CCM imewahi kuwa chama Cha upinzani katika majiji na Halmashauri kadhaa, na bado amani ilitamalaki

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
15,103
22,547
Salaam, Shalom!!

Ile Sumu iliyokuwa ikienezwa na viongozi waliotangulia kuwa kuchagua upinzani ni kuchagua vita na kukosekana Amani, kurudisha nyuma maendeleo ,umebainika kuwa ni uongo wa kuaminika tena wa kiwango Cha juu.

Baba wa Taifa, Mwl Nyerere aliwahi kukataa dhana hiyo pale aliposema, "CCM Si mama yangu",alienda mbali na kusema kuwa ikiwa chama changu CCM kitatoka katika misingi ya kuanzisha kwake, nitaikataa na kuchagua chama Cha upinzani.

Majiji na Halmashauri kadhaa, zimewahi KUONGOZWA na vyama vya upinzani na Amani ikiendelea kuwepo.

Serikali ilikusanya Kodi, mafungu yalifika Kwa mkurugenzi wa Jiji au Halmashauri husika na Mayor wa chama Cha upinzani aliongoza kupanga vipaumbele vya matumizi ya pesa hizo na mambo yalienda vizuri tu.

Ni dhahiri kuwa vyama vya upinzani Si chanzo Cha kuvurugika Kwa Amani Mahali popote.

Kwa uzoefu huo, kama imewezekana katika level ya ubunge, inawezekana katika kupata pia Rais Kutoka chama Cha upinzani.

Jambo muhimu ni kuhakikisha tunapambania Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote 2024&2025.

Nakaribisha wananchi wote waliowahi KUONGOZWA na chama Cha upinzani katika Halmashauri au Jiji while CCM kikiwa benchi watupe experience katika yafuatayo:

1.Upatikanaji wa huduma ulikuwaje.

2. RUSHWA ilipungua au kuongezeka Kwa kiwango Gani?

3. Uwajibikaji wa viongozi.

4. Upatikanaji wa HAKI katika fursa za kiuchumi, kijamii na kisiasa ulikuwaje?

5. USALAMA na ulinzi mitaani wakati wote ulikuwaje?

Tanzania bila CCM inawezekana.

Karibuni🙏
 
Pale karatu,

Tangu uanze mfumo wa Vyama vingi,

CCM kumekuwa chama Cha upinzani na Amani, utulivu vimeendelea kutamalaki.
 
Hana lolote tunamtukuza bure katuachia katiba ya kijinga haina manufaa kwa wananchi
Nyerere alipolitoa Taifa Kutoka ukoloni Hadi hapa tulipo, tusiposhukuru tutakuwa wabinafsi.

Imagine KIKWETE,Samia ndo wangekabidhiwa uhuru paap, tungekuwa hapa tulipo?
 
Kwenye hiyo Halmashauri au JIji kuna DC/DAS/DED/OCD hawa wote ni wapinzani? Mbunge au diwani hakusanyi mapato yoyote
Ndo tunataka kujua tofauti Mayor wa Upinzani na mayor wa CCM, palikuwa na tofauti Gani katika upatikanaji wa fursa mbalimbali kiuchumi, kijamii,kiusalama nk nk.

Think positive🙏
 
Kitu pekee Mayor wa upinzani ni kusema ukweli na kuwakilisha maisha halishi ya wapiga kura wake na hawi chawa wa watawala
 
Miradi ya maendeleo ilisimamiwa Kwa efficiency ya kiwango Gani walipoongoza WAPINZANI ukilinganisha na sasa wote ni CCM?

Kuna kitu nakiumba hapa!!
 
Salaam, Shalom!!

Ile Sumu iliyokuwa ikienezwa na viongozi waliotangulia kuwa kuchagua upinzani ni kuchagua vita na kukosekana Amani, umebainika kuwa ni uongo wa kuaminika tena wa kiwango Cha juu.

Baba wa Taifa, Mwl Nyerere aliwahi kukataa dhana hiyo pale aliposema, "CCM Si mama yangu",alienda mbali na kusema kuwa ikiwa chama changu CCM kitatoka katika misingi ya kuanzisha kwake, nitaikataa na kuchagua chama Cha upinzani.

Majiji na Halmashauri kadhaa, zimewahi KUONGOZWA na vyama vya upinzani na Amani ikiendelea kuwepo.

Serikali ilikusanya Kodi, mafungu yalifika Kwa mkurugenzi wa Jiji au Halmashauri husika na Mayor wa chama Cha upinzani aliongoza kupanga vipaumbele vya matumizi ya pesa hizo na mambo yalienda vizuri tu.

