CHADEMA yatangaza maandamano majiji matatu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
 
Atupe mrejesho yale yaliyofanyika dar na kupeleka malalamiko yao sijui UN wamefikia wapi ?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
CHADEMA wangeungana na Makonda kwenye ziara ya kuilalamikia CCM inayoongoza nchi kwa kufifisha uchumi na kutukosesha maisha bora.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Wamenogewa ee...
 
Siyo tena kupinga marekebisho ya sheria ya uchaguzi?

Yale ya Januari 24, wameyatathmini yameleta tija?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Maandamano ya kuishinikiza serikali hayawezi kuwa maandamano ya amani hata kidogo.

Serikali haishinikizwi kwa amani popote duniani.

Hayo ni maridhiano siyo maandamano.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Maandamano ya awali niliyapinga. Lakini nimejifunza kwamba maisha ni yanazidi kuwa magumu na hayahimiliki. Maandamano ni muhimu sana kwa Sasa. Hali ya maisha inatisha
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
CHADEMA wasifanye mikoa mingine wajinga naomba majiji mengine gomeni kuandamama Kila wakati majiji hayo waweke Moshi Kwa Mbowe mbona Huwa hawaweki? Uwe CHADEMA au CCM safari goma kabisa waambieni maaandamano Yao safari hii yafanyike Mjini. moshi

Haiwezekani Kila wakati wanafanya majiji mengine kuwa ndio kafara Yao .Kataa waambieni ratiba wabadili safari hii ni Manispaa ya Moshi

Kwao hawataki kutwa kupeleka kwa wenzao mwananchi kataa huo na waambieni live bila kumeza maneno .Mbowe aambiwe Live
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza maandamano awamu ya pili ambayo yatahusisha majiji makubwa matatu, ambayo ni Mwanza Februari 13, Mbeya Februari 20 na Arusha Februari 27 mwaka huuu.

Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema lengo la maandamano ni kuishinikiza serikali kuweka mpango wa kupunguza ugumu wa maisha, kufanya marekebisho ya kikatiba yenye kuwezesha uchaguzi huru na haki na kuendeleza mchakato wa katiba mpya.
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom