Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu.
Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu?
Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
Jana Jumapili kulifanyika paredi la Simba, baada ya kubeba kombe la CRDB Bank ushindi walioupata dhidi ya Azam FC lakini kuna kitendo kilichofanyika na Msemaji wa Simba Ahmedy Ali kilikuwa si cha kiugwana na sio utani wa jadi, kwa kuwataka mashabiki wa Simba kwenda kujisaidia haja kubwa na...
Ni jambo la ajabu, Zanzibar waba ligi yao, chama chao cha soka, mamlaka yao ya mapato lakini ama kw kujipendekeza kwa wanasiasa au mpango wa mwenyekiti wa bodi ya ligi kulinda maslahi ya Azam.
Mashabiki wa Simba wengi wao wakiwa upande wa bara wamekuwa wakijitoa muda mrefu ikiwemo kuchangia...
Tusifanye mzaha hawa jamaa wana hasira sana. Maana ni zaidi ya miaka mitano hawajapata kombe le ligi.
Inasemekana mitaani hawa jamaa wana njama za kuliiba. Timu yao haina uwezo wa kwa kutwaa ubingwa kwa kusakata kabumbu.
TFF naomba muwe makini. Ulinzi uimarishwe maana bado mechi moja tu.
Mechi ya Simba na Azam refa alikuwa Aragija, Simba walikataliwa penati mbili za wazi lakini pamoja na viongozi kulalamika hadharani hawakuchukua hatua yoyote baada ya kamati ya masaa 72 kukaa kimya. Inaonekana viongozi wa Simba hawajui ukubwa wa hii timu kipaumbele chao ni maslahi wanayopata...
Bila shaka Wanalunyasi mtakuwa mnatamani kupata kiongozi kijana ambaye ana maoni makubwa juu ya klabu yenu kama ambavyo Yanga wamewatesa misimu hii minne mfululizo baada ya Engineer Hersi Said kuchukua kijiti cha Rais wa Klabu baada ya Mshindo Msolla.
Mnahitaji uongozi wenye maono, uwezo wa...
Nasikitika sana na nazidi kusikitika.
Nawasikitikia zaidi mashujaa wetu waliojitoa kulitetea taifa mwisho wa siku wameishia kupoteza maisha lakini asilimia kubwa ya watu waliokuwa wanawapambania ni wapumbavu kwa kiasi kikubwa sana.
Niliingia kwenye instatrack kuchungulia engagement rates...
Wakuu I salute you kinsmen
Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full
Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house.
Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu...
Hali naambiwa kwa Tanzania ni mbaya mashabiki wa Simba wameanza kukonda na kukosa raha. Hapo katikati walianza kunenepa baada ya Ligi kusimama.
SASA LIGI IMERUDI TAABU IPO PALE PALE.
Suala la mashabiki wa Simba kuzomea wakati Rais akitoa salam katika tukio la Simba day
Watanzania wameamka hawapo hapa kupumbazwa, watu wanataka haki katika sura mbalimbali
Yaani tukio la leo limezidi hata maandano ambayo polisi huzuia Kwa nguvu kubwa, Sasa ni dhahiri ujumbe umefika kuwa...
Mashabiki wa Klabu ya @simbasctanzania wakisubiri kuruhusiwa kuanza kuingia Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar Es Salaam ili kushuhudia tamasha la Simba Day linalofanyika leo Septemba 10, 2025
Mara baada ya Yanga kutangaza jezi zake mpya za msimu huu wa 2025/2026 wameibuka baadhi ya mashabiki wa simba na kuanza kuziponda jezi za yanga na kusema ni mbaya.
Ubaya ni kwamba bila kufahamu the motive behind,baadhi ya mashabiki wa yanga nao wameungana na wale wa simba kwenye kuzisema jezi...
Baadhi ya Mashabiki wa Simba SC wamechukizwa na post hii ya kumpongeza Mohamed Dewji kutajwa kuwa ndie Tajiri namba Moja Tanzania.
Je Kuna shida yoyote kumpost Mohamed Dewji na kumpongeza kwa Utajiri wake kupitia ukurasa wa Klabu ya Simba ambapo yeye ndie muwekezaji wa Klabu.
Manji alipotaka kuikodisha Yanga kwa miaka 10 mlimgeuka Mzee wa watu mchana kweupe",
Simba nao wameanza kuonesha dalili za kumkana Hadharani Mo kisa kaawambia Mmetumia Billion 87 zake😂😂😂
acheni Unafiki Kama hamuwataki muwe mnawakataa mapema
Katika hali ya kushangaza lakini ya kweli, mashabiki wa Simba SC wamekuwa kama mkia wa kondoo wanajikaanga wenyewe bila hata ya kuhitaji moto wa nje. Timu yao imekuwa ikipitia misimu ya maumivu: kushindwa kwa mipango ya usajili, kukosekana kwa mwelekeo wa kiufundi, na viongozi wanaozunguka...
Simba Viongozi wake wanajitaidi saba kununua marefa ili waonekana bora mbele ya mashabiki wake,na mashabiki hufurahia hilo wanaposhinda mechi bila kuhoji uwezo wa timu
tena ni timu ya kawaida sana, ilistahiri kushika na 4 au tano kwenye msimamo wa ligi,
Endeleeni kununua malefa mkikutana na...
Hapo vip!
Kwa nature wa mpira wa Tanzania kuna umuhimu viongozi wa serikali ambao ni mashabiki wa Simba kama Majaliwa,Makonda,kigwangwala,zungu,speaker Tulia n.k kuipambania Simba kwa kuinusuru kugandamizwa na viongozi wahuni mashabiki wa yanga.
Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.