Ni dhahiri kuwa vyama vya upinzani Si chanzo Cha kuvurugika Kwa Amani Mahali popote.

Kwa uzoefu huo, kama imewezekana katika level ya ubunge, inawezekana katika kupata pia Rais Kutoka chama Cha upinzani.

Jambo muhimu ni kuhakikisha tunapambania Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote 2024&2025.

Nakaribisha wananchi wote waliowahi KUONGOZWA na chama Cha upinzani katika Halmashauri au Jiji while CCM kikiwa benchi watupe experience katika yafuatayo:

1.Upatikanaji wa huduma ulikuwaje.

2. RUSHWA ilipungua au kuongezeka Kwa kiwango Gani?

3. Uwajibikaji wa viongozi.

4. Upatikanaji wa HAKI katika fursa za kiuchumi, kijamii na kisiasa ulikuwaje?

5. USALAMA na ulinzi mitaani wakati wote ulikuwaje?

Tanzania bila CCM inawezekana.

Karibuni🙏
Mimi nadhibitisha kuwa Kigoma Ujiji ilikuwa na ufisadi mkubwa zaidi wakati Chadema inaongoza kuliko wakati ikiongozwa na CCM.
 
Angalia Karatu, Moshi, Arusha, Hai n.k then njoo na hoja yako
Nimeangazia kote huko ndipo nikaja na HOJA hapo juu.

Nikisema kuwa unakubali kuwa Halmashauri na majiji yaliyoongozwa na upinzani CCM ikiwa benchi zilipiga hatua kubwa kuliko sasa nitakuwa nimepatia?
 
Ushauri wangu Kwa wananchi ni kuwa:

Ikiwa tangu mfumo wa Vyama vingi kuanza, hujawahi KUONGOZWA na chama Cha upinzani, chagua upinzani Ili uweze kupata tofauti.

Kitisho Cha kupoteza Amani zilikuwa ni hadaa tu.
 
Salaam, Shalom!!

Ile Sumu iliyokuwa ikienezwa na viongozi waliotangulia kuwa kuchagua upinzani ni kuchagua vita na kukosekana Amani, kurudisha nyuma maendeleo ,umebainika kuwa ni uongo wa kuaminika tena wa kiwango Cha juu.

Baba wa Taifa, Mwl Nyerere aliwahi kukataa dhana hiyo pale aliposema, "CCM Si mama yangu",alienda mbali na kusema kuwa ikiwa chama changu CCM kitatoka katika misingi ya kuanzisha kwake, nitaikataa na kuchagua chama Cha upinzani.

Majiji na Halmashauri kadhaa, zimewahi KUONGOZWA na vyama vya upinzani na Amani ikiendelea kuwepo.

Serikali ilikusanya Kodi, mafungu yalifika Kwa mkurugenzi wa Jiji au Halmashauri husika na Mayor wa chama Cha upinzani aliongoza kupanga vipaumbele vya matumizi ya pesa hizo na mambo yalienda vizuri tu.

Ni dhahiri kuwa vyama vya upinzani Si chanzo Cha kuvurugika Kwa Amani Mahali popote.

Kwa uzoefu huo, kama imewezekana katika level ya ubunge, inawezekana katika kupata pia Rais Kutoka chama Cha upinzani.

Jambo muhimu ni kuhakikisha tunapambania Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya kabla ya Uchaguzi wowote 2024&2025.

Nakaribisha wananchi wote waliowahi KUONGOZWA na chama Cha upinzani katika Halmashauri au Jiji while CCM kikiwa benchi watupe experience katika yafuatayo:

1.Upatikanaji wa huduma ulikuwaje.

2. RUSHWA ilipungua au kuongezeka Kwa kiwango Gani?

3. Uwajibikaji wa viongozi.

4. Upatikanaji wa HAKI katika fursa za kiuchumi, kijamii na kisiasa ulikuwaje?

5. USALAMA na ulinzi mitaani wakati wote ulikuwaje?

Tanzania bila CCM inawezekana.

Karibuni🙏
Tume huru ya Uchaguzi na KATIBA mpya ni sasa kabla ya Uchaguzi wa 2024&2025.
 
Sio baadhi ya majiji tu, ingekuwa sio Lubuva na Jecha ccm ilishakuwa chama cha uponzani nchi nzima
 
Kweli kabisa, ingawa Kuna baadhi ya majimbo upinzani ulisimamisha wagombea dhaifu,

Naamini hivi sasa wataweka wagombea wa viwango juu zaidi.
 
Back
Top Bottom