Washiriki wa Maandamano ya Chadema kwenye Majiji Matatu watashangaza wengi, wamo Vigogo kadhaa usiowadhania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,733
218,315
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Maandamano yajayo ya CHADEMA kwenye majiji matatu, yatakusanya baadhi ya Watu ambao hukudhani kama wanaweza kuguswa na jambo hili.

Taarifa zinazofichwafichwa zinadokeza kwamba, Wamo viongozi wastaafu wa Serikali, wakiwemo mabalozi, Mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa, kuna uwezekano mkubwa wa Maandamano hayo kuvunja rekodi za maandamano yaliyowahi kufanyika Nchi hii, hasa ukizingatia uwezo mkubwa wa Waandaji kwenye eneo la Uhamasishaji.

Usithubutu kuondoka JF, tutakuwa tuna update hizi taarifa kwa kadri tunavyozipata mpya kutoka kwenye vyanzo vya Uhakika ndani ya Kamati ya Maandamano.
 
Taarifa zinazofichwafichwa zinadokeza kwamba, Wamo viongozi wastaafu wa Serikali, wakiwemo mabalozi, Mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa, kuna uwezekano mkubwa wa Maandamano hayo kuvunja rekodi za maandamano yaliyowahi kufanyika Nchi hii, hasa ukizingatia uwezo mkubwa wa Waandaji kwenye eneo la Uhamasishaji.
 
Taarifa zinazofichwafichwa zinadokeza kwamba, Wamo viongozi wastaafu wa Serikali, wakiwemo mabalozi, Mashirika ya umma pamoja na vyama vya siasa, kuna uwezekano mkubwa wa Maandamano hayo kuvunja rekodi za maandamano yaliyowahi kufanyika Nchi hii, hasa ukizingatia uwezo mkubwa wa Waandaji kwenye eneo la Uhamasishaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo yalianza kidogokidogo tu lakini sasa yamekuwa Makubwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom