dotto

Dotto was a 1958 American television game show that was a combination of a general knowledge quiz and the children's game connect the dots. Jack Narz served as the program's host, with Colgate-Palmolive as its presenting sponsor. Dotto rose to become the highest-rated daytime program in television history, as of 1958.
Dotto replaced Strike it Rich in CBS's 11:30 am daytime time slot on January 6, 1958. In a rare instance of two networks programming the same show, a weekly nighttime edition was launched on July 1, 1958 on CBS's competitor NBC on Tuesday nights in their 9:00 p.m. slot. At the height of both shows' popularity, Dotto was abruptly cancelled without public explanation over the weekend of August 16, 1958. Soon after, Dotto was publicly revealed to have been fixed by its producer, tarnishing the show's reputation and setting the stage for legal and political investigation of the fixing of 1950s quiz shows.

View More On Wikipedia.org
  1. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Waislamu wanadai yanayomtokea Dotto ni laana kutoka kwa Allah kwasababu anakula kitimoto

    Baadhi ya waislamu kwenye mitandao ya kijamii wanadai yanayomtokea Dotto Magari ni laana kutoka kwa Allah kwasababu amekua akiudhalilisha uislam kwa kula kitimoto na kuvaa cheni ya dhahabu ya msalaba wakati yeye ni Muislam. Kobaz hao wanadai Dotto alishaonya(gwa) kula kiti moto hadharani na...
  2. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Kati ya yote alioongea Cherry juu ya dotto magari hili la waviu kuwa na vidoti kwenye vikanyagio miguuni kafungua code mpya.

    Aisee, zamani nilikuaga naangalia kiuononi kwanza kama kuna mkanda wa jeshi, ila kumbe miguuni napo kuna alama. Nimekumbuka miaka ya zamani kidogo nikiwa migodini huko chunya nilipata kabinti keupe kazuri sana, ila sasa ile tumezagamuana na mie style zangu za kukunja kunja nikafikia hatua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo Ujumbe wangu kwa Dotto Magari.

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pole Sana Dotto Magari: Nikupe Moyo haya majaribu unayopitia utayavuka salama Mdogo wangu

    Ujumbe wangu kwangu Dotto Magari, haya majaribu unayopitia ya kuhusishwa Kwamba umeathirika na Virusi vya UKIMWI ni mpango wa MUNGU ambao amekuandalia katika Maisha yako Kwamba ipo siku haya yatatokea. Mimi nikushauri Mdogo wangu usikate tamaa ugali wako na familia yako hakuna atakayelisha...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa kwa afisa yeyote wa serikali usipokuwa tajiri basi rudi kwa Dotto Magari mkafanye udalali

    Leo umenigusa sana britanicca uchungu wa hii nchi. Nikaona na mimi nikupe nacho kiona kanda ya ziwa. Kuwa tajiri kanda ya ziwa ni kugusa tena ukiwa kama polisi, idara ya madini, ardhi na wengine ambao wanahusika. Jambo ulilo lisema mpaka watu wanaweka airport zao wakisafirisha ni kwamba pesa...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watoto wakinondoni hivi huyu dotto magari anataka tuchafue mpaka kituo cha ostabey polisi leo anajiona mwenye nchi.

    Mnafaili mengi naye ila mnapompeleka kuna siku wana anawauza tena anawauza kwa kupenda sifa. Siku zake zinakaribia sio kwenye kutetea CCM na utawala wake ila hapo hapo mwambie hisa tambuu anaweza kumponza.Huyu dotto magari sijui kama anaelewa kuna mafia na mafia wanamuangalia hapo alipo
  7. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Dotto Magari: Hakuna tajiri anaeishi porini,matajiri wanaishi mijini kama Dar.

    “Hakuna tajiri anakaa porini mi navyojua mtu akiwa na hela anatoka porini anakuja mjini uanza maisha mapya, hao sijui matajiri wa Nyamongo sijui Mwanza, Geita mnatuchosha, kwanini mnapenda kujisifia matajiri wako huko?" "Kuna tajiri sasa huko Geita? Huko kuna watu wa kushinda kwenye mashimo...
  8. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Mliokaribu na Dotto magari mwambie namuita Katoro hapa

    Huyo dotto magari na yule mshamba wenu wa singapore waambieni nawaita hapa katoro
  9. Idimulwa

