Ijue Miji, Majiji na Miundombinu ya China - Je, Ulaya na Marekani imefunikwa?

Venus Star

JF-Expert Member
Dec 6, 2018
19,680
59,801
TUMSIFU YESU KRISTU.

Kumekuwa na watu wengi kubeza, kuzomea na kubwatuka maneno ya hapa na pale kuhusu china. Lakini leo nimeamua kuwapitisha katika miji na majiji yaliyopo china huku tukilinganisha na miji iliyopo Ulaya na Marekani.

China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa sana. Huku ulaya ikiacha kuwa na miji ya kihistoria. Yaani ulaya tunabakiwa na miji mikongwe kama kwetu hapa Tanzania tukiongelea KIlwa, Bagamoyo nk.

Hii hapa orodha ya miji 100 iliyopo china iliyojengeka na tutapitia mji mmoja baada ya mwingine:

1. Beijing
2. Shanghai
3. Shenzhen
4. Guangzhou
5. Hangzhou
6. Chengdu
7. Chongqing
8. Tianjin
9. Nanjing
10. Wuhan
11. Xi'an
12. Suzhou
13. Dalian
14. Qingdao
15. Wuxi
16. Ningbo
17. Hefei
18. Zhengzhou
19. Changsha
20. Kunming
21. Xiamen
22. Foshan
23. Shijiazhuang
24. Jinan
25. Harbin
26. Nanning
27. Changchun
28. Hohhot
29. Yantai
30. Zhuhai
31. Zhongshan
32. Urumqi
33. Lanzhou
34. Guiyang
35. Hefei
36. Nanchang
37. Shenyang
38. Changzhou
39. Taizhou
40. Fuzhou
41. Hainan (Haikou and Sanya)
42. Jinhua
43. Wenzhou
44. Quanzhou
45. Nantong
46. Yangzhou
47. Weihai
48. Taian
49. Huaian
50. Jilin City
51. Yinchuan
52. Huizhou
53. Dongguan
54. Shantou
55. Jinjiang
56. Putian
57. Xuzhou
58. Luoyang
59. Hohhot
60. Baotou
61. Ordos
62. Shijiazhuang
63. Shenyang
64. Taiyuan
65. Xining
66. Wuhu
67. Huainan
68. Xuzhou
69. Shaoxing
70. Yiwu
71. Fuyang
72. Shangrao
73. Zibo
74. Weifang
75. Jining
76. Binzhou
77. Linyi
78. Huaibei
79. Ma'anshan
80. Yancheng
81. Xiangtan
82. Yueyang
83. Nanchong
84. Luzhou
85. Nanchong
86. Nanyang
87. Zhangzhou
88. Quanzhou
89. Xinyu
90. Xining
91. Shizuishan
92. Guyuan
93. Xingtai
94. Tangshan
95. Cangzhou
96. Shuangyashan
97. Jiamusi
98. Mudanjiang
99. Tongliao
100. Wuhai


VIJANA WAPENDA ULAYA NA MAREKANI KARIBU SASA TUJADILI. TULETE FACTS NA EVIDENCES
 
Kabla ya kufananisha unapaswa ujiulize hiyo miji ilijengwa lini na sera na sheria zao za ujenzi vipoje?
Unawwza ukaenda Zanzibar pale mji mkongwe ukaanza kusema ni pa kishamba na mji umekaa kizamani wakati pale panahitajika kuendelea kuwa vile na pana sera na sheria kabisa kuhakikisha hapaharibiwi muonekano wake.

Au, utarajie miji inayojengwa hivi sasa China na Afrika kwa teknolojia na ubunifu wa kisasa utaka kuifananisha na London ambayo hata mtu aliyefariki miaka ya 1800 huko akirudi leo hii hatapata shida sana kuutambua mtaa na nyumbani kwao and they are proud.
 
Ngoja tuanze sasa

Beijing​

Beijing, Mji mkuu Wa China, una historia inayoanzia milenia 3. The current metro area population of Beijing in 2023 is 21,766,000. Area: 16,411 km²

1695102222990.png


1695102316289.png


1695102565555.png
 
Kabla ya kufananisha unapaswa ujiulize hiyo miji ilijengwa lini na sera na sheria zao za ujenzi vipoje?
Unawwza ukaenda Zanzibar pale mji mkongwe ukaanza kusema ni pa kishamba na mji umekaa kizamani wakati pale panahitajika kuendelea kuwa vile na pana sera na sheria kabisa kuhakikisha hapaharibu muonekano wake.
Au, utarajie miji inayojengwa hivi sasa China na Afrika kwa teknolojia na ubunifu wa kisasa utaka kuifananisha na London ambayo hata mtu aliyefariki miaka ya 1800 huko akirudi leo hii hatapata shida sana kuutambua mtaa na nyumbani kwao.
Asante kwa comment yako. Hilo jambo nimelielezea kuwa miji ya Ulaya na Marekani ni miji mikongwe na miji ya kihistoria. Tutaendelea kuikumbuka kwa hilo. But kwa Infrastructure China imewapita kama Jua na Ardhi

