kung'arisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kahama vs Geita Battle: Majiji Yajayo Kung'arisha Kanda ya Ziwa

    Manispaa ya Kahama Kanda ya Ziwa inajivunia kuwa na Jiji la Mwanza (City Council) tangu 2002 ambalo ni Jiji la pili kutangazwa baada ya Dsm. Katika miaka hiyo ya 2000s, Miji ya Musoma, Bukoba na Shinyanga ilipandishwa hadhi na kuwa Manispaa (Municipal Cluncil). Ilichukua tena miaka ipatayo 20...
  2. Rakims

    Jinsi ya kung'arisha nyota yako

    Ikiwa ni mapenzi yako katika kujaribu kwenda kung'arisha au kutakasa nyota yako kwa mnajimu yoyote yule basi kuna mambo ni muhimu na unatakiwa kuyazingatia unapokwenda huko ili uweze kupata hitaji lako. IPO HIVI: Yeyote kati yenu atakapoenda kutaka kusafishwa nyota kwa mtu yoyote yule basi...
  3. Kiranja Mkuu

    Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  4. K

    SoC01 Kwanini Mbinu za trafiki kupokea pesa ya kung'arisha kiatu ziwe kivutio kwa wenye vyombo vya Moto?

    UTANGULIZI Askari wa Usalama barabarani nikiungo Muhimu Sana kati ya wamiliki wa vyombo vya usafiri na sheria zilizotungwa na bunge katika kudhibiti makosa yote ya usalama barabarani na sambamba na kuakikisha vyombe vinavyotembea ni tu vilivyo salama. JE, NI KWELI ASKARI HAWA WANASIMAMIA...
  5. Digital base

    Fundi wa kung'arisha tiles na masink katika nyumba mpya ama ya zamani

    Habari ya leo wakuu, Mimi ni mjasiriamali napatikana Dar, najihusisha na usafi hasa uchafu sugu katika Tiles na Masink. Ikiwa ume jenga nyumba yako uka fanya finishing kuka baki na uchafu katika Tiles ama Masink natoa huduma ya usafi wa kung'arisha kwa kutumia dawa nnazo tengeneza mwenyewe...
  6. Digital base

    Njia rahisi ya kung'arisha sink na tiles zako zenye uchafu sugu pasipo kupoteza muda na hela katika njia ambazo hazifanyi kazi

    Habari ya leo wapendwa,leo nimekuja na somo la usafi kwa wale wanao penda usafi. Vifaa. 1.Dawa ya kung'arisha masink na Tiles 2.Gloves 3.Mask 4.Viatu vya kufinika miguu. 5.Brash ngumu kubwa na ndogo. NAMNA YA KUSAFISHA Kabla huja fungua dawa vaa gloves,mask na viatu miguuni kisha...
  7. Najiona Mimi

    MSAADA:Namna ya kun’garisha viatu vya aina hii

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza, napata tabu ya kun’garisha boot lang maana mwanzoni nilikua nafosi natumia kiwi ila sasa nikawa naona kama rangi yake inafifia. Then nikaona niwe navifuta tu na maji kidogo kwenye kitambaa napo naona havin’gai vinafifia. Wenye ujuzi wa viatu vya ngozi hii...
Back
Top Bottom