    JamiiForums Tanzania Yahusu: Dotto Biteko

    -Yuko wapi huyu Naibu Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Jimbo la Bukombe-CCM? -Ni nani alirithi mikoba yake, maana natambua kwamba mkeka wa 2025 ulichanika? -Namuona Waziri Mkuu wa sasa anahaha Nchi nzima peke yake tu pasipo msaidizi... Kulikoni huko?
  10. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dotto Biteko atemwa rasmi na Rais Samia

    Yaani, Ni mshangao kwa walio wengi. Ila, we saw it coming. Matumizi yake ili kuhakikisha Majaliwa hana nguvu sana yameisha. Siasa hizi! Na mseme kuna maridhiano?
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Dr Dotto Biteko - Waziri Mkuu Mteule makini

    Asanteni Bukombe , asanteni CCM. Jembe tunatamba nalo.
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Sielewi wanachokifanya Dotto Magari na boss wake Issa Tambuu mtandaoni

    Kuna watu wawili watatu wamenionyosha video clip za huyu Dotto Magari na boss wake Issa Tambu sijui wakitaniana na kucheka au wakifanya comedy Watu walionionyesha hizo video clips inaonekana wao zimewabamba sana. Mimi sikuona kitu cha kufurahisha kama utani au kuchekesha kama comedy zaidi ya...
  13. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dotto Biteko Ashinda kwa Asilimia 99.8 hakuna Kura za hapana jimbo la Bukombe- Geita

    Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Bukombe ambae pia ni naibu Waziri Mkuu Dkt Doto Biteko ameibuka kidedea kwenye Kura za Maoni ndani ya Jimbo hilo kwa Ushindi wa kura za ndio 7441, akishinda kwa Wastani wa Asilimia99.8%. Katika mchakato wa kura za Maoni Idadi ya Wajumbe waliohudhuria ilikuwa ni...
  14. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Dotto Abdallah Ketto (Doto Magari) atafuna nyama ya kitimoto hadharani

  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chato: Wananchi wafurahia jina la Dotto James Ngosha kukatwa. Colnell Magembe apigiwa chapuo

    Ndoshi, alena kishimbhe, alena thuja Kila kona wamefurahi kuanzia stendi ya zamani mpaka vijijini huko Bukamila Ilemela na kwingine kote. Alipokuwa katibu wizara ya Fedha alidharau sana watu Colnell Magembe huenda akawa Mbunge wa Chato. Source: Phone caller
  16. The Tomorrow People

    JamiiForums Tanzania Dotto Biteko ndiye Waziri Mkuu ajaye 2025-2030?

    Asalaam Aleykum!! Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko kama Waziri Mkuu Msaidizi August 23, 2023 ulizua mjadala mpana kuhusiana na mstakabali wa Waziri Mkuu wa Sasa Mh. Kassim Majaliwa. Duru za kisiasa zinadokeza kuwa Uteuzi wa Mh. Dotto Biteko ulikuwa ni mkakati mahsusi wa kumuandaa na kumpa uzoefu ili...
  17. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dotto Magari anamuogopa Askofu Gwajima

    Siku Dotto Magari akishupaza bichwa lake basi ukweli wa wezi simu Kinondoni, dawa, utapeli utajulikana. Msiwe mnajisahau ndio maana bill nasi kawa mkimya anafahamu shukuru Nandy
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mlitudanganya sana kuhusu Bandari kuwa imeuzwa leo mnatudanganya No reforms No elections, ndio maana Dotto Magari anachukia wasomi

    Mlifanya maandamano na mikutano ya kufa mtu mkishinikiza serikali isiingie ubia na wawekezaji, mlijifanya nyie mnajua sana sheria kuliko mawakili wa serikali, kila inachokifanya serikali kwenu hakuna zuri. Suala la mkataba wa Bandari ndilo lilimpa umaarufu Mwabukusi hadi leo amekuwa Rais wa...
  19. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Ishu ya Umeme hata Dotto Biteko ameingia kwenye ulaghai wa maneno

    Tuliwaambia CCM haina kiongozi mwenye pure intelligence yaani AKILI NA UTASHI wa kubadili resources za Tanzania kuwa hela . Ni Majanga hilo Taifa. Huyu Biteko aliingia kwenye Uwaziri na akafikia hatua anawatoa TANESCO wasihudhurie vikao vyake kujadili TATIZO la Umeme kwa sababu TANESCO ni...
  20. chiembe

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msako wa kura za Kanda ya Ziwa kuongozwa na Wasira, Dotto Biteko, Musukuma, Bashungwa, na Mabula's. Ni kivumbi!

    Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa. Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji. Huwezi amini kwamba Mzee Wasira...
Back
Top Bottom