesema hayo leo Novemba 28, 2023 baada ya kufungua mradi wa kliniki mpya ya wagonjwa maalum na wa kimataifa iliyopo...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bugando: Kati ya Wagonjwa wa Afya ya Akili 5,000 wanaofika Hospitali, 500 wanahitaji Matibabu Maalumu

    Mkuu wa Idara ya Afya na Magonjwa ya Akili Hospitali ya Bugando, Dkt. Catherine Magwiza amesema Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Bugando ya jijini Mwanza inapokea na kuhudumia wastani wa Wagonjwa 5,000 wenye tatizo la Afya ya Akili kila mwaka. Dkt. Magwiza ametaja baadhi ya Viashiria na...
Back
Top Bottom