kitoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Sikiliza kauli za kitoto, za kijinga za uchawa kuhusu utekaji unaoendelea nchini. Terrible!

    So called Waziri wa Mambo ya Ndani
  2. realMamy

    JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha Watu wazima kuwa na akili za kitoto?

    Kuna baadhi ya watu wazima matendo Yao hayafanani na umri wao. Watu hao ni Viongozi wa familia,kanisani, serikalini na katika maeneo mengine. Wamekuwa wakifanya mambo ya hovyo tofauti na umri wao kuanzia namna wanavyozungumza hata katika matendo Yao. Mfano Mtu mzima na akili zake unayetarajia...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Moja ya tukio la kijinga na la kitoto ni kufanya sherehe ya HARUSI, ujinga ujinga mtupu

    Events za harusi zinaboa sana. Miaka nenda miaka rudi ukumbini mambo ni yaleyale: Ingia ukumbini Cheza kidogo Kata keki Tambulisha ndugu Toa zawadi Nenda kwenye msosi Muziki Tuwaage maharusi wetu wakapumzike (wakaichape) Kweli miezi 3-4 watu wazima wanakaa vikao kwa ajili ya ujinga kama...
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa raisi wa uganda museveni bado ana akili za kitoto mchunguzeni kwenye mtandao X.

    Baba yake kuwa madarakani muda mrefu na kumuweka jeshini na vyeo kwa umri aliopo na cheo chake ni kama anaishi kwa baba yake nawaza hilo. Kejeli anazotoa kwenye mtandao X ,kudhihaki, kuleta taharuki ndani na nje ya nchi yake. Sidhani kama mtu Rizi one angekuwa anafanya mada za ajabu akijua ana...
  5. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Ilitabiriwa kuwa atafanya mambo ya Kitoto

    GTs, Yule kijana mtumishi wa Mungu wa Arusha aliyeoneshwa na Mungu Samia atakuwa ana fanya mambo ya kitoto ndiyo haya tunayaona. Yaani wenye akili wamekaa kusikiliza pumba na ujinga ujinga. Can you imagine First Class ya Economic inasema eti walihongwa hela na inasadiki. Kwa ujumla katiba yetu...
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwamba Majeshi ya Nchi nyingine yaje kinyemela kwenye nchi nyingine? Tuache Propaganda za Kitoto haiwezekani

    Hiyo ni propaganda sio rahisi ivyo Majeshi ya Uganda yaje Tanzania kwasababu ya Uchaguzi kwa tishio gani mpaka wachukue jeshi la Uganda kwa Watanzania hawa hawa tusibebe kila propaganda.
  7. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Walimpa kocha nafasi ya kusajili na bado kawakimbia, simba bado wana akili za kitoto.

    I salute you kinsmen. Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu, Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani. Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka. Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Simba bado inacheza kitoto sana

    I salute you kinsmen Kiukweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia sana na team yetu. Licha ya fadlu kutukimbia bado tunazidi kuumia na performance yetu mbovu kwa hawa matapeli wawili Morocco na mwenzie matola. Kiufupi kadri upepo unavyovuma ndio nyeti za ndege zinaonekana haina haja ya kuficha...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekumbuka kile kitoto cha kike kijinga kilivyoniona mimi Falah

    Nlikutana nae Mlimani City nikawa na ukaribu nae pale fish fish. Nikazunguka zunguka nae ndani. Nikampa na lunch ya ukweli nikamruhusu aende. Kesho yake tu aliniletea Mbunye. Anasoma Law na ni chotara flani kama Kisomali. Basi bwana. Imefika Graduation akanitumia mahitaji yake ya Graduation...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Taja chama cha siasa duniani ambacho hakina aibu na kinafanya siasa za kitoto Karne hii ambayo watu wanaelimu kubwa ya uraia, angalizo usitukane ,

    Wakuu Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida, Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
  11. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Mentality ya viongozi wa Azam ni ya kitoto

    Yaani ni aibu kubwa kwa viongozi wa timu ya azzam fc kwa jinsi walivyozindua kits za timu yao kwa mwaka 2025-26,aibu tupu na dhahiri mentality yao ni ya kitoto kabisa.programu nzima ya uzinduzi imefanywa kiholela,hapakuwa na programu iliyoandaliwa vizuri,hapakakuwa na mc mzoefu na wala hapakuwa...
  12. Beberu Mwitu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitoto cha 2007 kimenitumia kimemo nikivishe pete!

    Dunia hii inaenda wapi? Leo katika harakati zangu za kujitafuta nikaenda mahali fulani. Mara nikakutana na katoto kadogo kanasoma darasa la sita, kakaniambia " Uncle samahani, dada amesema nikupe hiki kikaratasi". Ile kufungua nikapigwa na butwaa baada ya kukutana na maneno haya" Kaka X...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu bado anaamini kuwa kuna uwepo wa Malaika?

    Ebu tuache uoga... Let’s talk real, Mwaka 2025 bado watu wanakaza roho wanadai kuna malaika wanaofly juu juu bila drone, hawana GPS wala WiFi, lakini wanajua unachofanya eti wanaandika kila kitu. Wapi bana!? Eti kuna malaika wa kulinda, mwingine wa kukatakata watu wakifa, mwingine kazi yake ni...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

    Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile? Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi? Hakuna hata kirabsha kidogo ?
  16. Antennah

    JamiiForums Tanzania Ma Mc's ( washehereshaji a.k.a wasema chochote) acheni hii tabia ya kitoto

    Ma Mc's katika sherehe mbali mbali za wafanyakazi za meimosi....Hivi kwa nini hamuwezi maliza kutusherehesha bila kuita tupite mbele tucheze kwaito? Tena muda mwingine mnatutoa mbele ya watoto zetu na familia zetu. Acheni huu utoto. Acheni huu ujinga mara moja.
  17. 05CUBA

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa jamaa angu na kijeba kingine wanatoka guest.

    Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje. Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa...
  18. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Tumekabidhi chama kwa watu wasiojua kuponya majeraha Bali kuongeza majeraha ! Mpasuko huu ni mkubwa sana ! Siasa za kitoto zimetufikisha hapa !!

    Nilitegemea baada ya uchaguzi makundi yatakufa rasmi na ujenzi wa chama utaendelea !matokeo kumbe mlienda kugombea si kwa ajili kuongoza Bali kulipa kisasi kwa waliotangulia !! Niwafundishe jambo Tl na mdogo wangu heche !! Maiti haisemwi kwa mabaya' viongozi waliotangulia wangekuwa wabaya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mnyukano ligi kuu ya TRA sio wa kitoto !! kama huna connection hakikisha nje ya uwezo wako umshikilie sana Mungu wako ama urudi kwa babu kujiongeza

    LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791 Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356 Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241 Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Huyu Mwanachuo Kutoka Temeke Dar, Pale Makerere University ametutia aibu kwa Maswali ya kitoto aliyomuuliza Mh Tundu Lissu. Hajatuwalilisha vyema.

    Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema. Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija. Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson...
Back
Top Bottom