Fikiria tarehe 19 na 20, ccm itafanya mkutano mkuu kumpata makamu mwenyekiti tanganyika lakini mpaka leo hakuna majina yaliomba hiyo nafasi ili wanachama wakayapigie kura!!
Haya ni maajabu kwa sababu wanachama watapata muda gani wa kumtathmini na kumchambua makamu mwenyekiti wao?
CCM njooni...
Mwanamuziki mkongwe kutoka DRC Kongo, Bozi Boziana amtungia wimbo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuelekea mkutano mkuu wa chama Cha Mapinduzi CCM utafanyika kati ya Januari 18-19, 2025 jijini Dodoma.
Hilo limeelezwa kwa kina na Mwenyekiti wa taasisi ya Mama Ongea Na Mwanao baada ya Mkongwe huyo...
Wakuu,
Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha.
Itoshe kusema kuongoza watanzania ni rahisi sana
Yaani ni kuwakusanya unafanya maigizo ya hapa na pale ya kuwalisha ubwabwa...
Wakuu,
Haya jamani mliokuwa na kiherehere kuhusu uchaguzi wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM, mna salamu zenu huku kutoka kwa Makalla
Kaeni kwa kutulia
=======================================================
Chama cha Mapinduzi CCM kimewataka wanachama wake kuachana na watu wanaobashiri...
Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu.
Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa.
TUNDU LISSU ana Mvuto sana Kwa Gen-Z maana ndio kizazi chenye Elimu inayowatoa Ujinga, na KURA za mijini ambapo wasomi na wale wanaamini CCM imekaa sana madarakani inabidi...
Wakuu nawasilimia kwa jina la kivumbi cha Lissu :BearLaugh:
Hii ndio sehemu CCM inawapiga gap sana CHADEMA na vyama vingine vya upinzani.
CCM hawakurupuki kwenye moves zao, kuanzia juu mpaka kwa mjinga wa mwisho. Yaani wanahakikisha kila mtu kaelewa script yake, iwe ni mambo kishetani au...
KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makalla, amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitatumia 4R za Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kampeni za kistaarabu na kuheshimiana katika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
Amesisitiza kuwa viongozi...
▪️Kukutana na Mabalozi zaidi ya 2000
▪️Mabalozi wagawiwa vitendea kazi
▪️Mwenyekiti Mamba awataka kuhimiza wanaCCM kushiriki uchaguzi
▪️Mbunge Mavunde awahimiza kuhakikisha ushindi wa CCM
𝐃𝐎𝐃𝐎𝐌𝐀
Chama cha Mapinduzi(CCM) wilaya ya Dodoma Mjini kimeanza mikutano ya ndani ya kuwajengea uwezo...
Achana nao hao wazembe nakuomba katika mikutano yako usiwe unawataja taja hao watu, unawapa mileage ambazo hawastahili, sasa hivi wanaokoteza Wagombea wanawaambia wachukue fomu, CCM ni chama kubwa sana, kukiongelea chadema nao kama unakipa promo vile, maoni yangu tu.
Mimi nakereka sana kusikia...
Wakuu,
Tunaendelea na maigizo tupo kwenye episode ya 2000.
Hivi ACT bado wanatumia kadi hizi za makaratasi?
====
Rais Mwinyi apokea kadi za wanachama wa ACT wazalendo uwanja wa Gombani, Pemba.
Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka takribani 60,
Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba huko ccm maji yamekorogeka, Tayari Wagombea wa Urais 2025 wameanza kujitokeza.
Habari zaidi zinadokeza kwamba Uwashike Wazee au usiwashike hakutakuwa na Mswalie Mtume
https://m.youtube.com/watch?v=y9oF0mu09zQ
Mtakwimu mkuu wa serikali atetea takwimu zilizotolewa na TAMISEMI kuhusu waliojitokeza kujiandikisha katika daftari la mkaazi, lililo maalum kwa ajili ya kuweza kupiga kura November 27, 2024 katika uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji...
Nashauri kura hizo ziwe sensa ya ushindi wa CCM nchini kote. Zijumlishwe, ili kupima kiwango cha kura za Rais Samia mwaka 2025. Na pia zitumike kupima sehemu zinazolegalega, ili zikaimarishwe zaidi.
Sehemu zinazolegalega, viongozi wa chama wa maeneo hayo wazitambue, watoe sababu, na waingie...
Kwanza kabisa ni kuwag'oa viongozi wenye vinasaba na CCM kama Mbowe na Mnyika.
Pili ni kuleta mabadiliko makubwa kwa kuwapa elimu Wananchi kuwa CCM sio ile ya enzi za Mwalimu bali sasa ni ya wapigaji.
Haya ndio mapinduzi ya kweli kama ya yale ya Cuba yaliowaondoa wanyonyaji.
Pia soma...
Katika sifa za wagombea wa serikali za mitaa, wameongeza sifa moja mpya, eti asiwe mlevi kupindukia, nini kimewafanya CCM kuongeza sifa hii?
Huko vijijini, statehe ya watazania ni pombe, kuna viongozi walikuwa wakija kwenye vikao au mkutanoni wamelewa chakari mpaka mkutano unageuka kituko
Botswana Democratic Party ni chama tawala cha Botswana na kimeongoza nchi toka uhuru 1966 na CCM ambayo ilikuwa Tano kimeongoza Tanzania toka 1961.
Tofauti kubwa ni kwamba chama cha Botswana kimeleta maendeleo makubwa kwa nchi na kulinda rasilimali.
Chama hiki kimekomesha rushwa . Kwa upande...
DEMOKRASIA NYAKATI ZA UCHAGUZI INAVYOKIIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI
Safari ya CCM 🚍
Simulizi hii ya 'Safari ya CCM' inatueleza namna michakato ya kidemokrasia nyakati za uchaguzi inavyokiimarisha Chama cha Mapinduzi (CCM), kwanzia zama za siasa za chama kimoja hadi ulipokuja mfumo wa vyama...
Mchujo wa ndani ya CCM chaguzi huwa mkali mno wa nani astahili kugombea. Pesa ,Rushwa huwa si kigezo cha mtu kuteuluwa na chama kugombea nafasi ndio maana Lowassa na pesa zake nyingi alishindwa kupita
Wengi hata vyama vya upinzani wanashangaa mbona kama uchaguzi wa nani agombee serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.