China kwa sasa inajenga majiji yake na miji yake kisasa sana. Huku ulaya ikiacha kuwa na miji ya kihistoria. Yaani ulaya tunabakiwa na miji mikongwe kama kwetu hapa Tanzania tukiongelea KIlwa, Bagamoyo nk.
 
Asante kwa comment yako. Hilo jambo nimelielezea kuwa miji ya Ulaya na Marekani ni miji mikongwe na miji ya kihistoria. Tutaendelea kuikumbuka kwa hilo. But kwa Infrastructure China imewapita kama Jua na Ardhi
Kwenye swala la infrastructures na uvumbuzi kadhaa China hawajaibuka sasa, ni wakale wale. Kumbuka hata the great wall of China ambao upo hadi leo, ulijengwa miaka ya 200 B.C.
Hata mpira wa miguu ulivumbuliwa China na ulipendwa sana kiasi watu walikua hawafanyi tena kazi ikabidi watawala kuupiga marufuku na kuweka sheria kali kwa yryote atakayekutwa anacheza mpira na hivyo mpira ukawa ni haramu.
 

Shenzhen - China​

Shenzhen, in southeastern China, is a modern metropolis that links Hong Kong to China’s mainland. It's known for its shopping destinations, including Luohu Commercial City, a massive mall with a vast array of wares, from tailors’ custom clothing to faux designer bags. The city also features contemporary buildings, such as the 600m-tall skyscraper Ping An International Finance Centre, and a number of amusement parks.

1695103876870.png


1695103958383.png



View: https://youtu.be/bcVOGq4e3-8?si=EkUYSVrb3Xs4KWng
 

Guangzhou​

Guangzhou is a sprawling port city northwest of Hong Kong on the Pearl River. The city features avant-garde architecture such as Zaha Hadid’s Guangzhou Opera House (known as the “double pebble”); the carved box-shaped Guangdong Museum; and the iconic Canton TV Tower skyscraper, resembling a thin hourglass. The Chen Clan Ancestral Hall, a temple complex from 1894, also houses the Guangdong Folk Arts Museum.

1695104176397.png


1695104194984.png


1695104254973.png
 
boss usifanye kama huelewi,.china miji yao mizuri kuliko miji ya ulaya,mimi hakuna siku inapita bila kuangalia makala za television ya taifa ya china CGTN DOCUMENTARIES inaitwa,,angalia makala ipo youtube ya CGTN inaitwa CHINA REINVENT ITSELF,.waliamua tu,hata ulaya wakiamua watafanya..
Kati ya China na Ulaya ni ipi yenye historia ya zamani?
Nipe historia kama hii toka ulaya
The Great Wall was continuously built from the 3rd century BC to the 17th century AD on the northern border of the country as the great military defence project of successive Chinese Empires, with a total length of more than 20,000 kilometers.
 

Hangzhou​

Hangzhou, the capital of China’s Zhejiang province, is the southern terminus of the ancient Grand Canal waterway, which originates in Beijing. Its West Lake, celebrated by poets and artists since the 9th century, encompasses islands (reachable by boat), temples, pavilions, gardens and arched bridges. On its south bank is 5-story Leifeng Pagoda, a modern reconstruction of a structure built in 975 A.D.

1695104506181.png


1695104531169.png


1695104566040.png
 

Chengdu​

Chengdu is the capital of southwestern China's Sichuan province. Chengdu's history dates back to at least the 4th century B.C., when it served as capital for the Shu Kingdom. Artifacts from that dynasty are the focus of the Jinsha Site Museum. The city is also home to the famous Chengdu Research Base of Giant Panda Breeding, a conservation center where visitors can view endangered giant pandas in a natural habitat.

1695104703679.png


1695104719963.png


1695104759339.png
 
Kati ya China na Ulaya ni ipi yenye historia ya zamani?
Nipe historia kama hii toka ulaya
The Great Wall was continuously built from the 3rd century BC to the 17th century AD on the northern border of the country as the great military defence project of successive Chinese Empires, with a total length of more than 20,000 kilometers.
ushatoka nje ya mada,haya twende unavyotaka,dubai ilikuaje miaka 30 iliyopita?Leo wako wapi?Nini kimefanya wawe hapo,?
 
Back
Top Bottom