Bila kupoteza muda
Mechi ya Leo ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba
Nikiwa pangani mchana huu narudi Tanga mjini napewa taarifa hapa kuwa Yanga atapasuka vibaya sana Leo
Mpk sasahivi viongozi bado wanahaha namna ya kugeuza kipigo
Nawathibishia Leo Simba anashinda
Ewee shabiki wa Mnyama...
Timu ya Yanga SC imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba SC katika mchezo wa Ngao ya Jamii uliochezwa leo, Agosti 12, 2026, Zanzibar.
Goli la Yanga limefungwa dakika 31 na Albert Kangwanda ambaye ni ingizo jipya katika dirisha kubwa la usajili
================
Nani kuanza msimu na...
Tarehe 12 Agosti, macho ya mashabiki wa soka Tanzania yataelekezwa Amaan Stadium, Zanzibar, ambapo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii. Hii si mechi ya kawaida.
Ni Derby ya Kariakoo, na kila upande unaingia uwanjani ukiwa na presha ya kutaka kuanza msimu kwa ushindi dhidi...
Kati ya misimu miwili au mitatu tumeona ngao ya jamii ikigombaniwa na timu nne ila msimu huu ni timu mbili. Kwamba ikionekana simba na yanga hawakutani kwenye hiyo mechi kanuni ya timu nne ndio inafuatwa.
Msimu mwingine timu ya Azam au Singida utd iliyostahili kucheza ngao ya jamii italaumiwa...
Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said anasikitika kuwatangazia kuwa Ngao ya Jamii 2025 imeibiwa wakati wa kusherehekea Parade Yao na ameomba Kwa aliyechukua Ngao hiyo anaombwa airejeshe Makao makuu ya Klabu hiyo.
Ameyasema hayo akizungumza katika mkutano mkuu wa klabu ya Yanga ambapo ameeleza...
Kombe la Ngao ya Jamii limekuwa na maana kubwa kwa nchi yetu, si tu kama pazia la kufungua msimu mpya wa Ligi Kuu, bali pia kama sehemu ya kurudisha kwa jamii kupitia mapato ya viingilio.
Lakini swali kubwa la msingi ni: Je, pesa hizo zimetumika vipi kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita...
Bi Mkubwa leo kaamua kumpumzika kuwacheki Yanga na Simba mechi ambayo inaendelea kwa sasa uwanja wa Mkapa.
Anawatazama moja ya wapiga kura na wanufaika wa goli la mama
Hatimaye, hayawi hayawi yamekuwa! Leo, Septemba 16, 2025, watani wa jadi Yanga SC na Simba SC watakutana katika mchezo wa Ngao ya Jamii, ambao utaashiria kuanza rasmi pazia la msimu mpya wa 2025/2026.
Yanga wamekuwa kwenye kiwango bora, wakishinda michezo mitano mfululizo dhidi ya Simba. Hata...
Hivi punde Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamezua gumzo kubwa mitaani na mitandaoni baada ya kutangaza viwango vya tiketi kwa ajili ya mchezo wa Ngao ya jamii kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC.
Tiketi za mzunguko zitauzwa kwa shilingi elfu 5, VIP C shilingi elfu 20, VIP B elfu...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao ya jamii na wameipata
Kwahiyo wamesema tarehe 16 watasepa season 2 hawaleti team
Simba acheni uoga...
Sijui niongeze volume
Mwamba alipata redkadi crdb conf cup
Nawaza mambo kadhaa ataruhusiwa kucheza ngao ya jamii
Iwapo hatoruhusiwa
Simba mmejipangaje
Nukuu ya leoi;::
Kwa asilimia kubwa wachezaji wa Simba na Yanga waliopo katika kikosi cha Taifa Stars kinachoshiriki michuano ya CHAN huenda wakaukosa mchezo wa ngao ya Jamii utakaopigwa Septemba 16
Soma pia: Yanga kucheza na Simba Ngao ya Jamii
Jonathan Sowah ataikosa mechi ya ngao ya jamii dhidi ya Yanga kutokana na kadi nyekundu aliyopewa kwenye mechi ya fainali ya FA akiwa na Singida.
Ukipewa kadi nyekundu kwenye mechi ya FA unatakiwa kutumikia adhabu kwenye mechi za ligi kuu,FA na Ngao ya jamii.
Hivyo sowah hatakuwa sehemu ya...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Ngao ya Jamii Kuzindua Rasmi Msimu Mpya wa Mashindano ya TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linapenda kuwataarifu wadau na mashabiki wa soka kuwa mechi ya Ngao ya Jamii (Community Shield) itakayozindua msimu mpya wa mashindano itachezwa tarehe 16...
Njia pekee ya kuinusuru ni TFF kubadili hii ratiba (haijatoka hadharani bado ila nimeiona kwa njia nyingine).
Iko hivi, Simba ndio itaanza kucheza dhidi ya Azam siku yakwanza, then itafuata mechi ya Yanga dhidi ya Singida (sijui ni kwanini imepangwa hivi)
Kwa nongwa ya yanga, ikitokea Simba...
Video hii inamuonyesha Kocha mpya wa Simba Queens akimpa maelekezo fulani hivi kocha Mussa Mgosi amabye alikuwa kwenye bechi la ufundi katika mchezo wa Ngao ya Jamii kati yao na Yanga Princess.
Hii inaonyesha namna pumzi ya moto ilikuwa inapelekwa kwenye lango la Simba Queens kutoka kwa mabinti...
Ukiichukia hii timu Awana habari na wewe,,na Wala sio shida zao itakulazimu uukubali ukweli tu maana Amna namna yoyote Ile utaitumia kujifariji, Wao wanachokifanya ni kuacha miguu yao iongee na sio mipasho na propaganda! Kamchapa Ts Galax ya Africa kusini 1-0, kamchapa kaizer chief 4-0...
Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile.
Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji aisee, Mobeto bado hajakubemenda tu! Anyway napata shida maana nilikuwa natamani utopolo wapigike ili mji...
Ofisa mtendaji wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' alishindwa kuvumilia hadi dakika ya mwisho ya mchezo wa fainali Ngao ya Jamii, na badala yake aliamua kuondoka uwanjani.
Soma Pia: Full Time: Azam FC 1- 4 Yanga SC | Community Shield | Final | Benjamin Mkapa Stadium | 11/08/2024
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.